Itakuwaje iwapo Lissu(Chadema) watagomea maridhiano?

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,502
Reaction score
11,340
kubali kataa CCM hawakuwa wajinga kupanga kufanya maridhiano ya kitaifa baada ya uchaguzi.

Na ninachokiona target ya maridhiano ni Lissu/Chadema. Je itakuwaje endapo Lissu atagomea kushiriki kwenye maridhiano?

Je Samia atafanya maridhiano na CHAUMMA? CUF? ACT?

Je target ya Samia kufanya maridhiano baada ya uchaguzi ni Nini?

Je mpaka now nani anamuhitaji mwenzake kati ya Lissu na Samia?

Je tutegemee handshake ya kitaifa kati ya Lissu na Samia?

By the way nawapa pole CCM maana hakuna kitu kigumu kama kufanya negotiations na Lissu.

Mto wa Mbu
Portland
 
Makonda kasema ccm wao wanataka kushika dola mambo kwamba wanashindana na nani hio haiwahusu same kwa maridhiano
 
kubali kataa CCM hawakuwa wajinga kupanga kufanya maridhiano ya kitaifa baada ya uchaguzi.

Na ninachokiona target ya maridhiano ni Lissu/Chadema. Je itakuwaje endapo Lissu atagomea kushiriki kwenye maridhiano?

Je Samia atafanya maridhiano na CHAUMMA? CUF? ACT?

Je target ya Samia kufanya maridhiano baada ya uchaguzi ni Nini?

Je mpaka now nani anamuhitaji mwenzake kati ya Lissu na Samia?

Je tutegemee handshake ya kitaifa kati ya Lissu na Samia?

By the way nawapa pole CCM maana hakuna kitu kigumu kama kufanya negotiations na Lissu.

Mto wa Mbu
Portland
Huko 'Portland' hakukufai; ni bora urudi tu Illinois.

Maridhiano ya nini tena wakati waTanzania wanamaliza kazi hata kabla ya Oktoba 29!
 
Vyama 16 rafiki wa chama tawala wataridhiana.

CDM si imekufa? your worry is invalid.

Kuna thread nyingi now za kupima upepo kuhusu 29 october na baada.

CCM tuna kila kitu wasiwasi wa nini?
 
kubali kataa CCM hawakuwa wajinga kupanga kufanya maridhiano ya kitaifa baada ya uchaguzi.

Na ninachokiona target ya maridhiano ni Lissu/Chadema. Je itakuwaje endapo Lissu atagomea kushiriki kwenye maridhiano?

Je Samia atafanya maridhiano na CHAUMMA? CUF? ACT?

Je target ya Samia kufanya maridhiano baada ya uchaguzi ni Nini?

Je mpaka now nani anamuhitaji mwenzake kati ya Lissu na Samia?

Je tutegemee handshake ya kitaifa kati ya Lissu na Samia?

By the way nawapa pole CCM maana hakuna kitu kigumu kama kufanya negotiations na Lissu.

Mto wa Mbu
Portland
Wapinzani wa tanzania akili awana kabisa ...vipofu vipofu vipofu
 
Back
Top Bottom