Kweli binadamu akilitaka lake jambo huwa haoni aibu.
Hivi CCM mmekosa kweli washauli, heri mngebaki na uzoefu wenu wa kuiba kura lakini siyo kwa kampeni mnayoifanya isiyokuwa na mvuto, yaani...
Huu ni wito kwa vyombo vinavyosimamia vyama vya siasa nchini.
Kamwe hakuna chama kisichoweza kupiga kelele kupitia mikutano.
Hoja muhimu ni je chama au vyama hivyo vinakiuka kanuni,sheria na...
Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete akizungumza kwenye uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho amesema, "Najua kulikuwa na maneno eti utaratibu umekiukwa na mimi nililaumiwa...
Mshindani wa kweli ni chdema. As long as chadema haipo, basi hakuna mshindani wa nguvu.
Hawa wengine ni mpango wa kando ambao hauna nguvu kwenye ndoa kisheria na kimila...ni mdabwada so to say!
Miezi iliyopita tuliona movement kubwa sana ya no reform no election sisemi kwamba movement imekufa ila sioni zile harakati zikiendelea wako watakaosema wamezuiwa kufanya siasa hiyo sio sababu...
Nawaza jinsi ninavyoziona hasira za vijana wa CCM dhidi ya Humphrey Polepole, Hawa vijana kwa bahati mbaya wakutane na Polepole mtaani, kitatokea nini?
Ni wazi kabisa na kuna ushahidi wa kimazingira kuwa hayo mabilioni ya shilingi anayodai mkuu wa nchi kuwa yaligaharamiwa na watanzania kuwezesha ziara yake huko Usa yatakuwa yalitolewa na Rostam...
Kwa wale wenye ufahamu mkubwa na masuala ya intelligency watakubaliana nami kuwa CIA ni shirika la kijasusi lenye mtandao mpana ajabu duniani, shirika hili hununua raia wa nchi husika na kuwafanya...
Tangu nilipokutana na Rostam Abdul Aziz (Mburushi wa Iran, mzaliwa wa Tabora) Jijini Telhaviv nchini Israel mwaka 2012 na kubaini kuwa ni wakala wa CIA katika Ukanda wa Afrika Mashariki nilianza...
Kwanza nadhani tuna tamaduni za kuweka picha kwa watu ambao tunaamini ni mashujaa katika chama chetu, kwa hili chama kinapaswa kiniweka kati ya watu mashuhuri wa chama - Monalisa Ndala.
Monalisa...
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini Tanzania TAHLISO Bw. Geofrey Kiliba amesisitiza umuhimu wa Wasomi na Vijana waliopo vyuoni kukemea, kukosoa na kushauri kwa kutumia maarifa na...
LeoKweli said:
Rostam Aziz ni mnyamwezi,
Shangazi responded:
Acha upumbavu! ni mnywamwezi kakwambia nani. Yeye ki ukweli ni raia wa Iran na Canada. Fuatilia mjomba.
Rostam Vs Mengi...
Tycoon Rostam Azizi, just two weeks after trending on social media after becoming the new owner of Tigo and Zantel, has again surfaced across social media after being spotted in President Samia’s...
Wakuu,
Wenye data za uhakika kuhusu uhusiano wa hao jamaa wamwage hapa.
Kuna tetesi kwamba rostam ndiye aliyebeba fungu la kampeni za kumweka madarakani jk na ndiyo maana alipewa cheo cha...
Mfanyabiashara huyo maarufu amempongeza Rais Magufuli na kusema hivi sasa anafanya jambo la kutengeneza misingi ya uchumi utakaokua kwa uhakika zaidi na kutengeneza mazingira sawa ya biashara...
Sasa Taifa gesi wanakwenda kuwa provider wa energy kwa kila mtanzania masikini na Tajiri. Ila tuwe positive jamani Rostam ni mwamba yeye anafit kwa kila Rais.
Sasa wizara nzima ya Nishati ni...
Moja ya sababu kubwa iliyomfanya Magufuli asikae Magogoni ilikuwa ni nguvu za giza ambazo ziliachwa mle.
Polepole amesema hawa jamaa wanakushambulia kwa mbinu zote ikiwemo hizo za giza. Na...
Kesi Yangu ya Uhalifu wa Uhaini ni Hukumu ya Kifo kwa Demokrasia ya Tanzania
Na Tundu Lissu
28 Agosti 2025
Uhaini unastahili adhabu ya kifo. Serikali inalenga sio tu kumuua mtu, bali pia kuua...