Nikukumbushe
JF-Expert Member
- Jun 4, 2013
- 2,602
- 408
Najua tupo katika zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura kwa mfumo wa BVR.
Ni katika kipindi hiki au uchaguzi mkuu wa mwaka huu watu wamehamasika sana kuchagua nk. Watu wapo tayari kwa mabadiliko. Na kila mtu analijua hilo.
Je,umejiandikisha? Binafsi nimejiandikisha na nina zana kwa ajili ya kuitendea kazi.
Kama umejiandikisha Coments... N na kama bado comment H.