Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Polepole anasema mgodi wa makaa ya mawe uliuzwa kwa bei ya kutupwa kwa mtu fulani. Mgodi ule unakadiriwa kuwa na metric tani 400 millioni. Hata ukiwa unachimbwa metric tani 1 millioni kwa mwaka...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Kesi ya madai namba 8323/2025 iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar Said Issa Mohamed na wenzake wawili (2) dhidi ya Bodi ya...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Ikulu mawasiliano wanaendelea ku-update kinachoendelea kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM, Swali la kujiuliza Ikulu ni mali ya serikali au ni mali ya CCM? Je watapost kampeni za vyama vyote...
2 Reactions
6 Replies
570 Views
Wakuu! Katika mfumo wa kidemokrasia, ni muhimu vyombo vya habari vya umma kutoa usawa kwa vyama vyote ili wananchi wapate fursa ya kuamua kwa taarifa sahihi. Hivi karibuni kumekuwapo changamoto...
1 Reactions
10 Replies
596 Views
Alianza kwa kushindana na Edward Lowassa then na Tundu Lissu. Pamoja na mifumo kumbeba ila pia alikuwa na timu nzuri ya wajenga hoja na kazi zake na historia yake nzuri vilimbeba. Hawa...
2 Reactions
11 Replies
403 Views
Nawasihi sana mke au demu wako akikuaga anaenda sokoni usikubali. Hiyo ni appointment anaenda kupata ukimwi huko
3 Reactions
12 Replies
904 Views
Ilani iliyozinduliwa jana na mgombea wa CCM kuinadi, ni ilani dhaifu ambayo haijawahi kutokea naweza kusema hivyo Je, hii ni kutokana na uwepo wa deni kubwa sana kama nchi au namna gani au ni...
0 Reactions
8 Replies
637 Views
Naibu Mkurugenzi wa Itikadi, Mafunzo na Elimu kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Dorice Nicholaus Mpatili amesema chama hicho hakina uhusiano wa kimuundo na Chama cha Mapinduzi...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa sasa siasa na uongozi si kwa ajili ya nchi tena, ni kama ajira au biashara nyingine, Serikali ilio madarakani imeajiri watu wengi ambao ajira zao zinatokana na chama kilicho madarakani, kwa...
1 Reactions
14 Replies
664 Views
Hii ndiyo Taarifa mpya inayozunguka mitaani kwa sasa. Inadaiwa hayo ni maelekezo Rasmi kutoka kwa walioshika mpini na wanaonufaika na Keki ya Taifa. Ngoja tuone Mwisho wao Utakuwaje.
8 Reactions
52 Replies
3K Views
Muda mfupi baada ya Rais Samia Suluhu kuingia madarakani 2021, alifanya ziara ndogo mkoani Morogoro, na akaongea na watu pale Msamvu tarehe 7-04-2021. Pale Rais Samia Suluhu aliwatoa watu wa...
2 Reactions
9 Replies
888 Views
Niende kutiki au nisiende haina madhara yoyote kwenye matokeo Sina sababu hata moja ya kuinua mguu kwenda kupiga kura. Njia ni nyeupe kabisa, kuna uhakika tayari wa matokeo yatayobandikwa kuwa...
0 Reactions
5 Replies
474 Views
Kilichotarajiwa kuwa tukio kubwa la ufunguzi wa kampeni za CCM.. Kiligeuka karaha kwa wakazi wa Dar hasa wa maeneo yote kuelekea njia za Kawe, Bagamoyo, Bahari beach nknk. Tukio lililopaswa kuwa...
16 Reactions
41 Replies
2K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, amesema, "Vijana wa nchi hii watambue wana wajibu wa kujiunga CCM, pia wana wajibu...
3 Reactions
15 Replies
930 Views
Nyela Kamwene! PEOPLESSS POWER! Ni muda mrefu nimekuwa mgumu kutoa maamuzi juu ya ombi lenu la kuja kugombea ubunge jimbo la mufindi kaskazini sasa nimeamua rasmi.Nakuja nakuja tusaidiane kuinua...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni nani,bado sijamfahamu
4 Reactions
15 Replies
1K Views
GT Wakulima husema "Kama umeshindwa kupata mazao mengi katikati ya shamba unategemea upate pembezoni au mpakani 😲😯" hili ndilo linamhusu Kikwete. Kikwete amekuwa serikalini toka ujana wake zaidi...
10 Reactions
21 Replies
1K Views
Baadhi ya wanachama wa Chama cha ACT-Wazalendo katika Jimbo la Mbulu-Vijijini, Wilaya ya Mbulu, Mkoani Manyara, wamepeleka pingamizi la kumpinga Mgombea wa kiti cha ubunge kwa tiketi ya chama...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hapa Tanzania kumegawanyika makundi mawili ya watanzania, kuna kundi linalounga mkono uchaguzi wa mwaka huu na lipo linalopinga mchakato wa uchaguzi wa mwaka huu. Lile linalopinga linaongozwa na...
2 Reactions
7 Replies
355 Views
Kwa sasa inafahamika wazi kabisa kuwa ni watu wachache sana ndio wanaoimiliki CCM na Tanganyika, na hao wachache wakishaamua, hakuna wa kupinga, wa kubadili au kuzuia. Kama huo ndio ukweli...
0 Reactions
6 Replies
373 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…