Lowassa avunja record tena, elfu 58 wamdhamini Iringa..

Jay One

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
18,535
Reaction score
20,730
Ni katika Safari ya matumaini...!!!

Tulidhania Singida record yake ya wadhamini elfu 22, isingevunjwa, ila Moshi wakavunja kwa wadhamini 33 elfu, siku moja baadae, rekodi ya Moshi ikavunjwa na Mbeya kwa kupata wadhamini 53 elfu...!!!

Jana Iringa, wameweka rekodi mpya ya kutisha, wadhamini 58 elfu...!!!!

Kama hujui kusoma, picha huoni...!? Kama kipofu, huwezi kusoma pia, SAUTI YA WATU NI SAUTI YA MUNGU, si unasikia CCM ikichanja mbuga na Lowassa...!!! Chagua Lowassa 2015...!!!

Tuhuma zote dhidi yake zimegonga mwamba kwani ni propaganda na uzushi, kwani Vyombo vyote halali vya Dola....👇👇👇👇👇👇

PCCB, COURTS, DPP, POLICE, TUME YA MAADILI YA VIONGOZI YA UMMA na KAMATI YA MAADILI YA CCM.... hajawahi kutuhumiwa achia mbali kushtakiwa ktk maisha yake ya utumishi...!!!

Pia anapendwa na makundi yoooooote....Waalimu na wafanyakazi, wafugaji, wakulima, wavuvi, masheikh, maaskofu, wakristo, waislam, bodaboda, machinga, UVCCM, BAVICHA, UWT, Umoja wa Wanawake CCM, CCM NEC, Wafanyabiashara wakubwa, wasio na dini, Albinos etc etc...!!

So we made our hearts and minds, we go with Lowassa 2015...!!!

Walioiba mali ya umma jiandaeni...!! Mnajua shughuli ya Lowassa...!!!

CCM thru LOWASSA 2015 ndio chaguo sahihi...!!!
 
Itafahamika tu..joka la mdimu liko bize na fitna wenzie wanachanja mbuga
 
Mmeshaambiwa wanatakiwa wadhaminj 450 tu hao wengine karatasi kafungie vitumbua.

Hamuoni aibu kutetea Mwizi au nyie ndo wezi zaidi maana mnamuibia.
 
.... Hahaha, Huyu Jambazi Anajua Kuigiza Kweli.!
 
Propaganda...be reasonable...!!! u don't hv REASONS...be intelligent...!!!
 
... Atuambie Hawa Wa Iringa Wenyewe Kawasafirisha Kutoka Wapi Safari Hii.
 
.... Hahaha, Huyu Jambazi Anajua Kuigiza Kweli.!

Jipe moyo, unacheka kwa woga, tht is coward laugh..!!! eti kuigiza, ww ndio una igiza wenzako wanapiga kazi... nenda ww, ukipata mtu 1 akikudhamini apart from ur vote, nakupa 1 Milion.. kachukue fomu leo..!! I swear ww hata kupata mdhamini mmoja hupati...jaribu ww sasa...!! Ur a joker..!!
 
Rafiki wa Rostam,Chenge,Kapuya,Karamagi na Tibaijuka,fanyeni usanii wenu na hiyo sauti ya Mungu wenu inayopenda majizi lakini Mungu wetu anachukia mafisadi.

Serikali iliyochoka kwa wizi,dhulma ambavyo vyombo vyake vya sola vinafanya kazi ya kuilinda CCM,Leo utuambie havijamshitaki jizi zoefu,wezi wa EPA walibembelezwa warudishe hela walizoiba hiyo ni serikali makini?

Endeleeni na usanii wenu ila mwizi hana nafasi ikulu
 
Lazima watu wamevuta fedha kutoa udhamini..niijuavyo CCM yangu kama hujatoa (rushwa) hupewi. Na maximum ni 5000 kwenda juu. Anajitahidi sana lakini maana amejipanga na mzigo mkubwa kuingia Ikulu. Kimbembe palee kurudisha hela ndio balaa. Tusijelalamika kama sasa tunavyolalamika.
 
Ni katika Safari ya matumaini...!!!

Tulidhania Singida record yake ya wadhamini elfu 22, isingevunjwa, ila Moshi wakavunja kwa wadhamini 33 elfu, siku moja baadae, rekodi ya Moshi ikavunjwa na Mbeya kwa kupata wadhamini 53 elfu...!!!

Jana Iringa, wameweka rekodi mpya ya kutisha, wadhamini 58 elfu...!!!!

Kama hujui kusoma, picha huoni...!? Kama kipofu, huwezi kusoma pia, SAUTI YA WATU NI SAUTI YA MUNGU, si unasikia CCM ikichanja mbuga na Lowassa...!!! Chagua Lowassa 2015...!!!

Tuhuma zote dhidi yake zimegonga mwamba kwani ni propaganda na uzushi, kwani Vyombo vyote halali vya Dola....👇👇👇👇👇👇

PCCB, COURTS, DPP, POLICE, TUME YA MAADILI YA VIONGOZI YA UMMA na KAMATI YA MAADILI YA CCM.... hajawahi kutuhumiwa achia mbali kushtakiwa ktk maisha yake ya utumishi...!!!

Pia anapendwa na makundi yoooooote....Waalimu na wafanyakazi, wafugaji, wakulima, wavuvi, masheikh, maaskofu, wakristo, waislam, bodaboda, machinga, UVCCM, BAVICHA, UWT, Umoja wa Wanawake CCM, CCM NEC, Wafanyabiashara wakubwa, wasio na dini, Albinos etc etc...!!

So we made our hearts and minds, we go with Lowassa 2015...!!!

Walioiba mali ya umma jiandaeni...!! Mnajua shughuli ya Lowassa...!!!

CCM thru LOWASSA 2015 ndio chaguo sahihi...!!!

So what?
 
Mmeshaambiwa wanatakiwa wadhaminj 450 tu hao wengine karatasi kafungie vitumbua.

Hamuoni aibu kutetea Mwizi au nyie ndo wezi zaidi maana mnamuibia.

Kauli za KUKUBALI MATOKEO KABLA YA WAKATI, ndio hizo...!!! Lowassa hafikirii kushindwa, kawashika koo CCM, na ukileta za kuleta tunabana koo, ndio mjue what next...!!!
 
Kwani hao wadhamini ndiyo tiketi ya kugombea urais akili ya Lowasa pamoja na washauri wake zero halafu hizo fomu za Lowasa zipo iringa tangu wiki liyopita zinatembezwa kwa kugawa pesa.
 
Ni katika Safari ya matumaini...!!!

Tulidhania Singida record yake ya wadhamini elfu 22, isingevunjwa, ila Moshi wakavunja kwa wadhamini 33 elfu, siku moja baadae, rekodi ya Moshi ikavunjwa na Mbeya kwa kupata wadhamini 53 elfu...!!!

Jana Iringa, wameweka rekodi mpya ya kutisha, wadhamini 58 elfu...!!!!

Kama hujui kusoma, picha huoni...!? Kama kipofu, huwezi kusoma pia, SAUTI YA WATU NI SAUTI YA MUNGU, si unasikia CCM ikichanja mbuga na Lowassa...!!! Chagua Lowassa 2015...!!!

Tuhuma zote dhidi yake zimegonga mwamba kwani ni propaganda na uzushi, kwani Vyombo vyote halali vya Dola....👇👇👇👇👇👇

PCCB, COURTS, DPP, POLICE, TUME YA MAADILI YA VIONGOZI YA UMMA na KAMATI YA MAADILI YA CCM.... hajawahi kutuhumiwa achia mbali kushtakiwa ktk maisha yake ya utumishi...!!!

Pia anapendwa na makundi yoooooote....Waalimu na wafanyakazi, wafugaji, wakulima, wavuvi, masheikh, maaskofu, wakristo, waislam, bodaboda, machinga, UVCCM, BAVICHA, UWT, Umoja wa Wanawake CCM, CCM NEC, Wafanyabiashara wakubwa, wasio na dini, Albinos etc etc...!!

So we made our hearts and minds, we go with Lowassa 2015...!!!

Walioiba mali ya umma jiandaeni...!! Mnajua shughuli ya Lowassa...!!!

CCM thru LOWASSA 2015 ndio chaguo sahihi...!!!
Una herpes ya mdomoni wewe!
 
" Huyu kaka angu Lowasa tumekaa nae halmashauri kuu miaka mitano...haongei....kumbe bwana kuna kazi anaifanya ya ufugaji....ndio!! Anafuga watu.....akiukwaa urais ataitwa Raisi muongo wa jamhuri ya muungano wa Tanzania...."-Makongoro
 
Back
Top Bottom