Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Namtumbo Dkt. Juma Zuberi HOMERA, Tarehe 26 Agosti, 2025 amesindikizwa na Mamia ya Wafuasi na Wanachama wa CCM kuchukua fomu ya Ubunge...
0 Reactions
0 Replies
395 Views
Katika press aliyoiitisha Rais wa Tanzania Law Society (TLS) Boniphace Mwabukusi amesema maelezo ya Polepole ni mazuri lakini hayana facts. Maelezo hayo yameibuka mara baada ya mmoja wa...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Historia inasema Wakoloni waliingia nchini kupitia Zanzibar na Pwani ya Tanganyika kisha wakaanza kuelekea Bara Ujio wa Karl Peters na David Livingston ni mifano iliyopo Je ni Waislam ndio...
2 Reactions
4 Replies
454 Views
Hii ndio Taarifa yake na sera zake kwa umma
4 Reactions
14 Replies
950 Views
Kufuatia funga ya Novena ya Kanisa Katoliki na Mahubiri ya Maaskofu wa Kanisa hilo Jumapili iliyopita, watu mbalimbali hususani wana CCM wamejitokeza kuwazodoa viongozi hao wa Dini kuwa...
0 Reactions
6 Replies
651 Views
Umoja ni Nguvu. Kwa hiyo kuungana na kuwa kitu kimoja ni jambo jema. Muungano wa Tanganyika na Zanzibar lilikuwa pigo kubwa kwa Tanzanyika.
0 Reactions
4 Replies
387 Views
Polepole: Wale wote mliojitoa kuipigani Tanzania tuwe makini sana, muiandaji yupo huko nje anawatafuta awadhuru na wasaii sana, Ni magengeni ya kihuni, ya kiuhalifu na yanahusiano na vyombo vyetu...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Thread: Luhaga Mpina Hana Vigezo vya Kugombea Urais Hii Ndiyo Sababu kiundani na ningeshanga sana kukubaliwa 1.Muda wa Uanachama Ulikosekana Kanuni za ACT WAZALENDO zinahitaji mwanachama awe na...
0 Reactions
5 Replies
714 Views
Mwisho , ataja utakatishaji wa PESA KAMA matokeo ya Samia kutokwenda Kujaza Fomu hizo !!!
1 Reactions
6 Replies
672 Views
Kichwa kimekuwa kizito baada ya kumsikiliza ndugu Polepole, kuna nyakati unakutana na habari ngumu usiyo na majibu hata unaona bora usingeijua...! Ni dhahiri kuwa haitatokea mgombea mkuu wa Nafasi...
1 Reactions
1 Replies
684 Views
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, ni rais wa Awamu ya Nne. Ni Rais aliyediriki kutikisa ngome ya utawala akiwa kijana hata wakati wa Mwalimu. Hatujasahau ngoma zake za Boyz II Men akiwa na kundi...
17 Reactions
56 Replies
3K Views
Hoja yangu nimeileta kwa Wema tu, hasa nikikumbuka ya 2019, 2024 na nikurudishe pia 2020 ambapo uligombea lakini Aliyetangazwa kushinda Ubunge wa Kigoma Mjini ni Kirumbe Ng'enda wa CCM kwa matokeo...
11 Reactions
147 Replies
5K Views
Nimekubali chawa n kazi kama kazi zingine Usiunderestimate machawa kabisaa Mda si mrefu soon tutaonaaa Waliokuwa machawa kwa mda mrefuu nao wanakuwa na machawa Aisee maisha punguza kesii...
0 Reactions
0 Replies
204 Views
Je Mahakama inaweza kutoa uamuzi kama ule ilioutoa dhidi ya Chadema wa kuzuia matumizi ya mali za chama? Je Msajili nae anaweza kumuengua Mgombea wa CCM kujibu barua ya pingamizi iliyoandikwa na...
1 Reactions
8 Replies
479 Views
Watu mnaowalaumu Chauma , Act n.k Hamuelewi maana ya Mwanasiasa , ukiwa mwanasiasa lengo ni kupata madaraka na Cheo na sio vinginevyo. Maswala ya sukari I me panda au sabuni ni ziada. Ndo maana...
0 Reactions
3 Replies
264 Views
Leo hii tunaona wote, wale wanaoamini katika Magufuli wamewekwa benchi. Lakini aliyetuaminisha Ridhiwani anauza madawa ya kulevya anachanja mbuga tu. So ilikuwa mipango ili aaminike na Magufuli...
19 Reactions
81 Replies
6K Views
Ni hapa hapa unganeni na Chadema kudai Reforms. Mnakumbuka kada mmoja wa CCM aliandika barua ya kulalamika kwamba Samia Hana sifa ya kugombea akapuuzwa na msajili Hadi akafungua kesi mahakamani...
0 Reactions
1 Replies
631 Views
Matambiko yafanyike ameshauri Mzee Mabala Lug'wecha. Matambiko yaliotumika kumlinda Mwanamalundi yamlinde pia Luhaga Mpina Naona CCM wameanza kuogopa. Naamanisha CCM ya wahuni Nipo Chato
2 Reactions
4 Replies
602 Views
Political legitimacy is the belief by a population that a government or political institution has the right to rule and that its authority is rightful and justified, not just based on force...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…