Rais wa wa Chama cha Wanasheria Tanganyika(TLS) Tundu Lissu, amesema utawala wake utahakikisha unainyoosha serikali ya awamu ya 5 ili ifuate misingi ya sheria.
Amesema hivi sasa nchi inakabiliwa...
Inakuaje walioshinda Kwa Kura za wajumbe wamekatwa halafu wamepitishwa wale ambao hawakupitishwa na wajumbe??
Nguvu ya wajumbe haithaminiwi au hawana umuhimu?
Ccm nikimaanisha na vyama vyake vya kuzugia vilivyomo kwenye project yake.
Uchaguzi huu ukipita bila mabadiliko ya aina yoyote yale basi ni uhakika bila shaka lolote lile, ni mpaka 2050 njia ni...
Kamati Kuu imewateua makada wake
Asha Rose Migiro - Katibu Mkuu
Kenan Kihongosi - Mwenezi Taifa
Uteuzi huo unafanyika mwezi mmoja kabla ya Uchaguzi Mkuu.
Sasa naanza kuamini kwamba suala la...
Huwezi ukabwia mchzi wa kitimoto na ukasema ni haramu. Huwezi kukaa majini ukasema u mkavu. Gwajima na Polepole wamejitokeza kwa hoja kedekede wakituhadaa kuwa wanapigania maslahi ya Tanzania...
Kwa kweli nilishangaa sana pale Tume ya Uchaguzi ilipotangaza ya kwamba wapiga kura waliojiandikisha ni milioni 37 na ushee. Nikashangaa Sana.
Ila Leo nimegundua ya kwamba INEC imechukua takwimu...
Wana bodi sasa ifike Mwisho!!
Nchi inapaswa kubadilika katika mfumo wa bunge ili kuwe na watu mahiri na werevu na wenye elimu ya kung’amua mambo mazito ya kuendesha Nchi. Sikatai Wananchi...
Wananchi ni wazalendo
Wachezaji ni wazalendo zaidi
Viongozi ni wazalendo kiasi
Sasa:-
Mpira ni uwekezaji, tena wa muda mrefu - ili tupate ushindi.
Leo goli la mguu limegoma;
Goli la kichwa...
Lengo ni watu wafanye Cross checking ya majina hayo kama kweli watu hao walienda kujiandikisha.
Nje ya hapo Uchaguzi wa 2025 ni batili kwa sababu matokeo sio takwa la wananchi
CCM B (ACT...
Katika utumishi wake kwa chama na serikali, Hamphrey Polepole alishiriki kikamilifu kudhoofisha na kuubinya uhuru wa vyama vya siasa nchini na kushangilia sana hatua ya marufuku kwa vyama vya...
Wasaaalamu
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza inakuwaje media za kibongo zinatupa habari za NIDA na INEC wakati hazikutuhabarisha habari zilizosemwa na Mheshim8wa Balozi mstaafu Humphrey...
Manipulation is often misleading others, unafanya deceptive or covert influence ili uamike kwa kila uongo unaousema.
Kwenye political manipulation kuna spreading misinformation, gerrymandering...
Mh. Tafadhali mpeleke Dr Bashiru Cuba kabla hujatangaza kupumzika na kumwachia mwanachama mwingine kugombea urais mwaka huu.
Asante kwa kuelewa, wasalimie sana hapo ikulu.
NIDA-INEC-CCM
Wakuu kama alivyotueleza Pole pole, hakuna kukwepa kupiga kura ilimradi unayo NIDA.
Yaani usipoenda kupiga kura wanakupigia na ukienda kupiga wanakucheka.
Kura yako baki nayo...
Hizo barua zinahusu nini na zinatoka kwa akina nani ndio jambo ambalo bado sijaelewa
Na zinaenda kwa viongozi wa dini gani?
Yaani ni kufuatilia kila jambo pili Amani yetu idumu
Maneno ya Humphrey Polepole yameweka hadharani kile ambacho tulikuwa tukisema kwa miaka mingi – CCM si chama tena cha siasa, bali ni kampuni ya mafisadi wenye maslahi binafsi.
Amedai wazi kuwa...