Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama akiwasilisha Bajeti ya Wizara ya Afya ya mwaka wa fedha 2025/26, leo Juni 2, 2025, Bungeni Jijini Dodoma amempa heko Naibu wake, Dkt. Godwin Mollel kwa...
Its Official,
Tanzania sasa ni rasmi a failed state. Nchi imeanguka rasmi kwenye kikundi kidogo cha dola ya CCM. Kikundi hiki ndo kinaamua mambo yaendeje, lipi litokee na lipi lisitokee, kipi...
Sote tunajua kwamba, Askari wa Tanganyika ni yale mazezeta sugu yaliyoshindikana shuleni yakabebwa na kupelekwa depo.
Askari wa aina hii ukimpa Amri ya kuua lazima umsimamie kwa karibu sana na...
Katibu wa itikadi na uenezi chama cha Mapinduzi CCM, Ndugu Paul Makonda akizunngumza na wananchi wa wilaya ya kinondoni kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho.
Makonda amemtaka waziri wa Ardhi...
Wakuu,
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara na 'mgombea' wa nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu amewashukia wale wote wanaodai kuwa...
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuwaachilia mara moja na bila masharti viongozi wa kisiasa waliokamatwa kwa kudai haki, likisisitiza kuwa hatua...
Wanabodi,
Haya ni mapendekezo yangu kwa miswada mitatu ya sheria ya uchaguzi, Sheria ya vyama vya siasa na Tume ya uchaguzi.
https://youtu.be/3a4SjkV46JY?si=lqufL6e34DyB2Gjr
Nilipendekeza
1...
Mada hii itakuwa na 'Updates' mbalimbali za Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa PWANI. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali...
"Uchaguzi mimi nimeshiriki Dar es salaam katika wilaya zote katika majimbo yote nilifurahishwa na wana Dar es salaam muliokataa propaganda, uongo, mkachagua chama cha mapinduzi, na hii ni salamu...
Rais Samia amesema anasikitishwa baada ya kusikia mwenyekiti (yeye) anavyoshambuliwa na kusema ukweli wanaujua hivyo wasimame imara, akisema mdomo wa mwenyekiti mmoja kujibu hoja zinazotolewa...
Askofu Josephat Gwajima, mbunge wa Kawe; "Silaha ya wajinga ni kujipendekeza, mtu asiyejua kitu silaha yake kubwa ni kujipendekeza na kuwasemea wengine mambo mabaya. Vijinga vinajua kuji-position...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Mwenyekiti wa chama hicho Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko makubwa katika chama hicho.
Akizungumza...
Wakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.
Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye...
Eti wakuu , umri wa miaka 65 ni sahihi MTU kuendelea kuwa Mbunge .
Maana kwa kumtazama Majaliwa amechoka Sana ukiachana na Super Black kichwani Ila sifikirii Kama ni sahihi Sana .
1. Hongereni CCM kwa Mkutano Mkuu Maalum hapa Dodoma.
2. Yanayofuata yote ni kukamilisha mechi za kwenye ratiba tu a.k.a stand up comedy.
**Sasa naelewa kwann Wasanii wote walialikwa Dodoma
Wanabodi,
Saa hizi ni usiku mkubwa, usingizi umejigomea, hivyo nimeshuka jf.
Baada ya mwana CCM mwandamizi, ambaye ni born and breed CCM, kusema ukweli kuhusu ushindi wa uchaguzi kwenye baadhi ya...
Pongezi za dhati na za kipekee ziende Kwa viongozi wetu wakuu wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Komredi AbdulRahman Kinana na Waziri mkuu wa JMT Mhe. Kassim Majaliwa Kwa kuwa...
Binafsi Sina mashaka na uwezo wa CCM katika kushinda , ina uwezo mkubwa wa kushindana na kushinda tena kwa kishindo hivyo kama siku moja ningebahatika kuwa meneja wa kampeni za mgombea wa urais wa...
Haya yanayotokea sasa hivi ni Kwa bahati mbaya, mazoea au ni planned? Polisi mwenye cheo kikubwa kama huyu anawezaje kutamka maneno mazito kama haya? Huku akifanya demonstration?
Pia soma:
~...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.