Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Labda mlidhani itakuwa rahisi kuwafanyia uonevu kwakuwa ni moja ya kabila ambalo halijachanganyika sana na makabila mengine Tanzania. Huo ni ujinga na upumbavu kuwaza hivyo, hatukujenga nchi yetu...
3 Reactions
20 Replies
506 Views
Mfanya biashara mwenzetu katupatia code moja matata. Usiku wa kuamkia leo alipewa tenda na kuambiwa aanze kazi chap chap! Kazi ni kuhamisha “special” packages kutoka nyumba maalum huko Masaki...
13 Reactions
40 Replies
2K Views
Tumefanya kazi na wewe pale Carwash vizuri sana kwa mwaka na nusu mpaka ulipata shida. Tulilipa hela yao na ukarudi mtaaani ila wakaona utafaidi sana kuishi wamekuchukua na mpaka leo...
12 Reactions
23 Replies
888 Views
Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Clayton Chipando Maarufu Baba Levo ametoa ufafanuzi kuwa siku ya tarehe 11 na tarehe 12 Oktoba 2025 Jimbo la Kigoma Mjini...
0 Reactions
2 Replies
184 Views
Kituo cha Anga za Juu NASA - Zanzibar, kilichoko kilomita 15 mashariki mwa Mji Mkongwe, kilijengwa mwaka wa 1960 ili kufuatilia na kuwasiliana na Misheni za Anga za kwanza zilizofanywa na watu wa...
0 Reactions
13 Replies
734 Views
Hoja iliyopo midomoni mwa watumishi wa serikali na watawala nikutuaminisha kwamba mizigo inacheleweshwa bandarini. Lakini miaka miwili nyuma tulisifia sana ufanisi wa bandari. Je haiwezekani...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Ni taarifa za kushangaza, za kutisha, za kukera na kuogofya sana. Nimeongea na viongozi wengi wa ngazi zote, za chini, za kati na za juu. Wote wanakubaliana katika jambo moja: wananchi...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Wanabodi nawaamkua Muda mrefu nimekuwa msomaji humu kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu. Lakini kwa uwezo wa Mungu Muumba nimeona nichukue wasaa kuandika huu uzi mfupi. Tanzania (Tanganyika)...
28 Reactions
21 Replies
1K Views
Duru za ndani ya CCM zinanyetisha kuwa hali ya mtafaruku na mfadhaiko mkubwa imeikumba CCM kutokana na pigo takatifu la ushindi wa Tundu Lissu na John Heche katika uchaguzi wa CHADEMA taifa...
58 Reactions
185 Replies
9K Views
TAARIFA KWA UMMA Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kati tunatoa taarifa kwa umma na kulaani kitendo cha utekaji wa kiongozi wa kata ya Ikungi anayejulikana kwa jina la Issa...
0 Reactions
0 Replies
168 Views
Kwa kinachotokea kwa Wamasai sasa sio UTU kabisa na nakumbuka mara kadhaa tulipokutana uliniambia kuhusu ndugu zako Wamasia unavyotaka kuona wakiheshimiwa kama watu wengine. Leo hamna thamani...
4 Reactions
15 Replies
454 Views
Huwezi ukataka kushusha thamani ya mtu mwingine alafu tukakukalia kimya eti kwasababu ya cheo chako, hilo haliwezi kutokea. Na tutakuthibitishia kuwa haliwezi kutokea. Nchi yetu imejengwa kwenye...
2 Reactions
11 Replies
452 Views
Ufisadi ambao ulikuwepo tukaufumbia macho umekuwa na umekuwa kwa kiasi kikubwa sana mpaka mamlaka ambazo unategemea zitakuwa mbele kukemea na kuchukua maamuzi sahihi juu ya haya mambo zinakaa...
5 Reactions
16 Replies
409 Views
Tumefuata utaratibu wote katika harakati za kupambania haki yako kabla ya kutekwa mara ya mwisho kabisa, ila kila mamlaka ilikuwa inatuona kama tunacheza, sisi hatuna thamani, uhai wetu hauna...
6 Reactions
13 Replies
412 Views
Mambo lazima yagome, huwezi kufanya huu ujinga na tukaulelea hakuna hiyo namna. Sasa hivi wananchi wa Tanzania wamekosa wawikilishi kabisa kwasababu raisi achallengiwi wenye chochote kila Waziri...
2 Reactions
5 Replies
289 Views
Pengine moyo wangu waweza kuamka tena ili kuisaidia nchi yangu japo kwa kikombe cha maji. Loading.........
2 Reactions
2 Replies
175 Views
Mambo mengine mtaelewa siku zijazo ila kama nilivyowaambia kwenye nyuzi zilizopita, familia ya Ali Kibao,Shedrack Chaula, Mdude Nyagali, Soka, vijana wa bodaboda waliopotezwa na kila mtu ambaye...
2 Reactions
3 Replies
218 Views
Hili nililiona kwa yule Chonchori nikashangazwa zaidi mpaka wenyewe wanaogopa hili genge alafu wanataka kutuaminisha hiyo ni amani mko sawa nyie??? Mzee haki yako pia itapiganiwa na sisi raia...
1 Reactions
1 Replies
161 Views
Watu wengi walijua uteuzi mkuu utafanyika tena kipindi hiki na ushindani ungeishia ndani ya chama pekee, huku kwenye kura iendelee kuwa kiini macho. Pole mwanangu T, ulikuwa mpumbavu tu kwa kuwa...
2 Reactions
2 Replies
288 Views
Watu walinunua teuzi kwa mamilioni ya pesa kwa kuwa inaeleweka uchaguzi mkuu kwao ni ndani ya cham tu huku nje maigizo. Wengine wakaamua kusaliti harakati za ukombozi na kugeuka machawa wa...
0 Reactions
4 Replies
278 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…