Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Imeandikwa na Dr Calipso, X HII INAFANYIKAJE . Kwenye mfumo kuna kitu kinaitwa query, unaicommand query in run ikuvutie taarifa Fulani muhimu then unaweza kuzi intergrate na mifumo mingine...
53 Reactions
88 Replies
5K Views
Wakuu! Tunapoelekea kwenye uchaguzi, kumekuwa na harakati nyingi za kisiasa ambapo wagombea wanachuana vikali. Mara nyingine wananchi wamekuwa wakiwapinga au kuwakataa baadhi ya wagombea...
2 Reactions
5 Replies
538 Views
Aliyekuwa Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkazi wa Mkoani Kilimanjaro, Mchungaji Dkt. Godfrey Malisa, amesema atamuunga mkono Mgombea wa Urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga...
1 Reactions
7 Replies
773 Views
Utaratibu wa CCM ni kukosoana ndani ya Vikao siyo kwenye mitandao ya kijamii Tena Wakosoaji kwenye Press zao hawaombi kibali cha Mwenezi na Wanajiapiza watafia CCM hawahami chama Sijawahi...
2 Reactions
3 Replies
274 Views
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA), Catherine Ruge, ambaye alihamia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na kuteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho katika Jimbo la...
1 Reactions
6 Replies
551 Views
Tanzania kuna viongozi zaidi ya 12 wameoa wanyarwanda na Mpaka mmoja amepewa tenda kubwa sana ya kusambaza Mpaka vifaa vya ulinzi IKAWA IJUMAA TAREHE 13/05/**** Nawarudisha nyuma Kidogo Tuna...
26 Reactions
82 Replies
5K Views
Baada ya Ummy Mwalimu baada ya Jina lake kukatwa kwe Ubunge Tanga Mjini, amesema ni wakati wa kumuunga Mkono Kassim Amar Mbaraka (Makubel) na kumpa kura za ndio Rais Samia
3 Reactions
12 Replies
842 Views
Mpinzani wa CCM wa kweli, ukiacha wakati wanakichakachua ni chama hiki cha CHADEMA, wafanye watakavyoweza viongozi waruhusiwe, wafanye kazi ni haki yao. Kiongozi wao yuko jela, unakuwaje na...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa CHASO (CHADEMA Student Organization) mkoa wa Dar es Salaam Martin Samson Abduli ametoa tamko kwa waandishi wa habari akilalamikia mwenendo wa Rais wa TAHILISO Geofrey Kiliba akidai...
2 Reactions
3 Replies
528 Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Ilani ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 wa ACT Wazalendo Emmanuel Mvula, amechukua rasmi fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Segerea lililopo Manispaa ya Ilala Jijini Dar es...
1 Reactions
4 Replies
344 Views
Kiuhalisia mwaka huu Rais Samia Suluhu Hassan ametimiza miaka 10 ya mihula miwili ya awamu ya tano yaani 2015-2025 ambapo hayati John Magufuli alifariki mwezi March 2021. Lakini kilofanyika...
5 Reactions
46 Replies
4K Views
Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ndugu Ramadhani Kailima, akizungumza na Viongozi wa Vyama 18 vya Siasa vitakavyoshiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kuhusu kupanga ratiba za...
0 Reactions
4 Replies
435 Views
Ni mambo ya kusikitisha lakini ndio ukweli. Watanzania hatuna uzalendo kabisa. Kila mtu anawaza ubinafsi wa kiwango cha juu sana. Hatuko kitu kimoja.Adui akiingia,atafanikiwa kama M23...
3 Reactions
10 Replies
729 Views
Wakuu, Kuanzia saa 3 na dakika 20 Gwajima ataongea na taifa. Stay tuned https://youtu.be/dcipi2DSzw4 Updates.... Unapomuona mtu awasikilizi wananchi, awanyenyeki ina maana uongozi wake autokani...
16 Reactions
69 Replies
7K Views
Wakuu, Hii hapa video kipindi Lissu alipokuwa anaongelea kuhusu mikataba ya madini ambayo Kikwete akiwa Waziri alisaini kabla hajawa Rais akisema anapaswa kuwajibika kwenye mikataba hiyo kwani...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Msikilize Mwaisa anaongea kiutani utani ila ujumbe ni mzito sana, "Mangi kweli wewe ni mkali ila mwachie dogo Mwanasheria anavisheni" Kucheka pia ni sera ya Tundu Lissu,🤣🤣
19 Reactions
27 Replies
2K Views
Wakuu . Hivi Mbunge wa darasa la Saba kuna kitu gani anaweza akafanya bungeni . Tuwe serious tusijaze waropokaji bungeni
10 Reactions
26 Replies
1K Views
https://youtu.be/NhpB9Zh2_6Y I. Usuli Uamuzi wa serikali wa kukurupuka kufunga kanisa la ufufuo na uzima na matawi yake 2,000 nchini Tanzania, tena bila kutoa nafasi ya kujitetea kwa viongozi...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Mahakama kuu itisheni kesi ya Lissu la sivyo nanyi waacheni wake zenu mkalale na walioukumiwa kunyongwa ya walau kwa lisaa limoja Ili. Mwone uchungu
0 Reactions
3 Replies
781 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…