Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 3,078
- 5,983
Kule FB wamesafisha hutaona comment za no reform no election tena ni mwendo wakujisifia tu. Ukiposti maswala ya no reform no election unafutwa chapu sana. Sasa kampeni mnafanya ili mshindane na matawi yenu kweli.
Just wastage of money and time, unaendaje kwenye uchaguzi ilhali chama cha upinzani umekipiga ban.
Hilo chopa ni lenu ccm au mnatumia mali za umma? Eti tumesafisha vyama pinzani tumebaki kijani🤣🤣🤣
Daah hii sesemu bn🤣
Kampeni zenyewe hakuna hoja za msingi kupoteza muda tu na kututimlia vumbi tu na hilo choppa.