Hakuna uwezekano wa tume haramu ya kikundi cha kifasadi kuja na report yao kiuchunguzi baada ya CNN na BBC sababu walikuwa wanakuja na report za uongo.
Kikundi hicho wanachokiita ni tume hakuna...
Anaandika Askofu wa Dayosisi ya Karagwe Kalikawe Lwakalinda Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook;
"Kuahirisha maadhimisho ya Uhuru na fedha kutumika kukarabati Miundombinu. Hii pia ni nzuri...
Pamoja na Miili ya Wapendwa wao waliouwawa wapewe wakazike, Rasimali za Nchi zitumike vyema katika kuhakikisha vijana wanapata Ajira na huduma za Afya, Elimu, Maji na Umeme zinakuwa Bure na High...
Kilasiku mnatoa matamko kwamba Tanzania ni nchi Tajiri na ina rasilimali za kutosha ndio maana majirani na mataifa mengine ulimwenguni yanachochea machafuko hapa nchini.
Mlishawahi kujiuliza ni...
Nataarifiwa hapa na jirani yangu kijana wake alikuwa apate kipaimara tarehe 12 Desemba, nadhani sasa hiyo tarehe 9 wakaona laweza tokea lolote hadi hizo tarehe 12
So kanisa limerudisha nyuma...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema kuwa uharibifu wa miundombinu iliyotokea siku na baada ya vurugu za Oktoba 29, 2025 unapaswa kuwa funzo kwa taifa, akibainisha kwamba...
Nuksi ya kumweka jela Lissu bila sababu Samia utaendelea kupata shid. Hamta weza kupata amani hata kama mkitoka madarakani kwa unyanyasaji mnaofanya. Mungu hawezi kuwasapoti wauaji na wanyanyasaji...
Kenya, EU, USA, SA, Zambia, Malawi watusaidie kwenye kubadilisha madaraka Tanzania. Tanzania tunahitaji wana demokrasia kutusaidia kuungana na zaidi ya 70%-80% wanaotaka mabadiliko ya uongozi na...
Leo wazuri mkuu wa Mtandao Mwigulu Nchemba ametoa amri kwa waziri wa mambo ya ndani akayafungulie makanisa ya Ufufuo na uzima sambamba na kuziputia upya sheria za umiliki wa nyumba za ibada ...
Naona Mwangaza na Asubuhi Njema kwa Taifa Letu siku ya TAREHE 09 DECEMBER 2025, Uhuru wa Tanganyika ukizaliwa upya vijana wa Kitanganyika wakiona nchi yao ikiwa Haina utekaji na Miili ya Wapendwa...
Madikteta wote wanafanana; wawe ni wale ambao ni mtu mmoja mmoja au wawe wa chama kimoja; kufanana kwao kunatabiri vitendo vyao. Hufanana katika mambo makubwa matano:
a. Huamini kuwa wao ndio...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema uundwaji wa tume ya kuchunguza matukio yaliyotokea siku na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 ni hatua muhimu ya kitaifa, akisisitiza...
Polepole alipambania chama kurudi kwenye misingi ya Huanzishwaji wake chama cha wafanyakazi na wakulima kiwatumikie wananchi lakini mkaona mkikabizi chama wakini Seth IPTL na na mabwanyenye...
Wakuu
Hii nchi sasa inaongozwa na viongozi wasio na aibu wala hofu ya Mungu.
kama wanazo akili basi wanalazimika kuziacha nyumbani ili wamfurahishe mkuu wao.
Kwanza nimemsikiliza Gerson yan ni...
Wakuu,
Binafsi mtaani kwangu kuna ofisi za serikali ya mtaa zimechomwa moto na kuna sehemu ambazo tulikuwaga tunakaa lakini siku hizi hatukai kabisa
Na kuna mzee mmoja naambiwa kutokana na...
Serikali ya Tanzania imefanya mkutano wake wa kwanza na waandishi wa habari tangu uchaguzi wenye utata uliofanyika takriban siku 25 zilizopita.
Larry Madowo wa CNN ameripoti kuwa mkutano huo...
Mnyetishaji wangu mmoja ameniambia hili.
Kuna mijadala mikali inaendelea Serikalini. Kuna watu wanataka kwenda kufukua sehemu fulani ya kubumba ili kuendeza propaganda kuwa taarifa ya CNN haiko...
GEREZA KUU,Butimba MWANZA.
Haya ndio maisha halisi ya Askari wanapolala, Tukidai reforms wanatupiga risasi na kuwauwa ndugu zetu, Wanao watumia hawaishi kwenye nyumba kama hizi Tunawakumbusha tu...
Naamini ICC itawaita Mahakamani kiungwana TU huko the Hague.
Hivyo naamini watatii amri ya ICC bila shuruti.
Sisi raia wa kawaida hayo ndio maisha yetu ya Kila siku,pale tunapokamatwa na...