Taifa linakuhitaji

Taifa linakuhitaji

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,949
Reaction score
38,700
Wanabodi nawaamkua

Muda mrefu nimekuwa msomaji humu kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu. Lakini kwa uwezo wa Mungu Muumba nimeona nichukue wasaa kuandika huu uzi mfupi.

Tanzania (Tanganyika) ilipofikia sasa ni njiapanda ngumu with narrow escape. Sababu za kusema hayo ni kwamba
  1. Viongozi wamejigeuza watawala huku wakidhibiti maoni chanya na ukosoaji wowote
  2. Vyombo vya dola vimewageuza raia sisi kama adui namba moja wa nchi
  3. Wengi wanaosimama na wananchi, wanaonekana ni mongers wa madaraka. Ambapo wakipewa madaraka baada ya kuhamia CCM wanageuka more vampires kuliko wenyejj CCM.
  4. Srrikali imejitenga na wananchi. Katiba hususan Ibara ya 8 inapuuzwa na kusiginwa kupitia matendo ya Serikali
  5. Kutekwa na kuuawa wakosoaji na ili mkosoaji apone chupuchupu ni pale atakapobambikizwa kesi na kushtakiwa
  6. Mhimili wa Mahakama umegoma na kukwepa kusimamia HAKI. Mahakama kwa umoja wake imesimama upande wa watawala bila kujali athari za muda mrefu
  7. Wapunzani wamefunguliwa kesi za kubumba, mfano kesi ya uhaini dhidi ya Lisu n.k.
  8. Sababu ni nyingi, unaweza kuongezea za kwako pia...

Nchi inakuhitaji kwa sababu;
  1. Uzalendo ni kuipigania nchi hususan ustawi chanya wa demokrasia, uchumi, kisekta, kiutamaduni na kadhalika kwa gharama yeyote.
  2. Mungu anaifuta CCM, hivyo ni jukumu lako na langu kutumia akili na hekima alizotupa Mungu kutengeneza mbadala wake
  3. Mfumo wa nchi umejengwa katika kuisaidia CCM kuliko nchi. Mauaji na matukio hasi ya kisiasa dhidi ya raia yanaonekana dhahiri kutendwa ama kuratibiwa na vyombo vya dola. Hivyo kama mimi na wewe hatutosimama kuhesabiwa kila mtu atafikiwa kwa wakati wake na kutendwa kiuovu, yowe la mtu mmoja liamshe MAYOWE ya kupambanja haki

No Reforms
No Election
 
Karibu tena mkongwe.

Members wa mwanzoni kabisa wa JF. Nice to see you here again.

Ulichosema tumekusema sana kwenye hizi nyuzi

Mkuu nashukuru sana.

Ninasoma humu daily ingawa nakwama (kiafya) kuandika sana. Naishia kuwasoma akina Lucas Mwashambwa wakiendeleza upotoshaji ingawa hawafanikiwi kupotosha
Pole sana Kaka nimeona Mkurugenzi Melo ndio katuambia haupo sawa kiafya. Na baada ya muda mfupi tumeona unatuma huu uzi.

Kuhusu hoja za kina Mwashambwa hizo tayari majibu yake ninayo. Kusifia
#CCM dude kubwa
#Kazi iendelee
#Mama ni mpango wa Mungu nk

Hizo nilizo hash tag na zingine naziandalia uzi na Maelezo ya ziada halafu kama ana akili timamu aje kuzijibu.

Inawezekana vipi Lucas Mwashambwa, chiembe Shotocan wanakuja na hoja za kizembe halafu tunashindwa kuwajibu tena kwa facts zilizoshiba?
 
Wanabodi nawaamkua
  1. Mungu anaifuta CCM, hivyo ni jukumu lako na langu kutumia akili na hekima alizotupa Mungu kutengeneza mbadala wake
Siasa ni sayansi, sayansi ya siasa, political science, inafuata kanuni zote za kisayansi, yaani scientific principles, kanuni kuu ya kwanza ni
  1. being- uwepo!, ili kitu kiwepo ni lazima kwanza ki exist, yaani kipo, kimeweza kuwepo kwa kuwekwa, hakiwezi kuondoka mpaka kiondolewe. Na wakati kikiwepo kina occupy space, ili kiweze kuondoka, lazima kwanza kuwepo kwa replacement kuki replace.
  2. Na ili kitu ki move, zile kanuzi tatu zile za Newton lazima zitumike.
  3. CCM ipo, haikujiumba, iliumbwa, haukujiweka iliwekwa!, ili CCM uondoke, ni lazima kwanza kupatikana kwa mbadala wa CCM, ndipo CCM ifungashwe virago vyake ipumzishwe!. Tanzania hivi tulivyo, CCM bado haina mbadala!, hivyo itaendelea kuwepo mpaka mbadala upatikane!.
  4. Uwepo wa CCM, una nguvu ilizoegemea, ili CCM ipishe njia kuuruhusu chama mbadala kuchukua nafasi yake, kanuni ya kwanza Newton ya the body in motion, lazima i apply, a body in motion itaendelea mpaka nguvu nyingine iisimamishe. CCM ipo na itaendelea kuwepo mpaka kutokee nguvu nyingine kubwa kuliko ya CCM ambayo itaweza kuipush CCM ikae pembeni!. Kwa Tanzania hakuna hiyo nguvu!.
  5. Ili CCM ikae pembeni ipumzishwe, lazima kwanza kutokea chama kingine, chama mbadala, kitakacho ioondoa CCM!. Kwa hivi vilivyopo, hakuna chama mbadala kui replace CCM!
Hivyo CCM bado ipo ipo sana and probably milele yako na milele yangu!, watu wamezaliwa wameikuta!, watakufa na kuiacha!.

Huu ni ukweli mchungu ila ndio ukweli wenyewe!.
P
 
Nchi inakuhitaji kwa sababu;
Uzalendo ni kuipigania nchi hususan ustawi chanya wa demokrasia, uchumi, kisekta, kiutamaduni na kadhalika kwa gharama yeyote.
Mungu anaifuta CCM, hivyo ni jukumu lako na langu kutumia akili na hekima alizotupa Mungu kutengeneza mbadala wake
Mfumo wa nchi umejengwa katika kuisaidia CCM kuliko nchi. Mauaji na matukio hasi ya kisiasa dhidi ya raia yanaonekana dhahiri kutendwa ama kuratibiwa na vyombo vya dola. Hivyo kama mimi na wewe hatutosimama kuhesabiwa kila mtu atafikiwa kwa wakati wake na kutendwa kiuovu, yowe la mtu mmoja liamshe MAYOWE ya kupambanja haki✌🏿✌🏿✌🏿✌🏿💥💥💥📌🔨
 
Siasa ni sayansi, sayansi ya siasa, political science, inafuata kanuni zote za kisayansi, yaani scientific principles, kanuni kuu ya kwanza ni
  1. being- uwepo!, ili kitu kiwepo ni lazima kwanza ki exist, yaani kipo, kimeweza kuwepo kwa kuwekwa, hakiwezi kuondoka mpaka kiondolewe. Na wakati kikiwepo kina occupy space, ili kiweze kuondoka, lazima kwanza kuwepo kwa replacement kuki replace.
  2. Na ili kitu ki move, zile kanuzi tatu zile za Newton lazima zitumike.
  3. CCM ipo, haikujiumba, iliumbwa, haukujiweka iliwekwa!, ili CCM uondoke, ni lazima kwanza kupatikana kwa mbadala wa CCM, ndipo CCM ifungashwe virago vyake ipumzishwe!. Tanzania hivi tulivyo, CCM bado haina mbadala!, hivyo itaendelea kuwepo mpaka mbadala upatikane!.
  4. Uwepo wa CCM, una nguvu ilizoegemea, ili CCM ipishe njia kuuruhusu chama mbadala kuchukua nafasi yake, kanuni ya kwanza Newton ya the body in motion, lazima i apply, a body in motion itaendelea mpaka nguvu nyingine iisimamishe. CCM ipo na itaendelea kuwepo mpaka kutokee nguvu nyingine kubwa kuliko ya CCM ambayo itaweza kuipush CCM ikae pembeni!. Kwa Tanzania hakuna hiyo nguvu!.
  5. Ili CCM ikae pembeni ipumzishwe, lazima kwanza kutokea chama kingine, chama mbadala, kitakacho ioondoa CCM!. Kwa hivi vilivyopo, hakuna chama mbadala kui replace CCM!
Hivyo CCM bado ipo ipo sana and probably milele yako na milele yangu!, watu wamezaliwa wameikuta!, watakufa na kuiacha!.

Huu ni ukweli mchungu ila ndio ukweli wenyewe!.
P
You are right bro, bado hatujawa na chama cha upinzani chenye nguvu kama ilivyokuwa ANC kipindi cha mapambano ya apartheid. Bado mapandikizi ya CCM ni mengi ndani ya upinzani. Bado kazi ni kubwa
 
Siasa ni sayansi, sayansi ya siasa, political science, inafuata kanuni zote za kisayansi, yaani scientific principles, kanuni kuu ya kwanza ni
  1. being- uwepo!, ili kitu kiwepo ni lazima kwanza ki exist, yaani kipo, kimeweza kuwepo kwa kuwekwa, hakiwezi kuondoka mpaka kiondolewe. Na wakati kikiwepo kina occupy space, ili kiweze kuondoka, lazima kwanza kuwepo kwa replacement kuki replace.
  2. Na ili kitu ki move, zile kanuzi tatu zile za Newton lazima zitumike.
  3. CCM ipo, haikujiumba, iliumbwa, haukujiweka iliwekwa!, ili CCM uondoke, ni lazima kwanza kupatikana kwa mbadala wa CCM, ndipo CCM ifungashwe virago vyake ipumzishwe!. Tanzania hivi tulivyo, CCM bado haina mbadala!, hivyo itaendelea kuwepo mpaka mbadala upatikane!.
  4. Uwepo wa CCM, una nguvu ilizoegemea, ili CCM ipishe njia kuuruhusu chama mbadala kuchukua nafasi yake, kanuni ya kwanza Newton ya the body in motion, lazima i apply, a body in motion itaendelea mpaka nguvu nyingine iisimamishe. CCM ipo na itaendelea kuwepo mpaka kutokee nguvu nyingine kubwa kuliko ya CCM ambayo itaweza kuipush CCM ikae pembeni!. Kwa Tanzania hakuna hiyo nguvu!.
  5. Ili CCM ikae pembeni ipumzishwe, lazima kwanza kutokea chama kingine, chama mbadala, kitakacho ioondoa CCM!. Kwa hivi vilivyopo, hakuna chama mbadala kui replace CCM!
Hivyo CCM bado ipo ipo sana and probably milele yako na milele yangu!, watu wamezaliwa wameikuta!, watakufa na kuiacha!.

Huu ni ukweli mchungu ila ndio ukweli wenyewe!.
P

I agree! CCM has failed the nation in many ways but their greatest victory has been in weakening the opposition -- wamehakikisha hamna mtu wa kuwaondoa. Nilivyoanza kusoma comment yako nilitaka kubisha lakini umesema ukweli. Watu wameanza kujitetea ambacho kinanipa moyo sana lakini effective change ingerequire opposition from ideally chama chenye nguvu sana not just in numbers lakini in organisation pia. Sorry but over the past few decades vyama vya upinazani vingi (sijui kama ni vyote labda hapana) vimeangusha Watanzania kwa kuruhusu CCM allegedly kuingilia mambo yao -- kuna watu ambao allegedly wakipewa bahasha tu sera zao na critique zao towards CCM na serikali na zenyewe zinaevaporate. Hauwezi kuwa na effective opposition kama una opposition for hire.
 
Siasa ni sayansi, sayansi ya siasa, political science, inafuata kanuni zote za kisayansi, yaani scientific principles, kanuni kuu ya kwanza ni
  1. being- uwepo!, ili kitu kiwepo ni lazima kwanza ki exist, yaani kipo, kimeweza kuwepo kwa kuwekwa, hakiwezi kuondoka mpaka kiondolewe. Na wakati kikiwepo kina occupy space, ili kiweze kuondoka, lazima kwanza kuwepo kwa replacement kuki replace.
  2. Na ili kitu ki move, zile kanuzi tatu zile za Newton lazima zitumike.
  3. CCM ipo, haikujiumba, iliumbwa, haukujiweka iliwekwa!, ili CCM uondoke, ni lazima kwanza kupatikana kwa mbadala wa CCM, ndipo CCM ifungashwe virago vyake ipumzishwe!. Tanzania hivi tulivyo, CCM bado haina mbadala!, hivyo itaendelea kuwepo mpaka mbadala upatikane!.
  4. Uwepo wa CCM, una nguvu ilizoegemea, ili CCM ipishe njia kuuruhusu chama mbadala kuchukua nafasi yake, kanuni ya kwanza Newton ya the body in motion, lazima i apply, a body in motion itaendelea mpaka nguvu nyingine iisimamishe. CCM ipo na itaendelea kuwepo mpaka kutokee nguvu nyingine kubwa kuliko ya CCM ambayo itaweza kuipush CCM ikae pembeni!. Kwa Tanzania hakuna hiyo nguvu!.
  5. Ili CCM ikae pembeni ipumzishwe, lazima kwanza kutokea chama kingine, chama mbadala, kitakacho ioondoa CCM!. Kwa hivi vilivyopo, hakuna chama mbadala kui replace CCM!
Hivyo CCM bado ipo ipo sana and probably milele yako na milele yangu!, watu wamezaliwa wameikuta!, watakufa na kuiacha!.

Huu ni ukweli mchungu ila ndio ukweli wenyewe!.
P
Mkuu Paskali umeweka hoja yenye akili sana. Dukuduku langu ni kwamba, tunawekaje ama kustawishaje mbadala wakati mfumo unaua ustawi hata kabla haujazaliwa?
SItaki kupingana na ukweli uliouweka lakini hebu tupitie kwenye HOW and MEANS
 
Wanabodi nawaamkua

Muda mrefu nimekuwa msomaji humu kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu. Lakini kwa uwezo wa Mungu Muumba nimeona nichukue wasaa kuandika huu uzi mfupi.

Tanzania (Tanganyika) ilipofikia sasa ni njiapanda ngumu with narrow escape. Sababu za kusema hayo ni kwamba
  1. Viongozi wamejigeuza watawala huku wakidhibiti maoni chanya na ukosoaji wowote
  2. Vyombo vya dola vimewageuza raia sisi kama adui namba moja wa nchi
  3. Wengi wanaosimama na wananchi, wanaonekana ni mongers wa madaraka. Ambapo wakipewa madaraka baada ya kuhamia CCM wanageuka more vampires kuliko wenyejj CCM.
  4. Srrikali imejitenga na wananchi. Katiba hususan Ibara ya 8 inapuuzwa na kusiginwa kupitia matendo ya Serikali
  5. Kutekwa na kuuawa wakosoaji na ili mkosoaji apone chupuchupu ni pale atakapobambikizwa kesi na kushtakiwa
  6. Mhimili wa Mahakama umegoma na kukwepa kusimamia HAKI. Mahakama kwa umoja wake imesimama upande wa watawala bila kujali athari za muda mrefu
  7. Wapunzani wamefunguliwa kesi za kubumba, mfano kesi ya uhaini dhidi ya Lisu n.k.
  8. Sababu ni nyingi, unaweza kuongezea za kwako pia...

Nchi inakuhitaji kwa sababu;
  1. Uzalendo ni kuipigania nchi hususan ustawi chanya wa demokrasia, uchumi, kisekta, kiutamaduni na kadhalika kwa gharama yeyote.
  2. Mungu anaifuta CCM, hivyo ni jukumu lako na langu kutumia akili na hekima alizotupa Mungu kutengeneza mbadala wake
  3. Mfumo wa nchi umejengwa katika kuisaidia CCM kuliko nchi. Mauaji na matukio hasi ya kisiasa dhidi ya raia yanaonekana dhahiri kutendwa ama kuratibiwa na vyombo vya dola. Hivyo kama mimi na wewe hatutosimama kuhesabiwa kila mtu atafikiwa kwa wakati wake na kutendwa kiuovu, yowe la mtu mmoja liamshe MAYOWE ya kupambanja haki

No Reforms
No Election
Naforce ana vunja katiba ya chama chake na nchi. Aibu kwa msajili wa vyama vya siasa na mahakama
 
Back
Top Bottom