Jeshi la Polisi nchini limewaachilia kwa dhamana viongozi wa CHADEMA waliokamatwa kutokana na tuhuma mbalimbali. Kati ya viongozi hao ni Makamu wa Kiongozi wa CHADEMA, John Heche, Naibu Katibu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewateua Dorothy Onesphoro Gwajima, Balozi Mahmoud Thabit Kombo na Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Wabunge wa Bunge la...
Kwa mengi mema na mazuri aliyofanya katika nchi yetu hii aliyekuwa Rais wetu Magufuli (RIP) ukilinganisha na uchache wa makosa na mapungufu ya kibinadamu, hakusitahili kusemwa na kutukanwa kwa...
Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Wegesa Heche amesema yeye na viongozi wote hawakuachiwa kwa makubaliano maalum wala hakuna mazungumzo waliyofanya wakati...
Despite what happened in the darkness, the truth is coming out fiercely every day like a volcano, and the evidence is overwhelming.
Yet, there has been:
No accountability.
No resignations.
No...
Mbunge wa Jimbo laTunduru kaskazini akila kiapo Bungeni wakati wa Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Kumi na Tatu wa Bunge leo Novemba 11, 2025.
Ikumbukwe Ado Shaibu ni miongoni...
Waungwana ninashangazwa saana kumuona "Mama" akiwa peke yake mda mwingi na katika ziara zake....vipi ""FG"" wetu masahibu gani yamemkuta? ...sio jambo la kawaida....au ndio yale mambo ya Diamond...
Leo, Novemba 11, 2025, Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaanza rasmi vikao vyake kwa kufanyika kwa kikao cha kwanza cha mkutano wa kwanza wa Bunge hilo.
Kazi kubwa inayotarajiwa...
Wanasheria na watetezi wa haki za binadamu nchini Tanzania , wanakosoa namna serikali imeanza kuitumia vibaya sheria ya makosa ya uhaini, baada ya mwishoni mwa juma lililopita, waandamanaji...
“TUNAPOSIKIA MTU AKISEMA WAMEKUFA WATU 10 TU NCHI NZIMA, TUNAMSHANGAA SISI KAMA WATUMISHI WA MUNGU”
"Hapo juu kanisani kwetu watu 13 wamekufa kwa mpigo, na maeneo mengine katika mji wetu...
Watanzania. Hawa WAHARIRI hawajui ni kwa nini mliandamana. Je hamwezi watembelea kuwaeleza? Wameridhika kulipiwa SGR na kupewa per diem huko Dodoma. Hawajui lolote kuhusu ninyi. Muwatenbelee...
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kimejipanga kuchukua hatua za Kisheria kwa kile wanachodai kuwa ni kudai haki ya ushindi walioupata katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Kauli hiyo imetolewa na...
Kwamba walio kuwa wanawaminia watanganyika risasi kama wanaua ngedere walio vamia shamba la mahindi kilikuwa ni kikosi toka zanzibar hilo mimi sina hakika lakini ni kweli kabisa waliuawa kwa...
"Katika misa hii tunawaombea waliouawa. Tunasema waliuawa kwa sababu watu hawa hawakuumwa, walipigwa risasi. Tunawaombea waliojeruhi Mungu awape wepesi waweze kupona lakini pia tunaombea haki na...
Dkt. Rhimo Nyansaho, mchumi na aliyewahi kufanya kazi katika sekta ya benki, anatajwa kuwa miongoni mwa majina yanayopewa nafasi ya kuchukua uongozi wa Wizara ya Fedha, kufuatia uteuzi wake kuwa...
Wakili Peter Kibatala amesema kwa kushirikiana na mawakili wengine watatoa huduma ya kisheria kwa Mfanyabiashara Jenifer Jovin 'Niffer' Ruthimelda Born Gregory na wengine 20 walio katika mashtaka...
Mgombea nafasi ya Uspika wa Bunge la Jamuhuri la Muungano wa Tanzania, Veronica Charles Tyeah kutoka chama cha National Reconstruction Alliance (NRA) akizungumza kuomba ridhaa kutoka kwa wabunge...
Viongozi wastaafu kama Rais Jakaya Mrisho Kikwete bado kodi zetu zinalipa 80% ya mshahara wake alipo kuwa Rais.
Kazi yake nini?
Tulitegemea atoe tamko la kulaani maafa yaliyotukuta.
Tulitegemea...
"Yaani mnawaua kwa risasi WATANZANIA wengine wengi wakiwa wamejituliza ndani na familia zao, kwenye sebule zao wanaangalia TAMTHILIA na kadhalika! Halafu fasta mnaenda kujiapisha kwa kushika...