Mwenye nyumba ya Malawi alikuwa katili sana na mbaya zaidi hata wale vijana wake wa shambani walikuwa hawamsikilizi msaidizi wa kazi za ndani! Kwakuw msaidizi wa kazi za ndani alikuwa kashalalwa...
Huyu ni makamu mwenyekiti akiandika ktk X Twitter page yake
"........Nimepata taarifa na siwezi kuzipuuza. Kwamba hawa jamaa wanaandaa mbinu ikiwemo kushambulia viongozi wetu kwa mbinu za...
Na Mwandishi Wetu
Dar es salaam. Shilingi ya Tanzania (TZS) imeonyesha kuimarika dhidi ya Dola ya Marekani (USD) katika kipindi cha hivi karibuni Kutoka kununuliwa kwa 2,670,00 hadi 2,451.0297...
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Mhe. Gombo Samandito Gombo, ameahidi kumuachia huru mwanasiasa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, endapo...
Ni leo, Septemba 2, 2025 kwenye kituo cha Azam TV kupitia chaneli yao ya UTV. Je, atazungumza nini? Atajibu tuhuma za Humprey Polepole, atazungumzia Uchaguzi, au ana jambo gani hasa huyu ambaye...
Wakuu leo nimeukumbuka ujumbe wa Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) dhidi ya kauli za watawala kudai makanisa kuingilia masuala ya siasa wakati huo kanisa linapambania haki na maslahi ya...
Leo ni Jumatano ya tarehe 3 siku nyingine ambayo balozi mstaafu Humprey Polepole ameahidi kuja na pigo lingine jipya litakalowachanganya mbogamboga maslahi wazidi kupoteana
Jakamoyo ni kubwa na...
Ukifatilia Jijini Daslama na kuchungulia parking za watu , unaona kabisa huu ni utakatishaji wa Pesa.
Kwakuwa hakuna biashara ya muajiriwa wa serikili kumiliki Lamborghini. Bugatti, n.k
Magari...
Chama tawala nchini Tanzania, CCM, kimehitimisha mchakato wa uteuzi wa wagombea wake wa ubunge kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, ambapo matokeo yake yameibua mshangao baada ya baadhi ya...
Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga kiwanda chake cha chai.
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na...
"Dkt. Samia Suluhu Hassan ametimiza mambo makubwa ambayo Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere aliyatamani lakini hakuweza kuyafanya." - Profesa Palamagamba Kabudi kwenye kampeni za CCM...
Ilipofika Agosti 1 mwaka 1982, alfajiri ilianza kwa kimya kilichojaa tafakari ya taifa. Lakini katika kiza cha mapambazuko, lilizuka tone la radi la kisiasa, jaribio la kumpindua Rais Daniel arap...
Aisee mambo yanazidi kubamba, Kitanzi kinazidi kukaza, na hali imekuwa si hali tena, kiufupi hamkani si shwari tena.
Huku wajinga wakiamini kuwa kwa kuteka na kupoteza watu sauti ya kudai haki na...
CCM wana 100b na zaidi. Hawajazipeleka mikoani kusaidia kampeni za wabunge. Zinatumika kwenye timu ya Nchimbi na Samia tu.
Kupewa magari, mafuta na posho za madereva haitoshi si unaona hata...
Japo hii ni hypothesis, mambo hubadilika na visivyotegemewa hutokea. Hivi itakuwaje kama Samia atabwagwa na vibaraka wake aliowaweka ili kuhalallsha uchafuzi wa demokrasia uitwao uchaguzi?
Habari Wana JF
Katika tafiti nilizozifanya nimegundua 99% ya watanzania oktoba watatiki na 1% iliyobaki niwatoto ambao bado hawajafikisha umri wakupiga kure
Takwimu hizi zinadhihirisha yakua...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametetea ongezeko la deni la kitaifa nchini humo, akisema deni hilo ni endelevu, haya yakijiri baada ya benki ya kitaifa kusema deni la kitaifa limefikia...
Kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 53 na 65 vya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024 vikisomwa pamoja na kanuni ya 29(1) ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge...
Mitano tena kwa Jesca Magufuli
===============
Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi ameendelea kufanya mikutano...