Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

KUHUSU MHE. JOHN WEGESA HECHE KUONDOKA NCHINI BILA KUFUATA TARATIBU Idara ya Uhamiaji inapenda kuujulisha Umma kuwa leo tarehe 18 Oktoba, 2025 katika Kituo cha Uhamiaji cha Mpaka wa Sirari mkoani...
11 Reactions
70 Replies
3K Views
Hatua ya mwanzo ya kufanya marekebisho, 'Reform' Samia alikaidi, alidharau, alighaili; ikapita. Sasa tunaelekea kwenye hatua ya pili ya kutokuwepo uchaguzi, 'No Election', hapo Oktoba 29. Sasa...
0 Reactions
0 Replies
193 Views
Wengi wamehuzunishwa na kifo cha Raila Odinga waziri mkuu wa zamani wa Kenya. Ni haki yao. Wengi, hata hivyo, wamesahau damu na vifo vya Gen Z waliotekwa na kuuawa na serikali aliyojiunga nayo...
0 Reactions
2 Replies
268 Views
"Mimi nimekataa kuwa mtumwa, najua madhara ya machaguo ninayoyafanya, nimekuwa mbunge mimi sio kibaka nimekuja hapa kwakuwa mimi ni mtu wa utaratibu" "Ningetaka kupita huko (porini) msingeniona...
5 Reactions
20 Replies
544 Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kazi kubwa aliyoifanya Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kipindi cha miaka minne na nusu aliyoiongoza nchi, ndiyo...
1 Reactions
11 Replies
429 Views
Rais Samia Suluhu Hassan ndiye Rais pekee aliyejitambulisha kwa cheo cha UAMIRIJESHI MKUU mara 3129 ndani ya kipindi cha miaka minne huku watangulizi wake walikuwa wakitambulishwa na wengine ...
14 Reactions
42 Replies
1K Views
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, leo ameshiriki ibada maalum na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika...
0 Reactions
2 Replies
224 Views
Hints: Tundu Lissu anasema kuwa siku aliyopigwa risasi ndio siku Rais Magufuli alikuwa akipokea ripoti ya makinikia. Na masaa mawili kabla ya shambulio lake alitangazia umma kuwa kuna mtu...
157 Reactions
872 Replies
132K Views
Mama sema na mwanao Walio kuja kumwona Tundu lissu mmewafukuza Wanao toka Tanzania kwenda nje mnawazuia Nini shida?
3 Reactions
0 Replies
121 Views
Maandamano yanayotaka kufanyika sio ya Mange Kimambi, CHADEMA, Kigogo, Sativa wala Recho Dangwa bali maandamano haya ni kwa ajili ya kuweka sawa baadhi ya mambo kwenye nchi yetu ambayo kuna baadhi...
7 Reactions
7 Replies
378 Views
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo mkoani Dar es Salaam, Wakili Albert Msando, amewataka wafanyabiashara wilayni humo na Watanzania kwa ujumla kuondoa hofu kuhusu taarifa za kuwepo maandamano Oktoba 29...
0 Reactions
2 Replies
271 Views
Manabii koko walisema kitendo cha bunge kupangwa kuvunjwa tarehe 03/ 08/ 2025 eti ni kusubiri kubadilishwa sheria kuruhusu "minimum reforms" baada ya shinikizo la CHADEMA kwenye mkakati wao wa No...
19 Reactions
237 Replies
8K Views
Mtandao wa Singapore wa tradedata una taarifa lukuki kuhusiana na mambo ya trade na shiptments mbali mbali. Kwa wanaofanya biashara international wanautumia sana. Basi nimeweka jina la mtoto...
27 Reactions
50 Replies
3K Views
Haina utofauti na UKAWA ambayo bado ilishindwa na hicho kichama cha Mafisadi CCM, hivyo siyo tu kuungana bali mikakati makini inahitajika kumnyanganya mtu tonge wakati na yeye ana njaa ni...
1 Reactions
10 Replies
485 Views
Wadau kama mnavyojua FBI(Federal Bureau of Investigation) ni shirika kubwa la usalama wa ndani na upelelezi wa uhalifu lenye mamlaka ya kufanya kazi za kijasusi ndani ya nchi ya Marekani...
12 Reactions
16 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Bodi ya Kampeni ya Kitaifa ya Mama Asemewe Alawi Abdallah amewahakikishia Watanzania kuwa nchi yao ni tulivu na yenye usalama mkubwa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi Mkuu wa...
1 Reactions
8 Replies
441 Views
Mgombea Udiwani wa Kata ya Jangwani, Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Nassibu Hassan Kitabu, ametoa wito kwa wananchi wa kata hiyo kutoogopa vitisho...
1 Reactions
1 Replies
222 Views
Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema chama hicho kitaendelea kusimamia na kulinda misingi ya amani, umoja na mshikamano ambayo...
2 Reactions
2 Replies
183 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…