Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jumuiya ya Wahadhiri wa Kiislamu nchini Tanzania imewataka Waislamu wote nchini pamoja na Watanzania kwa ujumla kujitenga na hamasa na ushiriki wa maandamano yanayohamasishwa kupitia mitandao ya...
1 Reactions
25 Replies
999 Views
Tunataka ICC ije kuchunguza mauwaji yaliyofanyika kabla na wakati na baada ya uchaguzi na sio muhalifu ajichunguze mwenyewe.
3 Reactions
1 Replies
133 Views
Mnanahangaika sana Hili nalo litaongeza hasira zaidi kwa wananchi, mmewapiga na kuwazalilisha vijana wa watu leo mnataka kuwaweka mbela ya camera kumshukuru na kumpaka mafuta mhaini kwa kuwatoa...
2 Reactions
7 Replies
411 Views
Hali ya sintofahamu kwenye kijiji cha Nanjirinji A Halmashauri ya wilaya ya Kilwa, Wanakijiji wamegomea mkutano wa kijiji wakipinga Ubadhirifu unao fanywa na viongozi wa kijiji Mwenyekiti na...
1 Reactions
2 Replies
301 Views
Nawaona masheikh uchwala wapo busy kupambana na TEC taasisi ambayo imejipambanua kwa kuusimamia ukweli bila unafiki Hawa wanao jiita masheikh wana ajenda yao kuu, na wana mipango yao dhidi ya...
2 Reactions
5 Replies
204 Views
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekanusha onyo lililodaiwa kutolewa na mamlaka hiyo likionya vyombo vya habari kusambaza maudhui yanayoweza kuhatarisha amani kutoka kwa watu wenye kesi za...
0 Reactions
6 Replies
284 Views
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ameelezea namna alivyokutana na msanii maarufu duniani, Rihanna. Amesema licha ya kuzungumza naye mambo mengi na kukaa pamoja kwa muda...
8 Reactions
102 Replies
5K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokradsi na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizunguma leo Novemba 19, 2025 amesema Tume ya kufanya uchunguzi wa uvunjifu wa amani wa vurugu zilizotokea Oktoba 29...
1 Reactions
7 Replies
677 Views
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inapenda kuutaarifu umma na kuvikumbusha vyombo vyote vya habari nchini, ikiwemo televisheni, redio, machapisho, mitandao ya kijamii, tovuti na majukwaa ya...
0 Reactions
25 Replies
935 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimeona nitoe Ufafanuzi wa kina na maelezo ya kutosha na yenye ushahidi wa Kutosha kuelezea suala la Deni la Taifa na kile kilichofanywa kwa kila senti iliyokopwa na...
7 Reactions
150 Replies
5K Views
Hapa chini kuna uchambuzi kamili wa matukio (scenario analysis) kuhusu kile kinachoweza kutokea kwenye maandamano ya Desemba 9 nchini Tanzania. Nimeugawa katika: HALI NZURI (Best Case) HALI MBAYA...
3 Reactions
10 Replies
774 Views
Zitto: Kura hata kuhesabiwa hazikuhesabiwa. Zilitangazwa tu. Tulijribu kulinda kura tukashindwa. Tumekiri. Ni muhimu tuungane pamoja kupigania haki za watu.
11 Reactions
38 Replies
1K Views
Wakuu, Akiwa anazungumza leo kwenye Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Habari Kanda ya Mashariki Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, Meneja wa Kitengo cha Huduma za Utangazaji wa TCRA, Mhandisi Andrew Kisaka...
0 Reactions
1 Replies
343 Views
Rais Magufuli alikuwa mkristo na mkatoliki lakini bado Kanisa Katoliki lilimsema kwa kukiuka haki za binadamu na kukataa uwepo wa korona. Rais Magufuli alikuwa Mkristo na Mkatoliki lakini bado...
19 Reactions
78 Replies
2K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi amethibitisha kuwa ushindi wa CCM katika uchaguzi uliofanyika Oktoba 29 ulikuwa dhahiri...
0 Reactions
20 Replies
878 Views
kuna mtu anajaribu kutawala kwa mwelekeo wa kikoloni yani mitutu ya bunduki utekaji na mauwaji kama wakoloni walikimbia wenyewe hatotuweza. Haya mauza uza mnayo yaona ni majaribio ya utawala wa...
4 Reactions
3 Replies
217 Views
Wahadhiri wa Kiislam kwa pamoja wamesema Maandamano wakati wa uchaguzi yalilenga kuharibu mali za Waislam tu halafu TEC wanataka HAKI, we cannot accept this
0 Reactions
32 Replies
972 Views
Kuna Video inasambaa sana Kwa Kasi mtandaon, anaonekana MTU anayejiita Sheikh kwenye mkutano na Vyombo vya habari, AKIWATISHA MAASKOFU WA TEC. Sasa ni hivi, Mbinu yenu ya Kujaribu Kutisha...
4 Reactions
17 Replies
656 Views
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi, amesema hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyoitoa wakati wa...
0 Reactions
15 Replies
468 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…