Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa za kiuchumi, ambapo mapato ya serikali mara nyingi hayalingani na matumizi yake. Badala ya rasilimali nyingi kuelekezwa katika maendeleo ya wananchi...
Wakuu!
Baada ya Tume Huru ya Uchaguzi kuwaidhinisha wagombea 17 wa vyama vya kisiasa na kuanza rasmi kwa kampeni, ni wazi huu ni mwaka wa uchaguzi ,Tumeona wagombea wakijinasibu kwa mbwembwe na...
HAKUNA MKUBWA ZAIDI YA CHAMA.
Usemi huo unaamana kubwa sana katika muktadha wa kusimamia haki, Misingi,kanuni, katiba na Imani ya chama cha mapinduzi inayoamini kuwa BINADAMU WOTE NI SAWA...
|||Chini ya uongozi wa Rais Samia Kuanzia mwaka 2021 hadi 2025, Mkoa umepokea Shilingi bilioni 155.24 kwa ajili ya kuboresha Elimu kwa kujenga na kukarabati Shule, kuongeza walimu na kuimarisha...
Wakuu,
Yaani kila sehemu ukienda wagombea wanazungumzia kujenga barabara, hospitali, shule na umeme
Lakini sijasikia mtu yeyote akisema kuhusu namna gani watalinda vyanzo vya maji, watapunguza...
Uzi Maalum wa mijadala yote ya michakato ya ziara za kampeni za mgombea nafasi ya Urais Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu na Mgombea...
Sheria ni sheria hata kama ni sheria mbaya. Uchaguzi huu unaendeshwa kwa mujibu wa sheria zetu hadi hapo sheria itakaposema vinginevyo. Kelele zinazosikika za akina MWABUKUSI na wengine ni kelele...
Uzalendo wa kweli si kupambana na wananchi na raia wanao toa maoni pinzani dhidi ya mwenendo usio ridhisha wa serikali yao waliyo ipa dhamana .
Bali ni kupigania usalama wa taifa na rasilimali...
Wana JF,
Naomba mniruhusu niweke picha zenye sura za walioshiriki kitendo hiki cha kihuni ambacho ni uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu kama kamera yangu ilivyokinasa.
Nina picha ambazo...
Ukiacha CCM vyama vingine vilivyobaki hata ungewapa wagombea Urais wake IST ya bure bado kuijaza mafuta wazunguke japo mkoa mdogo kama Dar kwa ajili ya kampeni wasingeweza kutokana na hali zao za...
Ikiwa leo ni siku ya mwisho ya uandikishaji wa watu watakoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa, CHADEMA wanahamasisha wananchi wajitokeze kujiandikisha lakini CCM wanaendelea kuimarisha mbinu zao...
Hivi kwa hili jua la Dar es Salaam ila watu wanajazana kwenda kukaangwa na sera za uongo
Kweli Dar watu hawana kazi, haya nendeni
hapa ni kama naskia ule wimbo wa kekundu wajinga ndiyo waliwao
Mgombea Ubunge jimbo la Kinondoni kupitia CHAUMMA Moza Ally amesema amejipanga kushinda Jimbo hilo, licha ya ugumu wa Mbunge wa sasa anayewakilisha Chama tawala.
Moza amesema anafahamu matatizo...
Hawa hapa
Kingine unachopaswa kukumbuka ni hiki, Dkt Wilson Mahera aliyekuwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi 2020 ni Mgombea Ubunge Jimbo la Butiama kwa tiketi ya CCM
===========
Mgombea wa...
LITANIA YA USHINDI
Ee Mungu Baba kwa namna ya pekee utuvushie mtu huyu kwa salama ili naye atuvushe kutokea sasa na hata baadae ili akiingia kuwa kiongozi wa nchi, basi aiweke misingi ya...
Wote tunakumbuka nyomi ya Lowasa 2015 wakati anarudisha fomu Tume ya uchaguzi jinsi lilivyosimamisha shughuli zote Posta
Kesho yake Tume ya uchaguzi ikapoga marufuku wagombea kusindikizwa...
Wasanii wengine watu wamewa unfollow kwenye kurasa zao na wanatukanwa na kubezwa kisa kuonesha wanaunga mkono juhudi za chama
Huyu mwamba yeye wala hatetwi untouchable hata akifiwa na mpendwa...