Dar Brother
Member
- Jul 29, 2015
- 21
- 7
(Copy n paste from Whats app group)
Naandika waraka huu uwaendee makada na wafitini walioko CCM.
Wanatunga fitna kuwa CHADEMA ni chama cha ukabila na cha watu wa kaskazini...Huu ni upuuzi mtupu usiokua na hoja ya msingi.
Hivi mm na ww tuulizane kipindi ww na mm tupo shule hapa naamanisha wale waliokua secondary early 2000's kurudi nyuma to 1990's and back...katika ofisi moja ya walimu shuleni kwako kulikua na wachaga wangapi???
Hiyo moja mbili...katika miaka hiyo hiyo elezwa hapo juu...shule nzuri kwa ufaulu (best schools) zilikua zinapatikana kanda ipi???
Sasa mkulima wa kahawa na mtengeneza mbege jiran yake kuna shule ataacha kumpeleka mwanawe??
Kama ambavyo penye bahari pana wavuvi na ndivyo ilivyo kwa shule nzuri na kisoma cha wachaga.
Hivi katika darasa lako katika uwiano wa makabila zaidi ya 120 ya Tz...ktk wanafunzi 10 kuna kuwa na mchaga 1.
Nenda mpaka elimu za juu kwenye vyuo ...uwiano ni 15 kwa 1...sio kwamba wanajua sana au wana akili sana hapana bali vizazi vyao vinaamini shule ndio msingi bora wa maendeleo yao....
Sio hivyo tu angalia hapo mtaani kwako kuna maduka mangapi wa wachaga? ??
Kwa hiyo napo mtaa unaukabila na wao ndio pekee wa kufanya biashara hiyo???
Hakuna sekta nchii hii unaenda hukutani na Mangi au Mpare!!
Na hivyo ndivyo ilivyo kwa CDM...
Cheki hii...
Kwenye vikosi vya usalama ..raia hua tuna tania kw lafudhi za ra..ra...yanii
.."Haroo...hiri rijamaa rikamate"
Ni kwasababu wengi wao ni wa kanda ya ziwa lakini haimaanishi vikosi vyetu tukufu na makini vina ukabila...
Tusimezeshane ujinga ...
Kama hawana hoja Lowasa amewaambia "Shut-up"
Hii imenikera kwasababu huu ndio mwanzo wa kuketa chuki za kikabila katika Taifa letu mama Tanzania..
We are the son and daughers of mama Tanzania ... Tunapendana na tunaipenda nchi yetu...
Tuendeshe siasa safi kwa malengo endelevu na ustawi wa nchi yetu.
Sote tuamke.
Sijivunii kuwa Mchaga
Najivunia U-Tanzania,
Naipenda Tz, Naipenda Afrika
Erick Lucas Meena.
Mchaga
Clean politics 🙏👍
Reffence:
(Copy n paste from whats app group)