Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukiwaulizia wanabodaboda wengi wa vijiwe vyetu maarufu hawakushiriki maandamano na waliendelea kutoa huduma ya usafiri. hii ni ishara ya mamluki kutoka nje ya Tanzania kuletwa kushiriki uvunjifu...
1 Reactions
40 Replies
1K Views
Wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo Jijini Dar Es Salaam wameeleza athari kubwa za kiuchumi na Kijamii zilizotokana na ghasia na vurugu katika uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025...
0 Reactions
1 Replies
195 Views
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X-twitter Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi ameandika haya: "Kabla ya mazungumzo lazima waliopanga, kufadhili na kuendesha...
2 Reactions
6 Replies
355 Views
Mkurugenzi wa mawasiliano na uenezi wa CHADEMA Brenda Rupia amezungumza na watanzania na kutoa pole kwa niaba ya chama na wametangaza maombelezo ya siku 7 na bendera kupepea nusu mlingoti kwenye...
7 Reactions
8 Replies
538 Views
Tamko Kuhusu Matukio ya Ukiukwaji wa Haki za Binadamu Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 (29 Oktoba hadi 04 Novemba) 1.0 Utangulizi Tamko la Mtandao Wa Watetezi Wa Haki za Binadamu Tanzania na...
3 Reactions
0 Replies
407 Views
Uteuzi wa Profesa Palamagamba Kabudi, ni hatua nzito ya serikali kujipanga kushinda vita ya habari yaani propaganda. Vyombo kama TBC, TBC radio, Habari Leo Daily News, Idara ya Maelezo vimekuwa...
3 Reactions
43 Replies
3K Views
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Amnesty International, limeelezea wasiwasi wake mkubwa kufuatia hatua ya mamlaka za Tanzania kufunga au kupunguza kasi ya mtandao nchini kote...
2 Reactions
8 Replies
655 Views
Leo nimemsikilza tena dada ghost wa Taifa anasema eti anasononeka analia eti watu wamekufa? serious? Kaanza kuwadanganya mabwege ohhh tokeni sana tokeni sana jeshi na polisi lipo na nyie na...
7 Reactions
77 Replies
3K Views
Wanabodi, Mimi ni miongoni mwa Watu waliotoka tarehe 29/10/2025.Kwanza kabisa nikiri kuwa nilitoka asubuhi sana na bango langu lakini hakukua na mtu barabarani. Baadae nikarudi pembeni, nikakuka...
36 Reactions
46 Replies
2K Views
Kuna Mwanajeshi kataka Tanzania isifanye uchaguzi. Je, Yupo peke yake au nyuma yake kuna wenzie. Kama katoka hadharani na kisema, huu mwezi wa kumi 2025 utakuwa ni mwezi kona. Anaitwa Kapteni...
16 Reactions
43 Replies
2K Views
Mwaka huu yametokea maandamano mengi sana ya Gen-Z. Huko Nepal watu walitiwa hasa hasira na wanaowaita Nepo babies. Yaani watoto wa vigogo wanaoonyesha maisha ya anasa mitandaoni huku watu wa...
2 Reactions
2 Replies
246 Views
Asanteni viongozi kwa kujiweka uhalali madarakani ila MUNGU sikuzote hakawii kujibu...wakati utafika tu. Mungu Ibariki Afya Yangu
0 Reactions
1 Replies
131 Views
Kwakuwa uchaguzi wa safari hiii umefanyika bila kufuata taratibu za ki demokrasia na kufuata Katiba inayoakisi haki kwa wote, na hata upatikanaji Kwa baadhi ya wagombea Ndani ya CCM, basi itakuwa...
0 Reactions
2 Replies
165 Views
Kimepoteza muelekeo baada ya kuingia kwenye mtego wa kutumiwa kama chama cha uhanaharakati na ugaidi dhidi ya Serikali. Iwapo kingejikita na dhana ya kujijenga na ushawishi wa seta mbadala basi...
2 Reactions
34 Replies
1K Views
  • Featured
TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Tanzania, limepata taarifa za watu ambao siyo raia wa Tanzania kuwa wameingia nchini kwa njia zisizo rasmi kwa nia ovu ya kufanya uhalifu ikiwepo vurugu. Watu...
2 Reactions
94 Replies
4K Views
Kwa hasira walizokua nazo waandamanaji je Yuko wapi?
0 Reactions
2 Replies
313 Views
Hamjambo! Nimemsikia viongozi kadhaa wakisema na kulaumu watu walioko nje kama kina Mange Kimambi na wengineo wao ndio wanachochea vurugu na amani ndani ya nchi. Kauli hiyo inatolewa ni kana...
2 Reactions
7 Replies
315 Views
Jeshi la Polisi Tanzania limetoa Taarifa kwa Umma likisema kuwa, Kufuatia maelekezo yaliyotolewa jaan tarehe 3.11.2025 na Mhe. Rais na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassan, Amri iliyokuwa...
2 Reactions
27 Replies
998 Views
Kanisa katoliki sio wanafiki wamenyooka hii ni leo kwenye UAPISHO wa mchongo Mwenyezi Mungu,"Tunawaombea wotewaliopoteza Maisha Yao Wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Huu Wa 2025 Uwapokee kwako...
16 Reactions
26 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…