Leo nimemsikilza tena dada ghost wa Taifa anasema eti anasononeka analia eti watu wamekufa? serious?
Kaanza kuwadanganya mabwege ohhh tokeni sana tokeni sana jeshi na polisi lipo na nyie na...
Wanabodi,
Mimi ni miongoni mwa Watu waliotoka tarehe 29/10/2025.Kwanza kabisa nikiri kuwa nilitoka asubuhi sana na bango langu lakini hakukua na mtu barabarani.
Baadae nikarudi pembeni, nikakuka...
Kuna Mwanajeshi kataka Tanzania isifanye uchaguzi.
Je, Yupo peke yake au nyuma yake kuna wenzie. Kama katoka hadharani na kisema, huu mwezi wa kumi 2025 utakuwa ni mwezi kona.
Anaitwa Kapteni...
Mwaka huu yametokea maandamano mengi sana ya Gen-Z. Huko Nepal watu walitiwa hasa hasira na wanaowaita Nepo babies. Yaani watoto wa vigogo wanaoonyesha maisha ya anasa mitandaoni huku watu wa...
Kwakuwa uchaguzi wa safari hiii umefanyika bila kufuata taratibu za ki demokrasia na kufuata Katiba inayoakisi haki kwa wote, na hata upatikanaji Kwa baadhi ya wagombea Ndani ya CCM, basi itakuwa...
Kimepoteza muelekeo baada ya kuingia kwenye mtego wa kutumiwa kama chama cha uhanaharakati na ugaidi dhidi ya Serikali.
Iwapo kingejikita na dhana ya kujijenga na ushawishi wa seta mbadala basi...
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi Tanzania, limepata taarifa za watu ambao siyo raia wa Tanzania kuwa wameingia nchini kwa njia zisizo rasmi kwa nia ovu ya kufanya uhalifu ikiwepo vurugu. Watu...
Hamjambo!
Nimemsikia viongozi kadhaa wakisema na kulaumu watu walioko nje kama kina Mange Kimambi na wengineo wao ndio wanachochea vurugu na amani ndani ya nchi. Kauli hiyo inatolewa ni kana...
Jeshi la Polisi Tanzania limetoa Taarifa kwa Umma likisema kuwa, Kufuatia maelekezo yaliyotolewa jaan tarehe 3.11.2025 na Mhe. Rais na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassan, Amri iliyokuwa...
Kanisa katoliki sio wanafiki wamenyooka hii ni leo kwenye UAPISHO wa mchongo Mwenyezi Mungu,"Tunawaombea wotewaliopoteza Maisha Yao Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Huu Wa 2025 Uwapokee kwako...
Wakati Uchaguzi Mkuu wa Tanzania ulipofanyika tarehe 29 Oktoba 2025, huku Huduma za Mtandao wa Intaneti zikiwa zimezimwa, Vyombo vya Habari vikuu (Mainstream Media) kama televisheni na redio...
Wakuu,
Yani katika vitu Magufuli alitukosea sana kama watanzania ni kuua upinzani kitu ambacho kinafanywa kwa muendelezo mpaka sasa.
Kitu kingine ni kumteua Samuya kama makamu wake asee hapa...
Tume ya Uchaguziya Zanzibar, kufuatia kukamilika kwa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar uliofanyika tarehe 29 Oktoba 2025; katika Mkutano wake wa Novemba 4, 2025, imefanya Uteuzi wa Wajumbe wa...
Binafsi Nimeshuhudia mambo hovyo kabisa kwenye uchaguzi wa 29/10/2025 Kwa masikitiko, hali ni mbaya zaidi kuliko tulivyoweza kudhani. Nilishuhudia kwa macho yangu jinsi baadhi ya wasimamizi wa...
Kwa sasa njia kubwa zaidi ya kuonesha kupinga mauaji ya Watanzania wenzetu na utawala dhalimu wa mabavu wa CCM ambao haujapewa ridhaa na dhamana ya raia ni kususia bidhaa na huduma zote zenye...
Africa
Hundreds of people have reportedly been killed in Tanzania after taking to the streets to protest this week’s presidential election, which saw the increasingly authoritarian incumbent...