PostGE2025 Nini kimebadilika mtaani kwako baada ya Oktoba 29?

PostGE2025 Nini kimebadilika mtaani kwako baada ya Oktoba 29?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,303
Reaction score
18,462
Wakuu,

Binafsi mtaani kwangu kuna ofisi za serikali ya mtaa zimechomwa moto na kuna sehemu ambazo tulikuwaga tunakaa lakini siku hizi hatukai kabisa

Na kuna mzee mmoja naambiwa kutokana na kelele za October 29 amepata mshtuko wa moyo (noise pollution)

Sasa hebu niambieni na nyie nini kimebadilika mtaani kwenu baada ya Oktoba 29?
 
Back
Top Bottom