Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Endapo viongozi wa CCM watakubali kuahirisha Uchaguzi mkuu sasa hivi ili kuanzisha mchakato wa Katiba kwa ajili ya kufanya mageuzi ya kimfumo yanayopiganiwa na Watanzania watafaidika na mambo...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Wakuu ama kweli Mtoto wa Nyerere Andrew Nyerere amekua kuyakomesha haya matapeli , manyonyaji , madhulumati ya Haki za Watu na Mafujaji ya Rasilimali za Nchi !!. Mpaka Sasa Hamna Mtoto wa Nyerere...
11 Reactions
18 Replies
971 Views
Wakuu, Mwananchi anahoji kwanini Samia anasaidia matajiri wakati kuna watu kibao wa hali chini wanaohitaji msaada huo zaidi? Anakaa kutoa hela kwenye goli la mama, mara kumwaga hela kwa wasanii...
3 Reactions
16 Replies
475 Views
Wananchi wa kabila la Wahadzabe, jamii ya asili yenye historia ya kipekee, wameonekana katika viwanja vya Madani wilayani Karatu mkoa wa Arusha wakiwa wamevalia sare za CCM na kuimba nyimbo za...
1 Reactions
21 Replies
911 Views
Kundi la mawakili zaidi ya 13 wakiongozwa na Wakili Mwandamizi Constantine Mutalemwa, wamemwakilisha Wakili Godfrey Mjuni Martin Basasingohe katika kesi ya kikatiba dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa...
7 Reactions
11 Replies
634 Views
Ukiangalia vizuri maandamano Kama vile yamekaa kichama zaidi kuliko kitaifa hata ukisikia anayehamasisha uhusisha Chadema kama Chama cha upinzani usikii wakiungamisha makundi yote kwa pamoja ndio...
2 Reactions
8 Replies
383 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetaka kuachiwa huru au kufikishwa mahakamani kwa Mwenyekiti wa chama hicho, Wilaya ya Kibamba, Ernest Mgawe ambaye kimedai anashikiliwa na Jeshi la...
2 Reactions
2 Replies
242 Views
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tanga Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Seif Abalhassan, ameahidi kurejesha heshima ya Jiji la Tanga endapo wananchi watampa ridhaa kwenye uchaguzi ujao...
1 Reactions
1 Replies
161 Views
Leo ndo nimeshangaa. Kada kindakindaki wa mbogamboga. Babangu kabisa. Leo kakikataa kile kikundi cha wahuni wa kijani na kasema hiyo 29 haandamani na wala hapigi KURA. Miaka yote hajastuka ila...
5 Reactions
7 Replies
279 Views
Wananchi wanataka usimame hadharani juu ya mambo mawili makuu ambayo yamegeuka mateso makubwa na fedheha kwa jiji: Maji – Takribani mwezi mzima chanzo cha Butimba kimeharibika. Ulizindua mradi...
1 Reactions
10 Replies
330 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA John Heche, amesema yeye pamoja na na wenzake hawatojificha na kwamba Watashinda dhidi ya uovu unaopangwa dhidi yao. Heche...
1 Reactions
1 Replies
237 Views
Kwa mtazamo wangu, mimi naona huu ni mwanzo tu na sitashangaa kesho, keshokutwa au siiku nyingine yoyote, linajitokeza kundi kubwa zaidi na kunena mazito ikiwamo kutoa ultimatum. Muda utaongea.
4 Reactions
7 Replies
299 Views
Ushauri wangu. Hizi nafasi zenu zinaisha ndani ya wiki chache zijazo, mbele ni Giza... Achieni hizo nafasi kama kweli mlikuwa na heshima na Magufuli
2 Reactions
4 Replies
249 Views
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuwa serikali atakayoiunda endapo atachaguliwa itaendelea kwa kasi zaidi...
1 Reactions
6 Replies
212 Views
Katika kampeni za Chama cha Mapinduzi zinazoendelea leo Septemba 24, 2025 jimbo la Ruangwa MKoani Lindi, Mgombea urais kupitia Chama hicho Samia Suluhu Hassan ameonekana akiwashukuru wamama na...
1 Reactions
6 Replies
304 Views
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilwa Kusini kwa vipindi viwili mfululizo, Selemani Said Bungara maarufu kama Bwege, amesema kuna juhudi za baadhi ya wanachama wa ACT Wazalendo kutaka afukuzwe...
2 Reactions
12 Replies
466 Views
Mgombea ubunge Jimbo la Arusha Mjini, Paul Christian Makonda, ameeleza jinsi atakavyokuwa mbunge wa watu kutoka ndani na nje ya nchi, akisisitiza kuwa atawakilisha jimbo ambalo ni makao makuu ya...
2 Reactions
7 Replies
444 Views
Unajua kuna jambo silielewi. Haya maandamano ya tarehe 29 ni ya CHADEMA au wananchi wote tujue kabisa maana kila sehemu hawa wahamasishaji wanatamtaja mwenyekiti wa CHADEMA Lissu Ina maana...
12 Reactions
113 Replies
3K Views
Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewaahidi wananchi wa kisiwa cha Tumbatu katika miaka mitano ijayo atahakikisha anaifanya...
1 Reactions
1 Replies
163 Views
Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Rahma Mwita amewataka wanaofuatilia siasa mitandaoni kuacha tabia ya kutukana viongozi kwa sababu ni udhalilishaji wa mwanamke na...
0 Reactions
0 Replies
127 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…