Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hawa ni viongozi wa kijeshi Africa waliotwaa madaraka kutoka tawala za kiraia zilizoharibika na kujaa udhalimu kisha kuyaweka mataifa yao katika mkondo sahihi wa mageuzi, haki na utawala bora. 1...
2 Reactions
6 Replies
376 Views
Kikosi cha Nane cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (TANBAT 08) kinachoshiriki katika operesheni za kulinda amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) kimetunukiwa Nishani za Ulinzi wa...
0 Reactions
2 Replies
236 Views
Mgombea ubunge wa Mtumba mkoani Dodoma kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Anthony Mavunde, ameahidi kuboresha sekta ya elimu kwa kuanzisha mpango wa kufuta michango kwa wazazi kuchangia mitihani...
0 Reactions
0 Replies
126 Views
Kwa jinsi ilivyo na uhalisia wa mambo mwaka huu wa uchaguzi, wanaotakana kwenye uongozi walimaliza kazi yao siku walipopitisha wagombea wao Hakuna uchaguzi mwingine utakaofanyika zaidi ya ule...
1 Reactions
1 Replies
145 Views
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitaendelea kusimamia na kusisitiza mfumo wa stakabadhi kwa wakulima na kwamba chama chochote kitakachokuja na sera ya kuufuta kinataka kuleta wizi na dhuluma...
2 Reactions
3 Replies
192 Views
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Serikali...
0 Reactions
0 Replies
164 Views
Wakuu jf amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake ,poleni na Tanzania pia. Kwa mara ya kwanza nchi ya tz inaweza kwenda kwenye uchaguzi mkuu katika alert kubwa , why , na nini kipo...
15 Reactions
35 Replies
1K Views
Wakuu, sasa hivi ni saa 4 asubuhi lakini sioni chochote kinachoendelea. Je, CCM wamemaliza kampeni zao pale Babati, Manyara? Au kile kikao cha dharura cha Halmashauri Kuu ya CCM kimeathiri...
10 Reactions
58 Replies
3K Views
Wanasheria wa Humphrey Polepole wameitaka vyombo vya ulinzi na usalama kuchukua hatua za haraka, kutumia rasilimali zote zilizopo kuhakikisha usalama wake na kutoa taarifa kwa Watanzania na jamii...
9 Reactions
17 Replies
754 Views
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Kenani Laban Kihongosi atakuwa na Mkutano na waandishi wa Habari Leo katika ukumbi wa White House CCM Makao Makuu Dodoma kuanzia saa 10:30 Jioni...
4 Reactions
42 Replies
2K Views
Nimeona video inayomuonesha mkufunzi mmoja wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) akizungumza mwaka 2024, ambapo anasikika akikipongeza chama chake, Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa kile...
2 Reactions
6 Replies
323 Views
Haya haya wale vijana wa UVCCM mko wapi kuitisha press za kumjibu Captain Tesha? Au hamjasikia chochote? Kama hamna bando njooni niwape free WiFi🤣🤣🤣.
11 Reactions
22 Replies
911 Views
Gen Z na Watanzania wote ,hili nawahakikishia 100% hakuna Jeshi la Ulinzi liwezalo FYATUA RISASI zake dhidi ya Wananchi !!. Infact wanachokifanya ni kututisha, Kwani ni mara ngapi wakati wa...
25 Reactions
65 Replies
2K Views
Kwa wanaojua kilichotokea baada ya Mzee Benjamin Mkapa kumaliza ngwe yake, watakubaliana nami, kuwa, kwa mazoea, mrithi wake alipaswa kutoka Visiwani. Hata hivyo, haikuwa. Why? Jibu ni rahisi...
2 Reactions
3 Replies
317 Views
Soma pia: Prof. Kitila: Tanzania ni Nchi ya Vyama vingi, tunashindana na Vyama 17
0 Reactions
6 Replies
352 Views
kubali kataa CCM hawakuwa wajinga kupanga kufanya maridhiano ya kitaifa baada ya uchaguzi. Na ninachokiona target ya maridhiano ni Lissu/Chadema. Je itakuwaje endapo Lissu atagomea kushiriki...
2 Reactions
9 Replies
400 Views
Kuelekea tarehe 29.10.2025 itakuwa ni birthday ya mwamba yule anaye sadikika kuwa alufanyiwa figisu Morogoro na wana mtandao kisha kukatisha uhai wake. Jamii baada ya kutonywa na yule kijana...
11 Reactions
27 Replies
1K Views
:Uongozi ndani ya CCM si cheo, bali ni dhamana inayopatikana kwa safari ya majaribio, maumivu, subira na kujitoa bila masharti. Wapo waliogombea na wakashindwa, lakini hawakurudi nyuma wala kuhama...
1 Reactions
9 Replies
283 Views
Kwahiyo anachokifanya Wanu ni Rushwa au si Rushwa kwa sababu dola anatawala Mama, na kuna haja gani yeye kupita nyumba kwa nyumba wakati hana mpinzani :FeelsWeirdMan: ------------ Mgombea Ubunge...
3 Reactions
7 Replies
378 Views
Balile ni kijana wa Rostam anatumiwa na Wanamtandao mpuuzeni mfutilie Istoria yake ametokea wapi ameshafanya kazi kwenye kampuni ya Rostam na Chanel ten huyo ni kijana wa wana mtandao
6 Reactions
12 Replies
614 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…