PreGE2025 Heche: Hata mimi hawataki nikamuone Lissu gerezani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,723
Reaction score
2,762
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Bara CHADEMA John Heche akiongea kwenye kongamano wagombea serikali za mitaa 2024.

Kongamano hilo lililofanyika ukonga jijini Dar es Salaam lakuwakutanisha wanachama wote wa mkoa wa Dar es salaam kujadili ajenda mbalimbali zinazoendelea kwa sasa nchini.

"Leo nimeenda kumuona Lissu nmezuiliwa. Nmempigia kamshna wa magereza hajanipokelea simu, wao wanafikiri hivyo vitendo vinanikatisha tamaa au vinanidhalilisha, lakini hata" John Heche, Makamu mwenyekiti Chadema
 
View attachment 3317647
Hii ni zaidi ya chuki za kisiasa...kuna vita kubwa zaidi.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Bara CHADEMA John Heche akiongea kwenye kongamano wagombea serikali za mitaa 2024.

Kongamano hilo lililofanyika ukonga jijini Dar es Salaam lakuwakutanisha wanachama wote wa mkoa wa Dar es salaam kujadili ajenda mbalimbali zinazoendelea kwa sasa nchini.

"Leo nimeenda kumuona Lissu nmezuiliwa. Nmempigia kamshna wa magereza hajanipokelea simu, wao wanafikiri hivyo vitendo vinanikatisha tamaa au vinanidhalilisha, lakini hata" John Heche, Makamu mwenyekiti Chadema
View attachment 3317647
Chadema nguvu moja songeni mbele mtashinda ktk hili
 
Ahahahahaha!
Watanzania sasa hivi tupo bize tunasherehekea Simba kuingia fainali KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA!
Ya Lissu tuambie kesho bwana!
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Bara CHADEMA John Heche akiongea kwenye kongamano wagombea serikali za mitaa 2024.

Kongamano hilo lililofanyika ukonga jijini Dar es Salaam lakuwakutanisha wanachama wote wa mkoa wa Dar es salaam kujadili ajenda mbalimbali zinazoendelea kwa sasa nchini.

"Leo nimeenda kumuona Lissu nmezuiliwa. Nmempigia kamshna wa magereza hajanipokelea simu, wao wanafikiri hivyo vitendo vinanikatisha tamaa au vinanidhalilisha, lakini hata" John Heche, Makamu mwenyekiti Chadema
View attachment 3317647
ccm wapuuzi saana 👿 ipo siku watalipia tu
 
Wamuache Lissu apumzike, kila wakati wageni
 
HAKI ya kumtembelea Mwenyekiti wetu akiwa Gerezani pia wanaipoka?🤔
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Bara CHADEMA John Heche akiongea kwenye kongamano wagombea serikali za mitaa 2024.

Kongamano hilo lililofanyika ukonga jijini Dar es Salaam lakuwakutanisha wanachama wote wa mkoa wa Dar es salaam kujadili ajenda mbalimbali zinazoendelea kwa sasa nchini.

"Leo nimeenda kumuona Lissu nmezuiliwa. Nmempigia kamshna wa magereza hajanipokelea simu, wao wanafikiri hivyo vitendo vinanikatisha tamaa au vinanidhalilisha, lakini hata" John Heche, Makamu mwenyekiti Chadema
View attachment 3317647
Mkuu wa magerezà afunguliwe kesi
 
huyu heche tangu lissu ahamishiwe ukonga ameweka kambi ukonga anakusanya magenge ya vijana isijekuwa anasoma jiografia ya ukonga amtoroshe lissu, vyombo vya usalama hebu kuweni chonjo na huyu mtu, mnakumbuka movie ya escaoe from sobibo?
 
Toka vyama vingi vianzishwe,Tundu Lissu ndiye mpinzani wa kweli,wanajalibu kumuhonga huku wanamtesa lakini wapi
 
huyu heche tangu lissu ahamishiwe ukonga ameweka kambi ukonga anakusanya magenge ya vijana isijekuwa anasoma jiografia ya ukonga amtoroshe lissu, vyombo vya usalama hebu kuweni chonjo na huyu mtu, mnakumbuka movie ya escaoe from sobibo?
Una UTI sugu wewe
 
Back
Top Bottom