Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Walau wasingepitiwa na hili janga la taifa linaloangamiza kizazi cha kesho ambacho ndio nguvu kadi tegemewa ya taifa. Je, ni kupitiwa ama kwakuwa wamehamanika?
0 Reactions
21 Replies
788 Views
Kitakachofanywa na hospitali za Rufaa na hospital kuu kama Muhimbili ni kutotoa huduma yoyote ya msingi kwa mgonjwa kama hajalipia pesa kwenye huduma husika. Yes mpaka sasa ndicho kinachofanyika...
1 Reactions
2 Replies
336 Views
"Siwezi kusema kwamba tumefanya kila kitu kilichoelezwa kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi, lakini kwa ujasiri mkubwa naweza kusema tumefanya makubwa kuhakikisha nchi yetu inajengwa na Taifa...
3 Reactions
19 Replies
916 Views
Mimi naomba kama yupo mwwnye majibu anisaidie. Kama tuliambiwa "tunademka" na kwamba "kifo ni kifo" na hujwahi omba radhi kwa kauli za aina hiyo huku ukisema wewe ni "chura kiziwi' , sasa logic...
5 Reactions
5 Replies
390 Views
Yaani wapeleke bungeni commediana na chawa kama huyu Alafu waache msomi kama Zitto Haiwezekani japokuwa ana mapungufu.
2 Reactions
17 Replies
790 Views
Duru ndani ya viunga vya Baraza la Maaskofu zinatabanaisha kwamba, Kanisa linakusudia kusitisha kutoa huduma za Kijamii hadi pale uminywaji wa haki za ki msingi zitakapo komeshwa. "....baba...
5 Reactions
50 Replies
3K Views
Wakuu Akiwa anazungumza leo kwenye kampeni za CCM Kikwete amesema kuwa wakati nchi nyingine za Afrika zile hela za Uviko zilikuwa zinaenda kwa wafanyabiashara Bongo Samia alipeleka hizo hela...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Hali ya Tanzania ya sasa ni hii hapa Nyerere quoted 😰😰😰🤝 https://www.facebook.com/share/v/17PEnm9VsA/
1 Reactions
3 Replies
351 Views
Kwa zaidi ya nusu karne sasa jina la Mwalimu Julius Kambarage Nyerere limebaki kuwa mwanga wa siasa na dira ya taifa let. Baba wa Taifa alijijengea heshima kama kiongozi shupavu, mwenye maono ya...
1 Reactions
23 Replies
972 Views
Maneno yangu sio ya unabii wala mitume ni mawazo binafsi na muelekeo wa kesi tokea huko ulipotokea ,tusidanganyane kuna mawakili mimi huwaita mawakala. Kesi ya Lisu ni nzito tena nzito sana...
1 Reactions
112 Replies
5K Views
Mtu mmoja anatumika na watu wahuni kukwamisha mambo ya chama, CHADEMA inaingia kwenye mtego kirahisi. CHADEMA ilipaswa kukubali siku ya kwanza kabisa mali kugawana sawa kwa amri ya mahakama...
8 Reactions
32 Replies
2K Views
Licha ya wapiga picha kujitahidi kutafuta Picha Kwa engo inayoweza kuonyesha Umati ni mkubwa Licha ya Wasaniii wote kuwepo. Licha ya matangazo kufanyika Kwa miezi na miezi. Licha ya kutumia...
17 Reactions
50 Replies
4K Views
Rais Samia Suluhu amesema ya kwamba CCM ikipata ridhaa ya kuchaguliwa na wananchi kuendelea kuiongoza serikali, basi ndani ya siku 100 za mwanzo za uongozi wa serikali ya Rais Samia Suluhu...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Jana Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM ametoa ahadi nyingi za mambo ambayo Serikali yake itatekeleza katika kipindi cha siku 100 za mwanzo. Moja kati ya mambo hayo ni kuhakikisha kuwa itaondoa...
2 Reactions
6 Replies
661 Views
AHADI - ALIITOA AKIWA WAPI... Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini Tabora kutumia maji ya Ziwa...
16 Reactions
850 Replies
97K Views
Walimu wote wa shule za serikali wametakiwa kufika bila kukosa kwenye kampeni za mgombea wa CCM leo na kila mkuu wa shule ametakiwa kuchukua ripoti ya walimu watakao hudhuria. Aidha wanafunzi wa...
16 Reactions
35 Replies
2K Views
=== Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameahidi trekta 100 sawa na trekta moja kwa kila kijiji nchini ikiwa atachaguliwa kuongoza Serikali katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Akizungumza...
6 Reactions
46 Replies
2K Views
Mnafanya Matendo ya ajabu kwelikweli mpaka Watanzania wanawaona mna akili za kitoto. Unaweza usishangae sana kwakua ni Chawa na Mipango Yao ya kichawa, Shida ni Kwa huyu anayezipokea, yaani...
18 Reactions
62 Replies
2K Views
🔹 Magonjwa yenye gharama kubwa mara nyingi ni kama vile: Saratani (cancer) Magonjwa ya moyo Upandikizaji wa figo na matatizo ya figo Upasuaji mkubwa Magonjwa ya kurithi na yasiyoambukiza ambayo...
1 Reactions
3 Replies
367 Views
Vijana na wazee , ipo kila sababu ya kwenda na Mama 2025-2030 ili akamilishe Kazi ambayo alikwisha ianza. Kwanini Twende na mama ? 1. Mama ni msikivu 2. Mama ana uwezo mzuri wa kuongoza na...
0 Reactions
36 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…