Askofu Gwajima Mwisho wa Chama Chama Cha Mapinduzi hauna Afya

Askofu Gwajima Mwisho wa Chama Chama Cha Mapinduzi hauna Afya

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,532
Reaction score
7,164
Wakuu,

Kuanzia saa 3 na dakika 20 Gwajima ataongea na taifa.

Stay tuned

View: https://youtu.be/dcipi2DSzw4

Updates....
Unapomuona mtu awasikilizi wananchi, awanyenyeki ina maana uongozi wake autokani na wananchi uongozi wake unatokana na kitu kingine etha wananchi walie, walalamike huyu kiongozi. Askofu Gwajima

Ikiwa mbunge mstaafu, mwenezi wa CCM na alikuwa Balazi Cuba Polepole Kama aliyoyasema ni ya kweli basi na mpongeza kwa ujasiri kwa sababu ili haki itawale lazima ianzie ndani ya chama chetu Askofu Gwajima

IMG_2256.jpeg
 
Back
Top Bottom