Makonda nafasi ya uwaziri mkuu haimfai hata kidogo, na kama tetesi za kupigwa ban kukanyaga baadhi ya nchi ni za kweli basi bila shaka Tanzania itajiweka nafasi mbaya mno kujenga uhusiano na...
Pole pole ameshasahaulika, Mdude ameshasahaulika, Gwajima ameshasahaulika hata na Lissu akitekwa na kupotezwa kelele zitapigwa kisha naye atasahaulika.
Ni neema ya Mungu pekee ndio itatuokoa...
Uwiano wa kujibu nyuzi na kuzitama/soma jukwaani, hasa jukwaa hili la siasas unashangaza!
Kwa haraka haraka sana uwiano ni kama ifuatavyo kwa uchache:
1. Nyuzi za Leo-74/994; 2/10; 29/698...
Yaani mnamchukua mtu kweupe kila mtu akiona, mnampandisha kwenye gari na kuondoka naye. Halafu saivi mnatuambia mnamsubiri, kwamba hajafika! Alichukuliwa na upepo? Au alibebwa na wanga waliochukua...
Sheikh wa Mkoa wa Singida, Sheikh Issa Nassoro, amewataka viongozi wa dini nchini kuwa waaminifu na kuacha kutumia nafasi zao kuchochea taharuki au migogoro ya kisiasa, akibainisha kuwa baadhi yao...
Akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha Clouds 360, Kamanda wa Polisi Kinondoni, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Mtatiro Kitinkwi ameeleza kuwa yeyote atakayevunja sheria Jeshi...
Akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha Clouds 360, Kamanda wa Polisi Kinondoni, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Mtatiro Kitinkwi ameeleza kuwa Jeshi la Polisi limejipanga...
Kwa hali ilivyo huyu makamu mwenyekiti wa chadema anaweza kuuwawa.
Kwasabau alichukuliwa katika viwanja vya mahakama na mpaka sasa hajafikishwa tarime ni vyema mkafungua shauri mahakamani Haraka...
Kijiji cha Mji Mwema wilayani Siha kimewaka kwa hamasa baada ya wananchi kuwasha taa za Dkt. Samia mara baada ya kampeni za Mgombea Ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema moja ya sharti la haki za binadamu ni kutowazuia wengine kupata haki yao ya kikatiba ikiwemo kupiga kura...
Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewaonya makarani watakaotoa taarifa za uchaguzi na kuwataka kusimamia viapo vya utunzaji wa siri katika kipindi chote cha uchaguzi.
Onyo hilo limetolewa na...
Mwaka huu huwenda ukawa ni mwaka mgumu sana kutekeleza haki zetu za kikatiba za mwananchi kwenda kupiga kura
Nchi nzima imetaharuki, sijawahi kuona wanajeshi na majeshi mengine kufanya mazoezi...
Pamoja na kutumwa, ni dhahiri unaonesha chuki binafsi na Lissu!
Kwanini unakuwa hivyo?
Alikukosea nini?
Kuna siku ya Mungu utajibu mbele yake na hao wanaokutuma hawatakuwepo.
Mgombea Urais wa Chama cha AAFP, Kunje Ngombale Mwiru, amesema amechoka na simu za vitisho na amepanga kuvunja kampeni, "endeleeni na Chifu Hangaya wenu, niuwe leo, wewe utakufa kesho", alisema...
“Kila mtu akapige kura ili tumpate tunayemtaka; tusiwekewe tusiyemtaka.
Kwa sababu kuchagua kiongozi anayefaa huo ni mchango wa kusaidia kuleta wema na kufanya wema.
Akiwepo ambaye hapendwi...
Angefanya yafuatayo angekuwa ni shujaa, level za kina Mandela lakini ndo hivyo tena
1. Kwanza hakutakiwa kugombea kwa muhula wa pili. Muhula wa kwanza ulikuwa unamtosha. Ingemjengea hesima kubwa...
Nakumbuka enzi za Ummy Mwalimu alikuwa kisu sana.. Wamemchosha wakamtema. Sasa hivi yupo Huko Tanga sijui kwa Msisi.
Huyu Mlimmbwende wetu walichukua anawaka. Bado hajatemwa lakini kachoka balaa...