Watanzania wamechoshwa na yanaendelea ndio maana wanatafuta haki na maisha mazuri kwa njia ya maandamano.
So wewe unapambania maslai yako kama wa Tanzania wanavyopambania. So na wewe acha ushamba...
Mwaka 2025, bado wanawauzia wananchi hofu, eti "tunu hii ya amani tuilinde" Amani gani ?
Na wanaposema amani wanamaanisha "uninga wa wananchi", so wananchi waendelee kuwa wajinga ili wao wazidi...
Taifa halijagawanyika… anayefikiri limegawanyika, yeye mwenyewe ndiye amegawanyika…” - Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira, akielezea hali ya siasa kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29.
Niwape pongezi ndugu zangu watanzania, kwa uvumilivu, busara na hekima nyingi tulizo barikiwa, hivi karibuni nililala nikaota...!
Nimeota kuwa dunia ipo kwenye kipindi cha mabadiliko hii ni kweli...
Mengi yamesemwa kuhusu kifo cha Hayati Magufuli.
Watu wake aliofanya nao kazi kwa ukaribu wanasema Magufuli ameuwawa na kundi linaloitwa wanamtandao.
Ukianza kulichakata kundi ili unakuwa...
Mchungaji ashangazwa na kitendo cha wasanii wa bongofleva na bongomovie kulundikana kwenye mikutano ya siasa,adai kwasasa wamekuwa sio vioo vya jamii tena bali ni vyoo vya jamii. Neno moja kwake...
Wakuu Jakaya Kikwete Rais Mstaafu wa Tanzania anagombea nafasi ya kuwa African Union Commission Chairperson ambapo Mshindani wake ni Raila Omollo Odinga.
Tayari Vilio vya usaliti vimeanza kusikia...
Salaam!
Wanaotekwa na kupotezwa wengi hata SI wanasiasa,
Wengine ni wachunggaji, wafanyabiashara,wanahabari, wakulima nk nk.
Na ukisikiliza ahadi za wagombea hakuna anayeapa au kukemea vitendo...
Salaam!
Tukubali, au tukatae, aliyebuni wazi la Kutangaza maandamano siku ya uchaguzi, aliwaza mbali mno,
Tunaona hivi sasa Hali ya kuchanganyikiwa kimkakati Katika namna Bora ya kuzuia...
“Wanaohamasisha maandamano kwa kutumia akaunti feki wasifikiri hawawezi kutambulika, watatambulika tu, Watanzania wengi ambao ni wema wanaoipigania amani watatuambia tu huyu siyo.
“Tukio kama...
WE ARE COMING!!.
Unaanzisha Vita dhidi ya KANISA kwakua tu umeshauriwa Linda Rasimali za Nchi, Acha Utekaji ,Acha Mauaji ,Acha kuonea Wapinzani, Acha Kuiba Kura, Hakikisha Kuna Uchaguzi huru na...
Leo hii inafanyika mkutano wa HADHARA wa KISIASA pale mleba Proffesa Tibaijuka hakumbukwi hata kupewa mic asalimie kudadeki kila zama na zama zake
Yaani mtu kama Masiringi Leo hii hapewi mic...
CCM hamna la kuwaambia Watanzania juu ya hili kweli?
Tuliyedhani ni shida kubwa katika kufanya uchaguzi uwe wa Amani, katiwa ndani, hana ushawishi tena
Chama ambacho tulihofia kwamba kitakuwa...
Mbunge wa Nyamagana amewaambia wananchi wa Mwanza kuwa Pinda alikuja kufanya ziara ambayo haikuwa na tija. Wenje anasema Waziri mkuu anakuja na msafara mrefu wa magari zaidi ya 50 ili kukagua...
In short Watatuzi wamegeuka kuwa Matatizo sio Waliopo au Wanaokuja...; Ni kama Mapaka yote yameungana..., ya Mtaani na Nyumbani kufuja mali ya Tajiri na yanafuja kweliweli kuliko hata wale panya...
chadema kata ya usariver jana imefanya kumbukumbu ya mwaka mmoja tokea kifo cha aliyekuwa mwenyekiti wa chadema kata ya usariver marehemu mbwambo kuchinjwa kwa chensoo mwaka jana baada ya uchauzi...
Wakuu
Tundu Lissu "Ninajua kuwa Mbowe ndiye aliyemtuma Wenje agombee nafasi ya Makamu Mwenyekiti nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma"
Pia, Soma:
Ezekia Wenje: Siwezi kununa...