Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watanzania tupo kwenye msiba hatujalala tutapumzika week nne tutarudi kudai nchi yetu #D9. Mauwaji yaliyofanyika sio vitisho bali uchizi na kuchochea moto zaidi.
2 Reactions
0 Replies
109 Views
Watanzania wamefumbuliwa macho. Keki ya taifa inaliwa na falimia kama kumi ambazo inasadikika Kikwete ndio kiongozi wao. Utekaji umeacha manug'uniko na doa kubwa. Mauaji ya juzi yatasababisha...
0 Reactions
2 Replies
185 Views
Kabla ya maandamano tulisikia tetesi za wanajeshi wa Uganda kuingizwa nchini kwa lengo la kusaidia kutuliza maandano wakisaidiwa na kontena la silaha ambazo zimeingia nchini kwa msaada wa Abdul...
2 Reactions
2 Replies
260 Views
Katika mitandao ya Kijamii ikiwemo Instagram baadhi ya watu wameanza kuikanusha iliyokuwa account ya X ya Abdul, kwa kuandika vitu sawa mfano ni ZUNGU na Middle Simba wamekopi na kupesti. Je ni...
1 Reactions
41 Replies
2K Views
Viongozi wa upinzani wote Tanzania ni mamruki wa ccm wanalipwa kufanya maigizo ndiyo maana hawadhuriki kwenye maandamano na familia zao kwa serikali inagharamia kila kitu ikiwemo kuwalipa...
3 Reactions
34 Replies
1K Views
Habari za wakati huu? Kimsingi kichwa cha mada yangu kinaweza kikawaudhi wengi hasa ambao wamekufa,wamejeruhiwa au kuharibikiwa na mali katika matukio yaliyojiri tangu Tarehe 29 October.Poleni...
1 Reactions
44 Replies
1K Views
Kwa mara ya kwanza watanzania wengi walimjua Jesca Magufuri kupitia mahojiano na Milard Ayo, sasa wameanza kumuona majukwaani na bilashaka anapata shangwe kama lote jambo ambalo ni faraja kwa...
0 Reactions
4 Replies
408 Views
Kama tutakosa taifa lenye kizazi Cha watu wenye uadilifu Nini hatima ya Taifa letu ? Watawafundishaje kushindana bila kumuua mpinzni wako kimasomo kibiashara na kimaisha ? Mzazi anafurahi kuona...
2 Reactions
7 Replies
190 Views
Back in the days, wakati najiunga JF kwa kufuata mkumbo; nilikuwa namtukana raisi wa muda huo JK. Being me, sikosi haters; kulikuwa na mods wana re-type posts zangu nionekane siwezi hata...
17 Reactions
59 Replies
2K Views
Wakuu! Waswahili wanasema uUsiamini vicheko! Hali ilivyokuwa kabla ya zoezi la upigaji wa kura za maoni kwa nafasi ya ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Nzega Vijijini...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Wakuu! Baada ya ahirisha ahirisha sasa ndio muda wenyewe wa kujua mbivu na mbichi huko CCM Majina ya wagombea wa Ubunge wa Majimbo, Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi, Viti Maalum vya Ubunge na...
25 Reactions
511 Replies
103K Views
Hawa ni wabunge wa sasa ambao CCM imewapumzisha. 1. Mrisho Gambo - Arusha Mjini 2. Stephen Byabato - Bukoba Mjini 3. Luhanga Mpina - Kisesa 4. Ndaisaba Ruhoro - Ngara 5. Josephat Gwajima - Kawe...
17 Reactions
239 Replies
21K Views
Mauaji ya Halaiki, yamewatisha wao wenyewe !! Wanahaha Kila Mmoja kuhakikisha Maisha yao yanakua Hai na Wanayalinda,Kwao na VIZAZI vyao. Ukweli ni kua KWA MAUAJI WALIYAFANYA , Hatuwezi kamwe...
2 Reactions
6 Replies
403 Views
Spika mpya akipatakana na kuapishwa Tulia Ackson atakuwa Spika Mstaafu. Tulia ataanza kula mafao yake halali kwa mujibu wa Sheria ya Mafao ya Kustaafu kwa Watumishi wa Kisiasa sura ya 225 [The...
6 Reactions
20 Replies
866 Views
Familia ya Kikwete, Samia na Mwinyi ndiyo CCM wengine wote machawa . Kama unasifia sifia na hutaki No reform no election endelea lakini ukweli ndiyo huo
8 Reactions
31 Replies
2K Views
"Watanzania popote mlipo hili swali tujiulize mnaifanyia nini nchi yetu, ilimadini yetu yarudi mikononi mwetu, ili vijana wapate ajira, ili mbuga zetu zitumike kwa ajili yetu, Tunaifanyia nini...
0 Reactions
6 Replies
519 Views
Katiba mpaka leo hatuna kwasababu ya Kikwete. Chama cha CCM kimegeuzwa kuwa chama chake binafsi na familia yake. Cha ajabu machawa hapa wanashabikia ujinga. Usalama wa taifa nao wamekaa kimya...
6 Reactions
7 Replies
454 Views
Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Shaban Taletale, maarufu kama Babu Tale ameeleza sababu ya yeye kukosa upinzani kwenye jimbo lake ambalo ameshinda kwa asilimia 91.
1 Reactions
3 Replies
223 Views
Katika kongamano la African Renaissance lililofanyika Lukenya University nchini Kenya, Rais wa zamani wa Botswana, Ian Khama, alitoa kauli yenye mguso akisema “hamtambui Rais Samia Suluhu Hassan...
18 Reactions
68 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…