Katika taarifa ya kipindi cha Nipashe leo asubuhi hii, toka radio one, imeripotiwa Serikali itafafadhili vijana 1050 watakaosoma masomo ya science ndani na nje ya Nchi.
Taarifa hiyo imeeleza...
Wananchi wakataa mapambio ya MwanaFa kwenye miaka 30 ya Bongo Fleva
Katika hali isiyo ya kawaida, Naibu waziri wa Michezo, Sanaa...., Mwinjuma Hamis maarufu kama mwanaFa amezomewa na kukataliwa...
Kumbukumbu zinaonyesha, Kamati Ndogo ya Maadili ilishawahi kumvua uanachama aliyekuwa Jasusi Mbobevu ambaye kwa Sasa ni Marehemu.
Jibu ni Ndiyo inayo uwezo huo. Na endapo ikitokea, je Tutegemee...
Hakika Mamluki na wale wanaowatumia Hawana intelijensia
Baada ya wadukuzi kuvujisha taarifa ya Selasini masaa 48 kabla sikutarajia Mamluki kuendelea na mpango huo, matokeo yake ni haya ya kila...
Wanabodi,
Hii ni barua ya wazi ya mtu akimuandikia Dada yake.
Japo Dada yake huyo ni mtu mzima, ameolewa na ana watoto, hivyo kwa watoto wake wanamwita Mama na ana wajukuu ambao wanamwita Bibi...
Kama unavyomsikia Bibi wa Taifa kwenye clip hapo chini, anasema maiti za wananchi waliouliwa wakati wa sekeseke la MO29 na kisha miili yao kuchukuliwa na kupelekwa kusikojulikana, ziliteketezwa...
Mwenyekiti wa chama cha EFF, Julius Malema, alisema kuwa vyama vingi vya kihistoria vya ukombozi barani Afrika vimekamilisha dhamira yao ya awali ya kupata uhuru wa kisiasa, na vinapaswa kukubali...
Ruhusa hii imetolewa na jeshi la polisi ambao hawakukataza mikutano! Mikutano ilikatazwa na waziri wa mambo ya ndani.
Hivi sasa kuna ukamataji ambao huenda umelengwa kwa wafuasi wa Chadema...
Bashungwa akiwa waziri wa mambo ya ndani alijaa kiburi cha kupitiliza na dharau sana huyu mtu yuko wapi? Je yaliyotokea October 29 ndo yanaenda kumzika kisiasa...
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime, amesema hali ya usalama nchini kwa sasa ni shwari, hivyo Jeshi litaendelea kupokea taarifa za nia ya kufanya mikutano ya hadhara na vikao...
Tanzania inapokipiga kambi katika ukurasa wa historia ili kuwa mwenyeji wa matukio makubwa ya kimataifa, ikiwemo mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), taifa hili linajikuta katika...
Unaandaa AFCON na unajua kutakuwa na wageni wengi kutoka mataifa mbalimbali, halafu unatangaza nchi yako sio salama kuna magaidi.
Katambi, hukujua kutangaza Tanzania sio salama ni kuigharimu nchi...
Mwanasiasa mkongwe ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira, amesema kuwa katika siasa za ulimwengu hakuna njia za mkato za kuleta amani isipokuwa...
Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (NEC), imemteua aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora na mbunge wa zamani wa Siha, Mkoa wa Kilimanjaro, Aggrey Mwanri kuwa Naibu Katibu Mkuu- Bara...
Nadhani kwa situation iliyopo sasa katika Nchi, ni bora zaidi tufuate wosia wa Nchimbi badala ya kumshambulia au kumpuuza.
Wengine wanasema, huyu asituchanganye kwa sababu naye yupo ndani ya...
Jina la Alex Mwita Msama halihitaji utambulisho wa makelele mengi.
Alex Msama ameweka alama na nembo isiyofutika katika jamii ya Watanzania. Ameibua , kukuza na kuendeleza vipaji vya wengi...
Ilinichukua miezi mitano kufahamu kuwa Rais Samia hana maisha marefu ya kisiasa kwa sababu hana karama, kipaji na ujuzi wa uongozi.
Unaweza kuukataa ukweli lakini hata kama ukiukataa hakuwezi...
Wengi wetu hatukumuelewa Dr. Nchimbi pale aliposema Watanzania tupambane ili kupata Katiba mpya, na hadi tukaanza kuuliza, tupambane dhidi ya nani basi, Samia? CCM? Polisi?
Kuna watu hata...