Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Tuhuma za kuuawa kwa Mwakyembe na wenzake kwa IGP na Mwandishi wetu FEBRUARI 8, mwaka huu, Dk. Mwakyembe alizungumza na baadhi ya viongozi waandamizi wa Jeshi la Polisi makao makuu ya jeshi...
16 Reactions
456 Replies
45K Views
Na Mwandishi Wetu Rostam Aziz aliyejiuzulu Ubunge wa Igunga mwaka 2011 kwa shinikizo kutokana na kashfa ya ufisadi, amerudi kwenye siasa kwa nguvu kubwa huku akiapa kuwa ni lazima ahakikishe...
2 Reactions
36 Replies
7K Views
Kauli maarufu ya "goli la mkono" iliotolewa na Nape Nnauye inaanza kuwagharimu CCM. Viongozi wengi wa CCM waliopita kwenye kura za maoni wametumia "goli la mkono" hasa alieitoa hiyo kauli Nape...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Rais Jakaya Kikwete anapitisha Miswada iliyopitishwa na bunge hivi Karibuni. Hafla hiyo inafanyikia Ikulu ya Dar es Salaam. Mawaziri ambao wizara zao zinaguswa na hizo sheria pia wataongelea hizo...
0 Reactions
51 Replies
7K Views
Lowasa alitumia masaa 48 yaani siku mbili ikatangazwa kuwa kapata wadhamini milioni moja na laki sita.Si kweli ni uwongo.Kwanza tufikiri kuwa hiyo fomu ilikuwa ikisainiwa usiku na mchana watu...
8 Reactions
97 Replies
10K Views
Kama ilivyo ada,mgombea wa ukawa ameshachaguliwa na wajumbe jijini dar!,na sisi mashabiki na wapenzi wake tunataka kumwona maana ni haki yetu ya msingi kabisa katika uchaguzi huu. Tumaini Makene...
0 Reactions
0 Replies
616 Views
Nimetafiti zaidi ya nchi tatu, mabara matatu kwa miongo mitatu ambapo. Serikali zilizoundwa, kwa kupitia muungano wa vyama vya upinzani! Hazikufanya vizuri kwa sababu ya upinzani ndani ya...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Kaka zangu na wasomaji wote wa JF. Taarifa nilizopata hivi punde zinasema kuwa kilichofanyika kwa Juma Duni Haji ni ulaghai wa kisiasa. Kwamba, Juma Duni Haji ameteuliwa kuwa Mgombea Mwenza bila...
12 Reactions
256 Replies
24K Views
Wadau, amani iwe kwenu. Kumekuwa na minong'ono kila kona juu ya ujio wa Juma Duni Haji ndani ya CHADEMA. Minong'ono hii inakuja kutokana na kutofahamika nini kilijiri mpaka akateuliwa kuwa...
5 Reactions
48 Replies
6K Views
Nilisema kuwa mimi nitampa kura yangu Lowasa. Na naendelea kusema hivyo maana kwangu kura yangu sio siri. Wew mwenye siri na kura yako endelea kuifanya siri. Na pia nilisema japo kwa ufupi kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Vikao vya CUF vimemalizika na wamekubalia kuwa CUF watatoa mgembea mwenza na CHADEMA watoe mgombea urais. Juma Duni ndie atakaye kuwa mgombea mwenza kupitia CUF. Kutokana na CHADEMA kutoa...
5 Reactions
42 Replies
7K Views
Taarifa za uhakika kutoka kwa wale walioitwa "Makapi" na yule Msomali,mzee wa meno ya tembo zinasema kuwa hawatashiriki katika Operations za CCM za kumnadi Magufuli. Chanzo ni cha uhakika na kama...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau heshima kwenu, Nitangulize kwa kusema kuwa mimi ni mdau wa ukawa na namini kuwa kwa tafiti zote zilizofanyika kabla ya uchaguzi huu kwa maana ya namba zinadhihirisha kuwa kwa ujio wa Mhe...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Watanzania Serikali ya CCM kwa Mara nyingine tena inatuthibitishia kuwa haina uwezo Wa kulinda Na kutunza Tembo wetu kwani shehena kubwa ya meno ya Tembo 800 imekamatwa. Udhaifu au kuhusika kwa...
0 Reactions
0 Replies
661 Views
Ndugu wanajamvi zile zama Ccm kujinasibu kuwa wameshinda vitu 17 bila kupingwa majimboni mwaku huu pia yapo? Maana tulizoea kusikia upinzani chal ccm inawabunge ambao wananchi wao wameshawapitisha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
(Copy n paste from Whats app group) Naandika waraka huu uwaendee makada na wafitini walioko CCM. Wanatunga fitna kuwa CHADEMA ni chama cha ukabila na cha watu wa kaskazini...Huu ni upuuzi mtupu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
na Francis Godwin, Iringa TUHUMA za ufisadi dhidi ya viongozi wa serikali na mawaziri wa Rais Jakaya Kikwete kumiliki...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mimi nmekulia ufipa zamani ufipa kulikuwa na maskani ya Ajax, ufipa p alikuwa hapatoshi, ufipa ilikuwa sehemu ya wapiganaji ambayo ma nguli wengi walitokea Karibu sana El ufipa
0 Reactions
2 Replies
959 Views
Nilivyoangalia siasa za kijana huyu machachari zimenivutia sana,Nashawishika kusema japo bado ni kijana mdogo lakini anaiweza sana siasa! ameshakata rufaa baada ya kuangushwa na Zungu na kushika...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
CHAMA CHA MAPINDUZI kitakapobadili sera yake ya Muungano wa Serikali Mbili, sera yake mpya itakuwa sera ya Muungano wa Serikali moja. Chama Cha Mapinduzi chenye wanachama wenye akili, na ukweli...
5 Reactions
63 Replies
6K Views
Back
Top Bottom