Narudia tena hakuna hatari kubwa kiusalama Kama watu kuzibwa midomo.
Hakuna hatari kubwa Sana kwenye usalama wa Taifa Kama watu kukosa platform na kuanza kuwasiliana kwa code.
Mlianza na...
Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ADA TADEA, Juma Ali Khatib amesema Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi amefanya mambo kubwa hivyo anafaa...
Jina: Al-HAJJ NOURDIN MUSHI.
Ametekwa jana 05/September/2025 majira ya saa moja jioni.
Imeripotiwa:
RB No:- MBN/RB/2209/2025
Kituo cha polisi Mbweni.
Mwenye taarifa awasiliane na namba:-...
Ndugu zangu Watanzania,
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Philipo Mpango ameweza kufika na kutoa pole na mkono wa faraja kwa Waziri wetu wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed...
Hii ilikuwa tarehe 15 June 2015, katika nyakati ambazo joto la uchaguzi mkuu katika kiti cha URAIS lilikuwa limepanda Sana.
Macho, masikio, pua na mdomo vilielekezwa kwa Hayati John Magufuli na...
Shirika la Vijana na Wanawake Tanzania (TAFEYOCO) limewataka wananchi kutumia mitandao ya kijamii kwa uangalifu na kwa manufaa, ili kudumisha amani na utulivu kuelekea Uchaguzi wa Madiwani...
Hii serikali awamu 6 ambayo inafanya kila kitu. Mpaka Prof Kabudi anasema Mama anafanya yale ambayo Nyerere alitamani kuyafanya Mama anajaza mikutano yake.
Leo hii wanaogopa wakosoaji wa JF...
TAARIFA KWA UMMA
Msafara wa viongozi wa BAVICHA Taifa na Kanda ya Kaskazini, ukiwa njiani kuelekea nyumbani kwa familia ya akina SOKA kama sehemu ya kuenzi mashujaa wetu, umekumbwa na vizuizi...
Kule FB wamesafisha hutaona comment za no reform no election tena ni mwendo wakujisifia tu. Ukiposti maswala ya no reform no election unafutwa chapu sana. Sasa kampeni mnafanya ili mshindane na...
Utekaji, Mauaji yanayoendelea nchini ni Kwa sababu ya Hakikisho la Uungaji mkono linaloendelea kutoka UCHINA, URUSI, NA DPRRK na Nchi wenye mlengo wa Ujamaa !!.
Maana yake nini ? CCM inaenda kua...
https://youtu.be/Gf6xImh1lEk?si=H-r2cFmd2xPTutwR
Sina hakika kama hiki kipande cha video kuhusu utekaji unaoendelea Tanzania kililetwa hapa.
Kama kililetwa basi mods wanaweza kuunganisha nyuzi...
Mimi Jidu ni mnazi wa Mama Samia, ila kwa safari ya Addis Ethiopia, wardrobe imekosa viwango. Wapambe wa mama mkoje lakini?
Sare alizovaa mama hapa haziko Diplomatic na utafikiri anaenda kitchen...
Note: kama huwezi kuweka maoni yako bila matusi, just skip this thread/post and forge ahead.
Niliandika hapa kuhusu character assassination tuliyoshuhudia wakati wa kampeni....... it is still...
Mimi naona kama Mzee alienda UTV kujisafisha lakini Tido Mhando angeuliza maswali technical kama haya, sidhani kama Mzee Aziz angeendelea na interview hiyo;
1. Mheshimiwa Rostam Aziz, umedai kuwa...
Huu ni ushauri kwa Rais Samia. Nimeona wewe na Nchimbi mnahaidi kuunda tume ya maridhiano ndani ya siku 100 mkichaguliwa.
Naomba nitoe ushauri kwa Rais Samia. Tunaomba CCM ilidhiane na vyama...
PS: Huyu mwamba anaposema "Mimi sijaanza kuzalisha makaa yangu ya mawe" ni dharau kubwa kwa nchi, anaongelea rasilimali ya nchi as if ni mali yake binafsi, wakati yeye ni muwekezaji tu.
Na watu...
Katika mambo ambayo Magufuli alikuwa hayapendi ni uhuru wa vyombo vya habari mara zote alivichukia
Alishawahi kutamka kwamba ingependeza malaika waje wafunge mitandao Tanzania na aliongea...