Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakazi wa Kitunda Relini kata ya Kitunda Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam, wamemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa Shule mpya na ya kisasa yenye madarasa 14, maabara 4...
0 Reactions
0 Replies
157 Views
Mgombea Ubunge Jimbo la Tabora mjini kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Hawa Mwaifunga leo Septemba 25,2025 ameendelea na mikutano ya Kampeni kuomba ridhaa ya Wananchi wa Jimbo la Tabora mjini...
0 Reactions
0 Replies
190 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema mabasi ya mwendokasi yataanza kutoa huduma katika njia ya Mbagala wiki ijayo.
0 Reactions
1 Replies
278 Views
Nimeona wamekuwa wakijipenyeza sana hawa watu kwenye uongozi miaka ya hivi karibuni. Najua watasema nao ni haki yao lakini inaleta picha mbaya sana kwa jamii. Tukumbukeni yule mama wa Tanga...
3 Reactions
4 Replies
206 Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amesema Njia ya Kimara yatakuja mabasi 200, ukisema hatuitaki CCM haisaidii. Albert Chalamila ameyasema hayo leo Oktoba 1, 2025 alipofanya ziara...
1 Reactions
11 Replies
516 Views
TRA imekuwa shirika butu Linaacha watu wakifanya wapendavyo bila kuulizwa. Watoto wa vigogo wanapora na kula keki ya taifa wananunua magari ya bilioni, wakiishi maisha ya kifahari bila kulipa...
7 Reactions
29 Replies
2K Views
Heshima ya Rais mstaafu hupaswa kuwa ni ya kiwango cha juu sana kwenye Taifa lolote alilowahi kulitumikia na kimataifa kwa ujumla . Lakini kwa ile kauli ya Kikwete iliyotolewa jana akiwa huko...
9 Reactions
30 Replies
1K Views
Wakuu Naomba kuuliza hawa watoto ambao wanaswagwa na CCM kwenye mikutano yao hawana wazazi? Hii inamaanisha CCM walipeleka mpaka kosta zakusomba lakini wanachama wao wenyewe wakagoma kwenda...
1 Reactions
2 Replies
345 Views
Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) limelipinga vikali kauli zilizotolewa na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa, Mohamed Ally Kawaida, dhidi ya Rais wa Baraza la Maaskofu...
5 Reactions
10 Replies
463 Views
WARAKA WA CHACHA WANGWE. (Alifariki 2008) UTANGULIZI. Jumamosi, June 28 mwaka huu wajumbe kadhaa wa Kamati Kuu ya CHADEMA walidai kuwa wamesitisha Umakau Mwenyekiti wangu katika kikao...
0 Reactions
6 Replies
534 Views
Habari zilizopo mjini ni hizi kwa sasa Kanisa Katoliki latoa ufafanuzi: Kanisa Katoliki Dar: Warsha yetu haifanyiki Oktoba 29 itafanyika Novemba 29, 2025
22 Reactions
196 Replies
7K Views
1. Mzee KIBAO. 2. Chaula. 3. Mdude. 4. Soka. Haya yafanyike regime ya waliotawala awamu hii wakiwa hai. Ili waone waliyowafanyia watanzania wenzetu. Baada ya hapo asiwasahau pia kina: 1. Alphonce...
0 Reactions
1 Replies
192 Views
Usipokufa Kwa Malaria, Utakufa Kwa Ajali, Utakufa Kwa Ukimwi. Ni kweli Dunia na Mambo yake yote ni tamu na yenye Raha . Fikiria wee Kijana Msomi wa Degree , huna Ajira, wanakufanganya Et...
5 Reactions
21 Replies
832 Views
Kazi kubwa ya kiongozi yeyote wa dini, ni kuwasaidia waumini wake kujitenga na uovu/dhambi. Kiuhalisia, uchaguzi unastahili kuwa tendo takatifu, hasa pale maamuzi yote wanapopewa wananchi. Kwani...
1 Reactions
4 Replies
269 Views
Mgombea mwenza wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha NCCR Mageuzi Dkt. Eveline Munisi amesema usalama katika nchii utaimarika sana na ataweka mazingira mazuri kwa...
0 Reactions
1 Replies
205 Views
Huko Instagram nimekutana na hiki kituko. TISS ya sasa wamefikia kujipiga picha wakisafirisha consignments na kujipost. Kweli Nchi imeshajifia hii
9 Reactions
44 Replies
2K Views
Mkuu wa Wilaya ya Ilala na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wilayani humo, Edward Mpogolo, amesema kiongozi wa serikali hawezi kutenganishwa na utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi...
0 Reactions
3 Replies
307 Views
Mkuu wa Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam , amesema Watanzania kwa asili yao wana hamu ya kuishi kwa amani na siyo vurugu, akisisitiza kuwa baadhi ya kauli zinazohusiana na uvunjifu wa amani...
0 Reactions
4 Replies
203 Views
Walau jahazi lingekuwa na hitilafu ndogo lingeweza kuvutwa mpaka fuoni ili lirekebishwe.. Lakini jahazi letu limetapa hitilafu kubwa kwenye engine na kule kwenye nyufa kunazidi kutanuka na...
68 Reactions
242 Replies
12K Views
Serikali ya Tanzania imeongeza ukandamizaji wa kisiasa, jambo linalozua wasiwasi mkubwa kuhusu iwapo uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 29, 2025, utakuwa huru na wa haki, Shirika la Human...
2 Reactions
18 Replies
989 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…