Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa siku 30 na kumtaka Mkandarasi Kampuni ya CHICO anayetekeleza ujenzi wa upanuzi wa barabara ya Nsalaga - Ifisi (km 29) kwa njia nne, jijini Mbeya kuongeza...
Mbeya, Tanzania – Machi 23, 2025 – Katika hatua muhimu kwa upinzani wa Tanzania, Dk. Wilbroad Slaa, ambaye aliwahi kuwa katibu mkuu wa Chadema na mgombea urais wa chama hicho mwaka 2010, amejiunga...
Tunapo azimisha Pasaka ya mwaka huu ni Pasaka ya pekee kidogo kwetu Watanzania hasa tukikumbuka kwamba huu ni mwaka ambao Watanzania watahusika katika masuala ya uchaguzi. Uchaguzi huo ambao...
Haya ni maneno ya Mzee Butiku:
Kwamba Samia anayajua, kumbe shida nini?
Kama angependa kuendelea hata kama kina M7 si aseme tu?
Ya nini kuitisha chaguzi viini macho?
Ya nini kusumbua watu...
https://www.youtube.com/live/2AL9sZGpSbA
Ufunguzi wa kikao kazi cha Mafunzo na Mazingativu cha Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya Michezo Tanzania Bara, mgeni rasmi Waziri Mkuu wa...
Atoa Bati 30 kwa Wajasiriamali na mifuko 30 ya saruji ujenzi zahanati Nyange
🗒️JUMATATU 21 APRIL 2025.
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mhe. Dkt. Florence George Samizi, katika ziara yake leo Kata...
Hali ya siasa ikibaki kama ilivyo na tume hii ikibaki kama ilivyo iwe jua iwe mvua Mama Samia ni Rais na Dr Nchimbi ni Makamu wake! Na wakishinda watakuwa madikteta maana watakuwa wameshika Chama...
..ukweli ndio huo.
..Samia Suluhu na Emmanuel Nchimbi hawataki Reforms.
..Wagombea hao wanataka marudio ya uchaguzi kama wa Oct 2020, na Nov 2024.
..CCM inapaswa kuachana na wagombea hao ambao...
Baraza la Maaskofu kupitia ujumbe wao uliosomwa na Rais wa TEC na Askofu wa Jimbo katoliki Lindi Mhasham Wolfgang Pisa, wameeleza kuwa changamoto zilizojitokeza zinapaswa kufanyiwa marekebisho...
BALOZI NCHIMBI ATOA SALAMU ZA PASAKA KATIKA MTOKO ULIONDALIWA NA WASANII WA INJILI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametoa salamu za Sikukuu ya Pasaka...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dkt Balozi Emmanuel Nchimbi kuanza ziara ya Siku tano katika Mkoa wa Mara
Karibu kufuatilia ziara hiyo kupitia vyombo vya Habari na Mitandao yetu ya Kijamii...
Kuna uamuzi uliopitishwa na CHADEMA ya No Reform No Election na kama wataendelea kushika uamuzi wao huu wapiga kura 2025 watapungua kwa kiasi kikubwa sana.
Ni vema Serikali ikafikiria na kufanya...
Chama Cha Wananchi (CUF) kimesisitiza kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu, huku kikiwaalika makada wa Chadema waliounda kundi la G-55, kujiunga nao ili wagombee kupitia chama hicho.
G55...
Siasa isichanganywe na dini, sisi tunasema dini iheshimike, dini inakubalika, dini iachiwe nafasi kwa mujibu wa taratibu za dini" -Mzee Joseph Butiku - Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Julius...
Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi,(CUF) wilayani Handeni mkoani Tanga Hilary Kitwanga ametangaza kuhama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi,(CCM).
Akizungumza kwenye kikao cha...
Ibada hii imefanyika katika Usharika wa Agape Kahama, Jimbo la Magharibi Kahama Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria. Imeongozwa na Mkuu wa Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria Baba...
Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imesema katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 hakuna mtu ambaye atazuia wala kuleta vurugu katika uchaguzi huo huku Jumuiya hiyo...
Jumuiya ya Umoja wa Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imekionya vikali Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA baada ya kuwepo kwa tuhuma za kupanga kuzuia kufanyika kwa...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Tanga ndugu Ramadhani Ally Omary (Somo) amewataka viongozi wa chama cha maendeleo na Demokrasia (CHADEMA) kuwa na msimamo kwa...
Aisee watu wa type ya Tundu Lissu huwa hawazaliwi hovyo hovyo
Lissu ndo mtu sahihi sana kwa Tanzania
Wallah kama kiongozi tunaye
Katika mtu unayeweza kumuamini na ku-count on him basi ni huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.