Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Samia Suluhu amesema hali iliyotokea nchini wakati wa uchaguzi mkuu imeitia doa nchi, na kwamba huenda ikapunguza sifa ya kupata mikopo kirahisi, hivyo ameagiza viongozi kutafuta zaidi fedha...
7 Reactions
108 Replies
4K Views
Rais Samia amesema kuna vijana ambao ulikuwa ukiwaangalia walikuwa wakionekana wakifuata mkumbo lakini hawakuwa wakielewa kile walichokuwa wanafanya. Hivyo ameagiza vyombo vya ulinzi vijana wote...
3 Reactions
82 Replies
2K Views
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), amewataka watumishi wa wizara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kuhakikisha wanazingatia maslahi na utu wa Mtanzania wanapotoa huduma...
0 Reactions
0 Replies
162 Views
Anaandika GODBLESS J. LEMA (MB) Arusha Vuta Picha Vyama vyote vikafutwa katika kipindi hiki kikabaki CCM tu chama ulichonacho wewe. Then hao uliokua unawaona hawafai akina Mbowe, Mdee, Heche...
63 Reactions
115 Replies
15K Views
Vijana wa Gen Z wamepongeza ununuzi wa gari mpya na za kisasa za Aina ya Range Rover kwenye msafara wa Mheshimiwa Rais. Hakika tunaweza. Kazi na Utu
1 Reactions
16 Replies
846 Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda, pamoja na Naibu Waziri, Wanu Hafidh Ameir, wamesisitiza dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita kuendeleza mageuzi makubwa katika...
0 Reactions
0 Replies
232 Views
Haji Omar Kheir Kwa vile hakukuwa na utunzaji wa kumbukumbu zozote miaka hiyo, Inakisiwa kuwa Haji Omar Kheir alizaliwa kisiwa cha Tumbatu mwaka 1960. Allzaliwa katika umasikini uliopindukia...
7 Reactions
42 Replies
3K Views
Watu wameuawa, biashara, makazi, miundombinu imechomwa, maisha yametatizwa, nchi imechafuliwa Yote haya yanatokana na wanasiasa na wanaharakati wao kuchochea vurugu mitandaoni na kauli zao za...
9 Reactions
226 Replies
6K Views
Mchambuzi wa masuala ya Siasa Deus Kibamba amesema kwa mazingira ya sasa, ni ngumu kupata mchunguzi wa ndani atakayeaminika na pande zote, isipokuwa ni busara pande zote zikaridhia kupata...
1 Reactions
12 Replies
603 Views
Ushauri tu wangu binafsi, nimefikiria kwanini Jumuia ya Madola imetuma Mwakilishi/Kiongozi atakayesimamia au kuongoza maridhiano, naona hapo kama pana kamtego furani hivi Wananchi tukikataa...
3 Reactions
51 Replies
1K Views
Leo hii, vijana nguvu kuu ya taifa, chemchemi ya matumaini tumezuiliwa kutimiza wajibu wetu wa kikatiba. Tumezuiwa kuzungumza, kuuliza, kushiriki, na hata kufikiri kwa uhuru tuliozaliwa nao. Swali...
1 Reactions
1 Replies
162 Views
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umetoa wito wa kuachiliwa huru kwa watu wote waliokamatwa au kushikiliwa kutokana na tuhuma zinazohusiana na Uchaguzi Mkuu wa 2025 Mratibu...
0 Reactions
0 Replies
186 Views
Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga, limefanikiwa kuzima tukio la ujambazi katika kiwanda cha kutengeneza mafuta ya kupikia cha Jielong Holdings (Tanzania) Aidha Majambazo hayo yametimua na...
2 Reactions
319 Replies
75K Views
Mwafwaa! Wanamtandao wamedhamiria walahi kuwatoa figo zenyu. Tayari wakuu wa vyombo vya dola walishanunuliwa wakajiunga na mtandao. Sponsors wa wasiojulikana ni wanamtandao wakishirikiana na...
2 Reactions
9 Replies
477 Views
Haijalishi wewe ulikuwa chawa au ulikuwa nani kinachotafutwa na tukio la mtu maarufu mwenye jina apate tukio mitandao ije imzungumzie wamejaribu kwa mwenzenu hapo juzi mmeona kijana mpole ila...
9 Reactions
16 Replies
893 Views
Wote tunajua. Chaguo la mgombea mwenza lilikuwa Dk Hussein Miwnyi. Lakini baada yachaguao lake Bernard Membe kupigwa chini, akalazimisha mtu wake yaani Samia apitishwe kuwa mgombea mwenza ili...
1 Reactions
3 Replies
253 Views
Kuna mtu maarufu Sana katika utekaji kumbe ni mfanyakazi mtiifu wa kagame Wanamtandao wamemtumia bila kumfahamu vizuri kwa sababu ya kutanguliza maslahi ya matumbo yao mbele Nawaambia Samia...
17 Reactions
53 Replies
3K Views
Utaona wanajifanya wapo bize kana kwamba hakuna kinachoendelea kumbe presha zao zipo juu sana, Tukutane kwenye Final #D9 tuwakimbize kwenye nchi yetu
2 Reactions
3 Replies
239 Views
Ufuatao ni mgawanyo wa Baraza jipya la Mawaziri la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hakika Serikali inapiga hatua kubwa mno. Serikali inapambana kuwaletea maendeleo Watanzania wote
1 Reactions
22 Replies
840 Views
DKT SAID ALLY MOHAMED alikuwa ni Afisa wa mitihani (Examinational officer) wa Chuo kikuu Huria cha Tanzania(OUT) .Mwaka 2021 alichaguliwa kama Katibu Mtendaji Baraza la mitihani (NECTA). Uteuzi...
3 Reactions
6 Replies
451 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…