Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kupitia ukurasa wake wa X, mjumbe wa kamati kuu Chadema Godbless Lema ameanduka: "Napewa na Kusoma TAARIFA kuwa natakiwa kuuwawa , nafikiri siogopi kwa sababu Ninamjua Mwenyezi Mungu...
24 Reactions
55 Replies
4K Views
Kitendo cha Jeshi la Polisi kupiga wafuasi wa Chadema na wengine kutupwa porini Mabwepande baada ya kujeruhiwa na kuvunjwa miguu na mikono kamwe hakiwezi kuiacha nchi salama! Pia soma: Pre GE2025...
6 Reactions
79 Replies
4K Views
“Si kwamba namtetea Makonda lakini katika sakata lao hili, Gambo ndie anaemchokoza Makonda, Gambo ana ugomvi na kila kiongozi anayekuja Arusha, alikuwa na ugomvi na viongozi waliopita wakina John...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Katika kipindi cha Medani za Siasa kinachofanywa na Edwin Odemba (Chief Odemba) na kurushwa na Star TV, Meya wa jiji la Arusha aliulizwa kuhusu malalamiko kwamba Mbunge Gambo haudhurii vikao na...
0 Reactions
3 Replies
766 Views
Ni kuhusu maana halisi ya Uasi na Uhaini. Mnalichukulia kwa urahisi neno hilo ambalo lina adhabu kubwa duniani. Adhabu ya Kifo kisheria. Maneno ya Bagonza yaliyo toholewa kutoka katika andiko...
5 Reactions
65 Replies
2K Views
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, kwenye ziara yake katika mkoa wa Ruvuma wilayani Tunduru ambapo amesema kuwa "Kama ACT Wazalendo wangesusia Uchaguzi wa 2025, CCM...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeahirisha kwa muda kesi ya kusambaza taarifa za uongo katika mtandao wa Youtube inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu. Kesi hiyo imeahirishwa kwa...
6 Reactions
36 Replies
3K Views
"Jumla ya majeruhi mpaka jana usiku tuliwapeleka hospitali na wakapata matibabu walikuwa ni majeruhi 21 na nitawataja majina yao na hali zao, walipigwa na kutupwa Mabwepande porini msituni, ndio...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Katika mazingira ya kisiasa ya sasa, ni muhimu kutambua kwamba chama cha siasa kinapokuwa na nguvu kubwa katika kuendesha serikali, kuna hatari kubwa inayoweza kutokea. Muundo wa chama na muundo...
1 Reactions
4 Replies
512 Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeutaka upinzani kutozibeza Tume za Uchaguzi, INEC na ZEC, na kudai si huru wakati Chadema na ACT Wazalendo vimekuwa vikiongeza idadi ya viti vya Udiwani, Uwakilishi...
0 Reactions
4 Replies
426 Views
Katibu Mkuu wa Chama cha mapinduzi (CCM), Dkt Emmanuel Nchimbi amewataka Wabunge wenye nia ya kugombea watambuane na yeyote atakayeshinda au kushindwa amuunge mkono mwenzake. Dkt Nchimbi...
0 Reactions
1 Replies
292 Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya ACT Wazalendo, Mtutura Abdallah Mtutura, amedai kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilitamani ACT Wazalendo kisusie uchaguzi, ili waweze kushinda kwa urahisi, lakini ACT...
1 Reactions
5 Replies
547 Views
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana ya Chama Cha Mapinduzi UVCCM, Mohamed Kawaida ameeleza kuwa anazo taarifa za baadhi ya asasi za kiraia na vyama vya siasa vinavyowapeleka Vijana wa Kitanzania...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
NIMEAMBIWA na mizimu ya kwetu kyaibumba niwambie yakuwa viongozi wa Dini hawaongei wakiwa KWENYE MILANGO ya Gest house Bali wanaongea wakiwa KWENYE Madhabau ambayo hata wao watawala hawawezi...
2 Reactions
1 Replies
418 Views
Vyama 12 vya siasa katika Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma vimetangaza kwa pamoja msimamo wao wa kushiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, wakipinga vikali kauli ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
1 Reactions
10 Replies
762 Views
Tunakumbushana tu kabla ya kwenda kulala Rais Samia atashinda bila msaada wa Chawa yoyote Mlale unono 😁🇹🇿
3 Reactions
7 Replies
309 Views
Kuelekea uchaguzi mkuu 2025, kumekuwa na mijadala mingi, mkubwa katika hiyo ni vuguvugu la "No reform, no election" lililoasisiwa na CHADEMA. Yapo madai mengi yaliyotolewa na CHADEMA katika...
3 Reactions
5 Replies
512 Views
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Ndugu Faris Buruhani asema vijana wa chama hicho wanatamani Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu aachiwe ili wapambane nae kwenye kampeni za uchaguzi Mkuu 2025...
3 Reactions
3 Replies
532 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Bara CHADEMA John Heche akiongea kwenye kongamano wagombea serikali za mitaa 2024. Kongamano hilo lililofanyika ukonga jijini Dar es Salaam...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti Chama cha ACT Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu amesema Zanzibar wakati inaungana na Tanganyika mwanasheria mkuu wa Wakati huo hakushirikishwa na alipelekwa likizo ya...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Back
Top Bottom