Kama mjamshtua hadija kopa anaweza kusema muhula alioshika kijiti alikuwa sio yeye kwa sasa kila haadi zitakuwa zake.
Maneno makande wakina lucas mwashamba mumetumia nguvu sana
Chama cha Wakulima(AAFP) kinatarajia kufanya uzinduzi rasmi wa kampeni zake za uchaguzi mkuu mwaka huu siku ya Agosti 31
Kwamujibu wa taarifa iliyotolewa na mgombea Urais kwa tiketi ya chama...
Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. Emanuel Nchimbi, alivyowasilia jijini Mwanza kwaajili ya kampeni za Uchaguzi Mkuu.
Dkt. Nchimbi ataanza kampeni zake katika wilaya ya Kwimba...
Licha ya ratiba ya uchukuaji wa fomu za uteuzi wa nafasi za urais, uwakilishi na madiwani kuanza leo, lakini kwa nafasi ya urais vyama vya siasa vimeandika barua za kuomba kuchukua fomu kuanzia...
Kanda ya ziwa Yoote impe Mpina kura za hasira. Hili ndio eneo kura zake hutoa mwelekeo wa nani atashinda urais.
Katavi, Rukwa na Mbeya wajazie kidogo kwa wingi.
Kilimanjaro na Arusha wafanye yao...
Salaam ??
Katika uzi huu naulizaje ......
Je, huyu anawazidi hekima watangulizi wake wote kiasi cha kutoshea kuka muda mrefu ikulu kuzidi wao ??
Natafakari Leo.... nahitaji kujua anaweza...
Kesi ya Luhaga Mpina wa ACT -Wazalendo dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) sasa inasikilizwa kwa njia ya mtandao.
Chama cha ACT-Wazalendo...
Mgombea ubunge kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) jimbo la Longido, Esta Mayunga, hakuteuliwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, hatua anayoieleza kuwa haikufanyika kwa haki.
Mbali na...
Kichwa cha Mada: HAIJAPATIKANA KUTOKEA KAMA DR. SAMIA: Mkutano wa Kawe, 28/08/2025 - Je, mabadiliko ni haya?
Mwili wa Ujumbe:
Wakuu wa Jamii Forum,
Nimeona picha hii ikisambaa sana, na ujumbe...
Bwana mzee wetu Kikwete kwa kweli ni mnafiki sana nitanukuu kidogo alivosema kwamba raisi Samia Suluhu Hassan eti amerudisha wafanyabiashara ambao walikuwa wakikimbia kipindi JPM akiwa raisi
Kama...
Walau wasingepitiwa na hili janga la taifa linaloangamiza kizazi cha kesho ambacho ndio nguvu kadi tegemewa ya taifa.
Je, ni kupitiwa ama kwakuwa wamehamanika?
Kitakachofanywa na hospitali za Rufaa na hospital kuu kama Muhimbili ni kutotoa huduma yoyote ya msingi kwa mgonjwa kama hajalipia pesa kwenye huduma husika.
Yes mpaka sasa ndicho kinachofanyika...
"Siwezi kusema kwamba tumefanya kila kitu kilichoelezwa kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi, lakini kwa ujasiri mkubwa naweza kusema tumefanya makubwa kuhakikisha nchi yetu inajengwa na Taifa...
Mimi naomba kama yupo mwwnye majibu anisaidie.
Kama tuliambiwa "tunademka" na kwamba "kifo ni kifo" na hujwahi omba radhi kwa kauli za aina hiyo huku ukisema wewe ni "chura kiziwi' , sasa logic...
Duru ndani ya viunga vya Baraza la Maaskofu zinatabanaisha kwamba, Kanisa linakusudia kusitisha kutoa huduma za Kijamii hadi pale uminywaji wa haki za ki msingi zitakapo komeshwa.
"....baba...
Wakuu
Akiwa anazungumza leo kwenye kampeni za CCM Kikwete amesema kuwa wakati nchi nyingine za Afrika zile hela za Uviko zilikuwa zinaenda kwa wafanyabiashara Bongo Samia alipeleka hizo hela...
Kwa zaidi ya nusu karne sasa jina la Mwalimu Julius Kambarage Nyerere limebaki kuwa mwanga wa siasa na dira ya taifa let.
Baba wa Taifa alijijengea heshima kama kiongozi shupavu, mwenye maono ya...