Kwa akili za kawaida kabisa na kwa watu wenye akili timamu, kwa situation iliyopo sasa Tanzania, kuna mambo wala hayakupaswa yafanywe kabisa achilia mbali kuyafanya hata kisirisiri.
Hivi kweli...
Nimesikia amepanga kuonana na Maafisa wa Serikali, wawakilishi wa Mashirikia ya Kiraia, viongozi wa vyama vya siasa na wazee wa kimila, he is missing the target maana hao sio wahanga wakuu.
Dr...
Dunia yote inajua walisusa, wakagomea ku sign kanuni za uchaguzi walitegemea serikali itawabembeleza. Sasa hivi maisha yanaendelea, mpaka kufikia 2030 CHADEMA itakuwa imekufa.
Mfadhili mkuu w...
Ni msemo niliuona mahali kwamba onyesha sumu yako mapema nyoka asingekuwa na sumu watu tungemgeuza kamba!
Kilicho tokea wakati wa kutangazwa mawaziri na manaibu wao alionyesha sumu yake mapema...
Neno political instability tulikuwa tunalitumia kujibu essay za bogus exams za Tanzania. Ila Sasa tunalishuhudia kwenye nchi yetu.
Uko Arusha Hali sio nzuri, wageni weeengi wame cancel safari za...
Naona baadhi yenu mko excited na huyo Samia kutangaza baraza lake haramu la mawaziri.
Binafsi sina muda wa kuzungumzia na walio haramu wanajipa vyeo gani halafu nikasahau maelfu ya vijana na...
Hawa jamaa ukiona post zao huko mitandaoni, ni kama vile wanatoa pongezi kinafiki tu.
Walijua piga ua hawawezi kukosekana kwenye baraza la mawaziri jipya.
Sasa wamekula za uso hawaamini...
Na Mwandishi Wetu,
Katika utawala wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, dhamira ya kuwapatia Watanzania huduma ya umeme wa uhakika imepata tafsiri ya vitendo...
Dkt Mollel ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari ambapo ameleleza kuwa watu wanaotaka kuvuruga Amani wanataka kutusahaulisha mambo matatu muhimu makubwa ikiwemo kazi kubwa...
Wakuu....
Samuya alitupa kete yake kwenye hotuba ya ufunguzi wa bunge, akiamini atawatuliza wananchi wanaachane na suala la maandamano, wakubaliane na serikali ambayo hawakuichagua, maridhiano...
Kwa unyenyekevu, napenda kumshauri rais Samia, awateue Abduli na Salima Kiwete ili timu ya wateule ikamilike. Wewe unashaurije huu ufalme mpya wa Tanzania.
Sema wakati Samia anaanza uongozi wake watu walikuwa wanampenda sana
Huyu hapa ni Godbless Lema mwaka 2021 akiandika maneno mazuri kuhusu Samia.
Yaani ilikfikia kipindi Lema alimfananisha Samia...
https://youtu.be/HxhQsqOlugM?si=S5Qr178OFL9BN_5w
Mzanzibari, Haji Omar Kheir swaiba na mshauri wa Samia kwenye masuala ya kisiasa aingie kwenye orodha ya wataowajibishwa kwenye mauaji ya maelfu...
Kwa waliosoma katiba ya nchi vizuri, hatuna cheo cha naibu waziri mkuu.
Hicho cheo feki kwa mara ya kwanza, kilitumiwa na Ali Hassan Mwinyi kumpoza Augustine Mrema na mara ya pili ni Samia...
Katika video aliyo-post kwenye chaneli yake ya YouTube, aliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Godfrey Malisa ameeleza maazimio ya Kamati ya Kitaifa ya Kurejesha Haki na Amani...
Kuna muandishi wa habari Rwanda ambaye makazi yake ni Marekani kaandika kwenye Twitter yake kwamba kapenyezewa habari na watu wake wa karibu waliopo ndani ya jeshi la Rwanda kwamba Kuna...
Hii ilikua ni February 12 mwaka 2021,na baada ya hapo hii ndo ilikua ziara yake ya mwisho kwani baada ya hapo alienda hadi Dsm mbezi kuzindua stend na ikawa ndo mwisho wa kuonekana kwake...