Ili kuikomboa hii ardhi, Tanzania tunahitaji roho mbaya kama ya malaika waliochoka.
Na ndio sababu hata kanisa kuu limeona bora iwe mbwai.
Tunamuhitaji Shetani kuliko Mungu.
Haki huinua taifa
Wanabodi,
Humu JF, mimi najihesabu ni mmoja wa waalimu wa somo gumu kabisa kwa watu wa kawaida. Hili ni somo la kitu kinachoitwa "psychoanalysis"
Kuijua psychoanalysis ni nini na ni ya kazi...
Wanabodi,
Nimeanzisha mfululizo wa makala za Uso kwa Uso, au Face to Face Vox Pop, ambapo nikialikwa event yoyote, nitakuwa nafanya mahojiano mafupi ya face to face kupata Vox Pop ya baadhi ya...
Watoto wetu watakuwa wanasimuliwa. Mwaka 2025, Miradi mikubwa ya maendeleo ilimama sababu Magari yote yalienda kubeba watu wa kujaza mkutano wa Mwanasiasa. Amri ilikuwa inatoka ngazi ya taifa...
Shida yangu kubwa ni kujua alipo mwanangu, kwasababu watoto wa watu wengi wamepotea”
Mama mzazi wa kiongozi wa chama cha upinzani Tanzania CHADEMA John Heche.
Ni wakati wa kujifunza maneno na kitunga nyimbo leo nitawaletea maneno yenye nguvu kutoka kwa wenzetu waliopitia magumu na kuvunja ukimya na minyororo yao.
Hizi nyimbo zinazungumzia kila shida...
Kingekuwa ni kitu kizuri leo kutwa yote wangeimba “AJALI YA MAMA” na tusioimba tungebezwa, tungeitwa KENGE, SISIMIZI, NYWINYWI, NYWINYWINYWI.
Lakini Mungu huyu ni fundi sana, kapiga kwenye mshono...
Ni tangu enzi za ukoloni ajira iliweza kutumika kama kifaa cha kuogopesha watu wasifungue mdomo.
Mkoloni alifungua mashamba, viwanda, na miradi mingi sana, watu walilipwa mshahara waweze...
Nimemsikiliza huyu Sheikh kwa utulivu sana! Amezungumzia ishu kubwa ya amani ambayo imeshakuwa wimbo kama wa taifa kwa viongozi na baadhi ya wanasiasa na viongozi wa dini pia. Lakini yeye amehoji...
Vibwanga vinaendelea na siku zimebaki chache kuelekea uchaguzi huo wa manufaa kwa wachache!
Kama kuapishwa imekuwa ngumu, vipi kuzilinda hizo kura si ndio vurugu tupu kabisa. Nasuburi kuona mengi...
Nikikumbuka mbilinge mbilinge za kipindi kile cha movement for change (M4C) na jinsi presha ya uchaguzi ilivyokuwa juu, nina thubutu kusema laiti kama mheshimiwa Edward Lowasa angekuwa hai basi...
Wanabodi
Mhariri Mwandamizi Jesse Kwayu, anazungumzia ilani ya uchaguzi ya CCM, apongeza kurasimisha 4R za Samia.
https://youtu.be/ckfnn-xocuA?si=S4_TYtincEbhD7Jl
Karibu
Paskali
Wanabodi
Msikilize mwandishi wa habari nguli na Mhariri Mwandamizi, Neville Meena, akizungumzia ilani ya uchaguzi ya CCM
https://youtu.be/5ctwE6-BSb8?si=gr0gRm2X2MsSxlHg
Karibuni
Paskali
Wanabodi
Mhariri Mwandamizi, Manyerere Jacton anazungumzia ilani ya uchaguzi ya CCM, Ameshauri ilani ina vitu vingi, tuchague vipaumbele muhimu
https://youtu.be/i3yeWumJsnk?si=kcNiJ7IWkDIYAX8C...
Wanabodi
Mtangazaji Salim Kikeke wa Crown Media azungumzia jinsi alivyoweza kufanya mahojiano mara mbili na Rais Samia, huku kuna foleni kubwa ya walioomba mahojiano...
Hii nchi sasa ishakuwa ngumu kila mtu anatumia nguvu yake aliyokuwa nao.
Sasa hii gari unayoiona kwenye video ni gari inadaiwa ni ya mfanyabiashara Muarabu amezua gari ya taka ya kiwanda cha AI...
Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema chama hicho kitaendelea kusimamia na kulinda misingi ya amani, umoja na mshikamano ambayo...