Mtaomba mpaka kesho lakini Amani inaletwa na vitendo vya haki vya kila siku sio sala wakati vitendo ni vibaya. Bila vitendo vya haki mtakuwa mnapoteza muda
Ukimsikiliza huyu mama kwa anayoyaahidi kama so yeye aliekuwa madarakani nakushindwa kufanya hayo hayo, wanafanya siasa ionekane ni mchezo wa kitapeli. Leo hii anaahidi ahadi ambazo unaweza dhani...
Anajifanya anarudi nyuma baada ya kuuwa wananchi sababu ameshikwa pabaya. Dunia imemshika pabaya. Yuko kwenye maji ya moto sasa hivi. Dunia imegoma kutambua Urasi wake. So now anajaribu kucheza na...
Maseneta wawili wa Marekani, Jim Risch na Jeanne Shaheen, wametoa shutuma kali dhidi ya serikali ya Tanzania wakidai kuwa matokeo ya uchaguzi wa Oktoba 29 yalipangwa kabla ya wananchi kupiga kura...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake amesema tayari ameshaielekeza Wizara ya Afya kusimamia maelekezo ya kutozuia maiti kwenye vituo vya kutolea huduma za afya, wakati familia...
Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi amesema katika utekelezaji wa Bima ya Afya kwa wote, changamoto zote zilizopo sasa kuhusiana na bima ikiwemo baadhi ya Maradhi...
Huyu ni Kada wa Chadema anaitwa Joseph Mwasote maarufu kama China, mkazi wa Tunduma mkoani Songwe. Anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana mwezi uliopita. Familia yake imehangaika kumtafuta maeneo...
Rais wa Jamuhuri ya muunano wa Tanzania Dkyt. Samia Suluhu Hassan leo Novemba 14, 2025 akihutunia bunge la 13 kwa mara ya kwanza amesema serikali itaanza kukweka mazingira mazuri kwa ajiliya...
Rais samia amewashukuru wananchi kushiriki vilivvyo kwenye uchaguzi kuanzia kujiandisha pamoja na kujityokeza kwa wingi kupiga kura na kuchagua vviongozi wanaowataka.
Rais Samia ameongeza kwa...
Rais Samia amesema anasikitishwa baada ya kusikia mwenyekiti (yeye) anavyoshambuliwa na kusema ukweli wanaujua hivyo wasimame imara, akisema mdomo wa mwenyekiti mmoja kujibu hoja zinazotolewa...
Jumuiya za Kimataifa na Mabunge ya nchi mbalimbali yameguswa kutokana na vifo vya watu maelfu vilivyotokea nchini.
Bunge la Ulaya lilisema 'Uchaguzi wa Tanzania haukuwa huru wala wa haki', Seneti...
Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia bunge la 13 leo Novemba 14, 2025 amesema Serikali inajiandaa kutoa huduma ya bima ya afya kwa wote ambayo itakua ni kuanza kwa mageuzi ya huduma ya afya nchini
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassana akihutubia Bunge la 13 leo Novemba 14, 2025 amesema Uchaguzi mkuu uliofanyika OKtoba 29, 2025 watanzania nchini kote walijitokeza...
Tanzania Episcopal Conference (TEC) walitoa TAMKO kuhusu matendo ya UTEKAJI na MAUAJI ya raia (Mkuranga, Kibiti, Rufiji - MKIRU) wakati wa JPM.
TEC walilaani matendo ya vurugu na mauaji. Walisema...
Kuiba uchaguzi ilianza mdogo mdogo kudokoa hawakuanza tu kuuwa watu kwa siku moja pia na hii ni baada ya kuona vyombo vya usalama ni dhaifu.
Mtu kwasasa anafanya mapinduzi ya nchi kwa kuiba...
Tuko salama!
Yaani katika vitu ambavyo Gen Z wapi smart zaidi ya sisi kaka zao na baba zao ni ujinga wa Udini wala uchama. Hiyo ni moja ya tofauti kuu tuliyonayo na wao.
Gen z wao huwezi mletea...
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kiislamu nchini, limelaani vikali vitendo vya uhalifu vilivyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika...
Tarehe 29 October inapaswa kuwa siku ya mashujaa kuwaenzi na kutambua mchango wao katika kutetea watanzania maskini.
Mimi nipo mstari wa mbele kupigania mabadiliko na kusimama na watanzania kwa...
Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Mwanza, Mhashamu Renatus Nkwande amesema kilichotokea Oktoba 29 mwaka huu ni fedhea kwa taifa na kinalishushia taifa heshima iliyojengeka kwa miaka mingi...