Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

GT Mungu nimwema mara zote humuumbua mjinga,sasa hawa police mbona hawajamtaja polepole kama moja ya watu waliohamasisha raia kutoka?
5 Reactions
18 Replies
434 Views
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amekutana na marais wastaafu wa Zanzibar, Dkt. Mohammed Ali Shein wa awamu ya saba na Amani Abeid Karume wa awamu ya sita, Ikulu Zanzibar jana Jumamosi...
0 Reactions
5 Replies
294 Views
Wakuu, Hivi kwanini lakini Polisi wana-treat Watanzania kama Wanyama wa Porini?
5 Reactions
47 Replies
2K Views
Mchungaji Antony Lusekelo maarufu kama Mzee wa Upako atoa ujumbe wa pole kwa watanzania kwa mauaji ya mamia ya raia siku ya uchaguzi Oktoba 29 na 30 nchini Tanzania, anasema hata yeye hakuwahi...
4 Reactions
9 Replies
509 Views
Kijana huyu amesimama kizimbani akiwa na vest na boksa—baada ya kunyimwa hata ruhusa ya kupiga simu kuomba nguo za kubadilisha. Ni miongoni mwa vijana walioshtakiwa pamoja na Niffer kwenye kesi...
7 Reactions
48 Replies
2K Views
Wakuu, Mwanaharakati wa haki za kijamii na kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godlisten Malisa kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika.... Sikuwa na interest ya kujadili...
4 Reactions
14 Replies
626 Views
Salamu kutoka gerezani Ukonga; Tundu Lissu yupo salama, anawasalimia wote na kuwapa pole Kwa mambo mabaya yaliyotokea kuanzia tarehe 29. Amesema CCM wanazima moto Kwa kumwagia petrol, wataungua...
5 Reactions
4 Replies
337 Views
Ujumbe uliochapishwa na Mange Kimambi kwenye ukurasa wa Instagram. "Dada Mange moyo wangu unavuja damu, Watanganyika tumekuwa watumwa kwenye nchi yetu wenyewe. Tumekuwa mayatima, hakuna jeshi la...
13 Reactions
173 Replies
6K Views
Wanabodi https://youtu.be/WHZeDbvn4jw?si=-yv4XzIrf54tMBsU Hii video ya Mama Niffer akimuombea msamaha mwanae Niffer, kama una machozi ya karibu, lazima itakutoa machozi!. Kwa jinsi...
4 Reactions
13 Replies
510 Views
Kwa hakika mimi mjukuu wa Burito nachanganyikiwa hadi nakosa raha. Mauaji yaliyotokea na bado watu wako kimya kama hamna kilichotokea kweli hii ni Tanzania? Dalili zote zilionyesha kitakachotokea...
2 Reactions
24 Replies
671 Views
MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche, amekimbizwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam, baada ya hali yake ya kiafya kuripotiwa...
9 Reactions
72 Replies
3K Views
Kosa la uhaini uhusisha nia, kujaribu, hata kutenda kitendo cha kutaka kuiangusha serikali. Sasa najiuliza na kushangaa. Ni serikali gani iliyokuwa 'ipinduliwe' wakati uchaguzi wa kuchagua...
10 Reactions
18 Replies
576 Views
https://m.youtube.com/watch?v=AbCEjPguQdY
0 Reactions
0 Replies
135 Views
Tumsifu Yesu Kristu KWANZA kabisa nawapongeza sana Kanisa katoliki angalau kwa kuweka siku maalumu ya kuombea wafu WALIOUWAWA oktoba 29. Tena kwenye barua zenu hamjakwepesha maneno. Tukiachana...
3 Reactions
7 Replies
526 Views
Wadogo zetu, watofo wetu mlipo vyuo vikuu na mnaoenda chuo kikuu msione watu wanandamana mkaona hawana maana hii nchi tajiri tena tajiri jiulizeni Kwanini zamani chuo kikuu mwanafunzi alipewa...
4 Reactions
6 Replies
470 Views
Neno la utangulizi ( preamble) BILA SERIKALI KUWAJIBIKA.. RECONCILIATION haina maana yoyote .Kuwajibika kwenye uchafuzi wa kura uliowanyima mamilion ya Watanganyika haki yao ya kuchagua na...
12 Reactions
34 Replies
1K Views
Kwanza kabisa nawapa pole wale wote walioathirika kwa namna Moja ama nyingine katika harakati ya kulikomboa Taifa letu, waliotutangulia wale pema, amen! Wakuu kazi ya kuipamba serikali (uchawa)...
10 Reactions
36 Replies
1K Views
Mwaka 1960 Makaburu wa South waliwafyatulia risasi wanafunzi waliokuwa wanaandamana kupinga mfumo kandamizi wa kikoloni. Ni tukio lile liliondoka na roho 69 za vijana wadogo mno na liliumiza...
7 Reactions
8 Replies
315 Views
Majalio Kyara aliyekuwa Mgombea Urais kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU) amesema mchakato wa uchaguzi umeisha, na sasa jambo ambalo linatakiwa kufanyika ili kutuweka pamoja ni mazungumzo ili...
2 Reactions
15 Replies
567 Views
"Wacha kujibu watu ovyo na kipumbavu, kwanI unafikiri wewe ni nani ? Your downfall is coming. Nakuonya, una develop character fulani hivi ya KIBURI SANA.STOP NÓW"
1 Reactions
7 Replies
324 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…