Kwa namna Serikali ya Samia inavyozidi kujichanganya ndivyo inavyozidi kuithibitishia Dunia kuwa ni lazima pawepo Uchunguzi huru wa Kimafaifa kuhusu Mauaji ya Maelfu ya Watanzania yaliyofanywa na...
Huyu jamaa ndo yule alotishia kwamba watakaondamana atadeal nao
Kupitia X wananchi wakiongozwa na Hilda Newton wameanza kufukua mafile yake.
Jina lake halisi ni Ibrahim Bakonzi. Kupitia ukurusa...
Kuhusu maashimisho ya siku ya uhuru msigwa amesema:
taarifa kuhusu maadhimiaho ya siku ya uhuru kama yatafanyika au la mtapewa taarifa rasmi ndani ya siku mbili.
Tume iliyoundwa inatafuta mtu wa kumbambikizia kesi ya mauwaji yaliyofanyika, walio uwa watu ni mamlaka ya samia haibadiliki na ushahidi upo.
Ndugu Samia kwa ile hotuba yake ni wazi anajaribu...
Waswahili waliposema ukivuliwa nguo chutama hawakuwa wamekosea kabisa.
Muda mchache ujao Msemaji wa Serikali anaenda kuongea na Waandishi. tena baada ya CNN kutoa habari ya kutisha kuhusu mauaji...
Sheikh Yahya Hussein, aliyekuwa mmoja wa wapiga ramli maarufu sana nchini Tanzania, Ingawa kauli zake hazikuwa sehemu ya tafiti rasmi za kisayansi wala siyo maandiko ya kiroho yaliyo katika vitabu...
Msigwa ameulizwa kuhusu response ya serikali kuhusu maandamano yanayopamgwa kufanyika Disemba 9, ambapo amesema:
"Kuhusu maandamano ya Tisa Disemba, tunawasihi vijana wajiepushe na kufuata mkumbo...
Mpaka sasa nchi haitawaliki hii alifikiri baada ya uchaguzi hali itakuwa kama alivyoingia hivi sasa hawezi hata kutembea mbele ya jeshi bila woga kama mwanzo anajua wizi alioufanya.
Hali...
Mwaka 2018 miaka mitatu kabla ya kifo cha hayati Magufuli niliandika makala hii ndani ya JF "African 'one term presidents : Will Magufuli take a course?"
Leo tena nakuja na makala fupi...
Akizungumza na vyombo vya habari leo Novemba 23, 2025 Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kwamba kutokana na matukio yaliyotokea kwa hali ya usalama wa nchi shwari na kuwa Vyombo vya...
Msemaji Mkuu wa Serikali amedai kuwa Vyombo vya habari vya nje vimeandika habari ya upande mmoja kuhusu machafuko wakati wa uchaguzi
"Kumejitokeza wimbi kubwa la vyombo vya habari hasa vyombo vya...
"Kumejitokeza wimbi kubwa la vyombo vya habari hasa vyombo vya habari vya nje kuchapisha na kutangaza habari ambazo ni za upande mmoja na wakati mwingine kufanya upotoshaji wa taarifa wenye mrengo...
Msigwa alisema serikali inachunguza video kisha itatoa ufafanuzi lakini imekuja na malalamiko ya kutangazwa kimataifa tu na sio ufafanuzi wa video.
Aidha vyombo vya kimataifa vili itafuta...