Leo kajitokeza mmoja, sitashangaa kesho kuona kikundi kimejitokeza

Leo kajitokeza mmoja, sitashangaa kesho kuona kikundi kimejitokeza

Kwa mtazamo wangu, mimi naona huu ni mwanzo tu na sitashangaa kesho, keshokutwa au siiku nyingine yoyote, linajitokeza kundi kubwa zaidi na kunena mazito ikiwamo kutoa ultimatum.

Muda utaongea.
Nitafurahi sana wakijitokeza wajeda wengi
 
Leo mitaa ya Lumumba kunanuka kinyesi hawaamini hiki kinachoendelea
 

Wewe mzee nae mbishi kama maharage ya Mbulu niliwahi kukuambia kuwa , nyuma ya PP wapo wazee waliokaa kwenye chungu cha asali ya nchi hii mojawapo ni mseminary, 2. Boss wa kata, 3. Askofu yule nyumba kumi alitokea kwenye vitambulisho, na wengine wengi alafu wote wahuni zaidi ya wahuni hawa wanaotubananga na kutubagaza
 
Back
Top Bottom