Kada wa Act-Wazalendo Monalisa Ndala amesema kuwa yeye hapaswi kulaumiwa kwa chama hicho kumkosa mgombea urais na wanaopaswa kulaumiwa ni katibu wa chama na mwanasheria wa chama, huku akibainisha...
Mimi ni mwana CCM kiasili kwa maana ya kuwakuta wazazi wangu wakihudumu kama wanachama na viongozi wa Taifa langu kwa upande wa chama cha mapinduzi
Binafsi nitajiona ninazo sababu nyingi ambazo...
Kada wa ACT Wazalendo, Monalisa Ndala, amezungumza mengi kuhusu hali ya kisiasa nchini na kinachoendelea ndani ya chama chake ambacho kilishatangaza kumvua uanachama, ambapo amesema yeye alikuwa...
Kada wa ACT-Wazalendo Monalisa Ndala amemwahidi mtangazaji Charles William kiasi chochote cha fedha atakachotaka iwapo Luhaga Mpina hatarejea Chama Cha Mapinduzi (CCM), mwaka 2026.
Ahadi hiyo...
Nyerere alisema maadui wakuu wa Tanzania ni Ujinga maradhi na umasikini, Haya yote yanatokana na baadhi ya watanzania kuwa Wabinafsi na Roho mbaya mno!
Mtu anajiwaza na kujifikiria yeye mwenyewe...
Katika kampeni za Chama cha Mapinduzi (#CCM) zinazoendelea leo Septemba 24, 2025 mkoani Mtwara, Mgombea Urais kupitia Chama hicho Samia Suluhu Hassan katika jimbo la Ndanda Wilaya ya Masasi...
Mgombea Ubunge wa Arusha Mjini kupitia CCM, Paul Makonda amesema kuwa ni aibu kubwa kwa jiji kubwa kama Arusha kutokuwa na stendi ya kisasa. Amesisitiza kuwa jambo hilo linapaswa kushughulikiwa...
Jaribu kukadiria ni kiasi gani huyu MC atakuwa amelipwa, kama ulifuatilia Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) huko Tunduru Mkoa wa Ruvuma utaona huyu jamaa ndo alikuwa MC
Ingekuwa vyema pia...
Kada wa ACT Wazalendo, Monalisa Ndala, amezungumza mengi kuhusu hali ya kisiasa nchini na kinachoendelea ndani ya chama chake ambacho kilishatangaza kumvua uanachama, ambapo amesema: "Mpina...
Naona mama Samia anapeleka ujumbe kwa CHADEMA bila shaka. Lakini akumbuke kama yangekuwa yamefanyiwa kazi basi vyama vyote ikiwemo CHADEMA ingeshiriki uchaguzi. Halafu bingwa angejulikana katika...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameahidi kuibua upya Barabara ya Msimba-Ujiji ili kuwaondolea wananchi wa Kata ya Businde changamoto ya...
Mgombea ubunge wa jimbo la Ubungo Professsa Kitila Alexander Mkumbo Septemba 23 ameendelea na kampeni zake katika kata ya Sinza kuinadi ilani ya Chama cha Mapinduzi na kumuombea kura mgombea Urais...
Mgombea Ubunge Jimbo la Segerea kwa tiketi ya Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Agnesta Kaiza, akiomba kura wakati wa kampeni yake ya mtaa kwa mtaa iliyofanyika kwenye kata ya Kisukuru...
Ally Mshamu Nampwita, mkulima wa zao la korosho kutoka Kijiji cha Mnavira, Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara, amesema mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Wakuu,
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewataka vijana nchini kutambua nafasi yao katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, akisema matokeo...
“Hatuna sababu ya kukupa kura ya kutiki kwa sababu tunaitambua kazi yako” amesema Mmasai akimaanisha kumpa kura Mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Hussein Ali Mwinyi.
Amesema watalii...
Halima Mhando Rajab, akizungumza kupitia Crown FM, amegusia kuhusu athari za vijana kutoshiriki katika uchaguzi na jinsi hali hiyo inavyoathiri utendaji wa vyama vya siasa, akisema wazi, 'Kususia...
Toka lini kwenye uchaguzi SERA zikamithilishwa na AMANI?
Siku zote shilingi lazima iwe na pande mbili. Na demokrasia ni shilingi yanye pande 2. Kamwe haitakaa nchi ya kidemokrasia watu wote...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tarimba Gulam Abbas, amesema wananchi ndio wenye mamlaka ya kuchagua viongozi wanaowataka kwa ajili ya maendeleo yao...