Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Gen Z na Watanzania wote ,hili nawahakikishia 100% hakuna Jeshi la Ulinzi liwezalo FYATUA RISASI zake dhidi ya Wananchi !!. Infact wanachokifanya ni kututisha, Kwani ni mara ngapi wakati wa...
25 Reactions
65 Replies
2K Views
Kwa wanaojua kilichotokea baada ya Mzee Benjamin Mkapa kumaliza ngwe yake, watakubaliana nami, kuwa, kwa mazoea, mrithi wake alipaswa kutoka Visiwani. Hata hivyo, haikuwa. Why? Jibu ni rahisi...
2 Reactions
3 Replies
317 Views
Soma pia: Prof. Kitila: Tanzania ni Nchi ya Vyama vingi, tunashindana na Vyama 17
0 Reactions
6 Replies
353 Views
kubali kataa CCM hawakuwa wajinga kupanga kufanya maridhiano ya kitaifa baada ya uchaguzi. Na ninachokiona target ya maridhiano ni Lissu/Chadema. Je itakuwaje endapo Lissu atagomea kushiriki...
2 Reactions
9 Replies
401 Views
Kuelekea tarehe 29.10.2025 itakuwa ni birthday ya mwamba yule anaye sadikika kuwa alufanyiwa figisu Morogoro na wana mtandao kisha kukatisha uhai wake. Jamii baada ya kutonywa na yule kijana...
11 Reactions
27 Replies
1K Views
:Uongozi ndani ya CCM si cheo, bali ni dhamana inayopatikana kwa safari ya majaribio, maumivu, subira na kujitoa bila masharti. Wapo waliogombea na wakashindwa, lakini hawakurudi nyuma wala kuhama...
1 Reactions
9 Replies
283 Views
Kwahiyo anachokifanya Wanu ni Rushwa au si Rushwa kwa sababu dola anatawala Mama, na kuna haja gani yeye kupita nyumba kwa nyumba wakati hana mpinzani :FeelsWeirdMan: ------------ Mgombea Ubunge...
3 Reactions
7 Replies
378 Views
Balile ni kijana wa Rostam anatumiwa na Wanamtandao mpuuzeni mfutilie Istoria yake ametokea wapi ameshafanya kazi kwenye kampuni ya Rostam na Chanel ten huyo ni kijana wa wana mtandao
6 Reactions
12 Replies
614 Views
Leo Oktoba 6, 2025 katika mwendelezo wa usikilizaji wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, Jeshi la Polisi limewatawanya wananchi waliokusanyika Mahakamani kwa kuwapiga na kutumia nguvu, huku...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Aliyekuwa mtia nia wa ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika jimbo la Mvomero mkoani Morogoro, Dkt. Albanie Marcossy, amejitokeza na kumtaka hadharani mwanachama wa chama hicho, Humphrey...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
GT Waafrika tunashida kubwa sana vichwani mŵetu that is why hatusongi mbele njaa inatufanya tuwe vigeugeu. Mzee Butiku alishawahi kukemea hadharani dhidi ya viongozi makanjanja na wahuni akisema...
9 Reactions
33 Replies
858 Views
Mmemsikia Nchimbi! Akiendelea kufanya unafiki wake! ================== “Katika kipindi cha miaka hii minne na nusu, serikali ya CCM imeweza kusimamia usalama na amani ya nchi yetu. Imeimarisha...
2 Reactions
11 Replies
431 Views
Technically Probability ni mbili watu kuwa wengi au watu kuwa wachache ingawa realistically wanaweza kuwa wachache; Let alone Siasa za sasa ni wachache sana hupiga Kura, lakini trend inaonyesha...
1 Reactions
1 Replies
159 Views
Ningependa kuwa uliza Polisiccm na Waendesha mashtaka, kuna kauli ngapi za Wana CCM na uvccm ambazo zinaingelea uvunjifu wa Amani na Sheria lakini hakuna hatua zinazo chukuliwa dhidi yao
1 Reactions
0 Replies
145 Views
"Watu wanatekwa watu wanauawa, watu wanaporwa mali zao kikundi cha watu wachache sana kinajenga ukwasi na utajiri mkubwa na wingi wa fedha kutoka katika vyanzo visivyojulikana ndio wamejaa mjini...
1 Reactions
17 Replies
569 Views
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),. Tundu Lissu, inaendelea leo, Jumatatu Oktoba 06.2025 katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar...
3 Reactions
5 Replies
472 Views
Leo Oktoba 6, 2025 katika mwendelezo wa usikilizaji wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu, Jeshi la Polisi limewazuia, Mwakilishi wa Balozi wa Marekani na Mwakilishi kutoka Newsland kuingia...
1 Reactions
7 Replies
734 Views
Ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi leo Jumatatu, Oktoba 6, 2025, katika viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, wakati kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kusikilizwa...
1 Reactions
8 Replies
527 Views
Polepole ni mfano: Bila mifumo bora hakuna aliye salama zaidi ya familia 3 za Kikwete, Mwinyi na Samia kwasasa. Pamoja na mkubwa wao Rostam Aziz Piganianieni mifumo bora hakuna anayejua kesho...
4 Reactions
14 Replies
381 Views
Kigoma kunazidi kuchangamka leo wananchi wanataka kumpeleka chawa bungeni baadae watalia hela zote za miradi zikipelekwa kwenye kujenga Maghorofa ya Baba Levo :Alien: :Alien: :Alien: :Alien...
0 Reactions
5 Replies
230 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…