Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

“Vituo vingi vya Mwendokasi vimeharibiwa na kwa mantiki hiyo tunaendelea kuusitisha usafiri huu kwa njia ya morogoro road na tunaendelea kuusitisha usafiri huu kwa njia ya Mbagala yaani BRT 2...
2 Reactions
64 Replies
1K Views
Joshua Loitu Mollel (Picha Kwa Hisani ya Maktaba) Mabaki yaliyorejeshwa kutoka Gaza hadi Israel usiku kucha yalitambuliwa kuwa ya raia wa Tanzania Joshua Loitu Mollel, mamlaka ya Israel ilisema...
0 Reactions
6 Replies
440 Views
Kwa ufupi nitajaribu kuelezea kwa nini nasema CCM imekufa na kwa nini kuna ambao hawalioni hilo au hawataki kukubali. Na mwisho nitaeleza kwa nini ni muhimu kwa usalama wa taifa, vyombo husika...
47 Reactions
66 Replies
7K Views
Ule ukatili uliyofanywa na police hadharani tena mchana wa jua kali umenipa tafakuri nzito sana. Ule ukatili wao umesababisha hadi niwaze utimamu wa afya za akili za wahusika. Ule ukatili wao...
10 Reactions
30 Replies
880 Views
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa kupitia ukurasa wake wa Instagram anasema waliohamasisha maandamano hawakuwepo barabarani — lakini video zipo, sauti zipo, nyuso zipo. Kama si wao, ni nani aliyerekodi...
1 Reactions
15 Replies
519 Views
Wana CCM wengi wanajua kupitia box la kura CCM haiwezekani kutoka madarakani hata tugeweza kuleta Rerfoms bado tugeweza kuacha gepu na mwanya wa kuendelea kuwepo madarakani sema uoga...
1 Reactions
1 Replies
180 Views
Kulingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (kama ilivyorekebishwa), sifa za mtu anayestahili kuteuliwa kuwa Attorney General (Mwanasheria Mkuu wa Serikali) zimeelezwa...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Mchambuzi wa masuala ya siasa na uchumi, Simba Mwinyi, amesema amani ni kipaumbele cha kwanza kwa Serikali yoyote duniani, akisisitiza kuwa maendeleo hayawezi kupatikana ikiwa amani haitadumishwa...
0 Reactions
4 Replies
167 Views
Lakini walipoteza maisha. ...1.... Alikuwa ni Daktari akajeruhiwa na risasi...akapata matibabu muhimbili...SIku ya 3 akafariki...nduguze walipofuata mwili...hawakupewa. ..2...Alikuwa mama wa...
0 Reactions
0 Replies
134 Views
Anaandika Mohamed Kawaida kupitia Ukurasa wake wa Instagram Waliohamasisha kuandamana wao hawakuonekana kwenye maandamano, sasa hivi wanatumia misiba ya watu waliowatoa muhanga kufanyia siasa na...
0 Reactions
2 Replies
162 Views
Wananchi walipanga kuvamia Ofisi na Studio za Wasafi maeneo ya Mbezi Beach, lakini walishindw sababu ya Ulinzi ambao Uliwekwa pale. Wengi waliishia kanisa la Katoliki na Maeneo ya Shoppers...
4 Reactions
5 Replies
544 Views
Watanzania hatujazoea kuona damu za watu wetu, ndugu zetu zinamwaga kiholela;huu sio utamaduni wetu. Pamoja tunakataa utawala wa unyanyasaji ,tunakataa utawala wa mabavu, utawala unaomwaga damu za...
9 Reactions
7 Replies
373 Views
Wakuu, Huyu kijana Ramsi alipotea siku chache kabla ya maandamano naona kwa sasa amerudi tena. Twaha Mwaipaya wa CHADEMA anasema Ramso alitekwa Dar na kupelekwa Dodoma na kuishilikiwa huko kwa...
8 Reactions
9 Replies
627 Views
Mkuu wa mkoa wa njombe Anthony Mtaka ameshirikiana na wakazi wa njombe katika maombi ya pamoja kuwaombea waliofariki katika maandamano, huku akisisitiza wazazi kuwausia vijana sambamba na...
0 Reactions
0 Replies
279 Views
Kwa sasa Tanzania hakuna mtu mwenye jukumu la kuilinda Tanzania kama ‘Jakaya Kikwete’ ndio supremo wa mfano. Wengine ni retired security officers, yaani previous CDF, DGIS, IGP’s, Magereza na...
6 Reactions
26 Replies
830 Views
Mkoa wa Songwe - CCM imeshinda majimbo yote Walioshinda ni Philipo Mulugo (Songwe) Japhet Hasunga (Vwawa) Onesmo Mkondya (Mbozi) David Silinde (Tunduma) Kondesta Sichalwe (Momba) Godfrey...
0 Reactions
8 Replies
633 Views
Wakazi wa Makambako Mkoani Njombe wametoa wito kwa Serikali kuacha kupuuza haki na madai ya watanzania ili kurejesha amani na kuponya mioyo ya watu waliopata changamoto wakati wa uchaguzi. Hayo...
3 Reactions
8 Replies
392 Views
Hahaaa hawa jamaa hawamwachii huyu Rais haramu. https://youtu.be/rWW8Nhw6LEY?si=hs4UM_4mV7Bo1E-v
6 Reactions
8 Replies
417 Views
Marehemu John Magufuli alikuja na falsa ya hapa kazi na wanyonge. Samuya alikuja na uchawa na kazi iendelee. Je, hii falsafa inamaanisha nini kwako binafsi kama mdau katika taifa lake?
0 Reactions
0 Replies
123 Views
Lakini maoni yao tumeyakataa .!! Haya yalikua maneno ya Mkapa baada ya machafuko ya mwaka 2000 huko Zanzibar Nimejaribu kutafakari labda kuna ndugu zake wengi waliuwa kipindi kile, na akaapa...
0 Reactions
0 Replies
165 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…