Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Samia amesema anasikitishwa baada ya kusikia mwenyekiti (yeye) anavyoshambuliwa na kusema ukweli wanaujua hivyo wasimame imara, akisema mdomo wa mwenyekiti mmoja kujibu hoja zinazotolewa...
15 Reactions
207 Replies
14K Views
Jumuiya za Kimataifa na Mabunge ya nchi mbalimbali yameguswa kutokana na vifo vya watu maelfu vilivyotokea nchini. Bunge la Ulaya lilisema 'Uchaguzi wa Tanzania haukuwa huru wala wa haki', Seneti...
4 Reactions
17 Replies
416 Views
Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia bunge la 13 leo Novemba 14, 2025 amesema Serikali inajiandaa kutoa huduma ya bima ya afya kwa wote ambayo itakua ni kuanza kwa mageuzi ya huduma ya afya nchini
0 Reactions
0 Replies
170 Views
Rais Samia amesema Nitakao wateua mjiandae kisaikolojia, tutawabadilikia
0 Reactions
0 Replies
143 Views
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassana akihutubia Bunge la 13 leo Novemba 14, 2025 amesema Uchaguzi mkuu uliofanyika OKtoba 29, 2025 watanzania nchini kote walijitokeza...
0 Reactions
1 Replies
242 Views
Tanzania Episcopal Conference (TEC) walitoa TAMKO kuhusu matendo ya UTEKAJI na MAUAJI ya raia (Mkuranga, Kibiti, Rufiji - MKIRU) wakati wa JPM. TEC walilaani matendo ya vurugu na mauaji. Walisema...
6 Reactions
9 Replies
438 Views
Kuiba uchaguzi ilianza mdogo mdogo kudokoa hawakuanza tu kuuwa watu kwa siku moja pia na hii ni baada ya kuona vyombo vya usalama ni dhaifu. Mtu kwasasa anafanya mapinduzi ya nchi kwa kuiba...
2 Reactions
1 Replies
155 Views
Tuko salama! Yaani katika vitu ambavyo Gen Z wapi smart zaidi ya sisi kaka zao na baba zao ni ujinga wa Udini wala uchama. Hiyo ni moja ya tofauti kuu tuliyonayo na wao. Gen z wao huwezi mletea...
4 Reactions
10 Replies
498 Views
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kiislamu nchini, limelaani vikali vitendo vya uhalifu vilivyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika...
3 Reactions
108 Replies
2K Views
Tarehe 29 October inapaswa kuwa siku ya mashujaa kuwaenzi na kutambua mchango wao katika kutetea watanzania maskini. Mimi nipo mstari wa mbele kupigania mabadiliko na kusimama na watanzania kwa...
3 Reactions
2 Replies
183 Views
Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Mwanza, Mhashamu Renatus Nkwande amesema kilichotokea Oktoba 29 mwaka huu ni fedhea kwa taifa na kinalishushia taifa heshima iliyojengeka kwa miaka mingi...
3 Reactions
4 Replies
271 Views
Wakati Mbunge mteule wa Jimbo la Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chipando maarufu kama “Baba Levo,” akila kiapo cha uaminifu Bungeni, amejikuta akirudia kiapo hicho baada ya Spika wa Bunge, Mhe...
2 Reactions
18 Replies
869 Views
Waziri wa Mambo ya Nje wa Denmark, Lars Løkke Rasmussen, ameunga mkono wito wa Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Türk, wa kufanyika kwa uchunguzi huru kuhusu vifo na...
1 Reactions
2 Replies
272 Views
Hii ni moja ya video na picha ambazo zimegusa mioyo ya watu wengi kwenye mitandao ya kijamii. Inaonyesha mama aliyeonekana kutabasamu huku akimwaga machozi wakati wa kumuaga mtoto wake aliyeuawa...
12 Reactions
23 Replies
964 Views
Hii imekuwa ndio gumzo kubwa sana leo hii
0 Reactions
4 Replies
255 Views
GT Mkiambiwa nchi inaongozwa na watu.wa hovyo ni kama hilo zee. Hili zee ni role model ya wabunge vijana huko linapaka superblack mvi zisionekane hovyo kabisa
1 Reactions
10 Replies
486 Views
Nimekutana na hii Video ya Mama mmoja akitoa heshima ya mwisho kwa mtoto wake MAMA Strong sana huyu, Imagine yupo kwenye Majonzi lakini anafurahi, MUNGU aendelee kumpa Nguvu huyu Mama Soma >...
2 Reactions
2 Replies
237 Views
Ndio unaweza kua uliotokea familia maskini lakini wewe sio balozi mzuri wa kuwasemea wananchi maskini. Ukiwa waziri wa...
5 Reactions
32 Replies
899 Views
WKumekuepo na hoja za Udini hizi ni hoja mfu ambao wanaozitumia ni wale walioishiwa hoja na uwezo wao wa kufikiri umefika mwisho au hawajui wa nachokisema Binafsi mimi naamini MUNGU yuko lakini...
0 Reactions
1 Replies
168 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ameongea kwa uchungu ,hisia na utulivu mkubwa sana katika hotuba...
0 Reactions
22 Replies
615 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…