Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mimi simtambui raisi maana kituo changu kilichomwa moto na maboksi nimeona ila nashangaa diwani wa ccm kushinda kwa kura 9000 wakati eneo ilo hata hiyo idadi hakuna. Kama mtakuwa na kumbukumbu...
3 Reactions
3 Replies
235 Views
Ili kuanza kuitibu nchi majeraha iliyopata kabla ya Uchaguzi na baada ya uchaguzi. Hivyo hizo kauli za wanasiasa na za kisiasa zikome. Sana sasa Makatibu wakuu ndio washughulukie shughuli zote...
0 Reactions
2 Replies
265 Views
CDF wa jeshi ni kitu kikubwa sana ila kwa kilichotokea Mo29 hata uwezo wako umefanya kuwa ni mgambo pro max. Kwa mauaji yale na uchaguzi ambao hata kudanganya wakapitiliza kabisa na yote bado...
2 Reactions
10 Replies
386 Views
Hili ndilo litakuwa suluhisho la kudumu kuelekea kuwaondoa wanasiasa wote madarakani na viongozi wao ili kujipanga upya na kuleta HAKI kwa wote sivyo hamna kitu hapo.
2 Reactions
6 Replies
170 Views
Ni wazi viongozi wa Tanzania wanajiamini kupindukia na wanajiona wako sahihi kujilimbikizia mali kwa kuwaibia waTanzania hadi kuwauwa. Ni vyema sasa wananchi kutumia mbinu ya kuharibu mfumo wao...
1 Reactions
4 Replies
203 Views
Mauaji bado yanaendelea na utekaji unaendelea japo hatujuani humu ila rais anazidi kujilinda. Sehemu yenye ulinzi mkali ukiona ujue wamezikwa watu na mpaka sasa ICC imezuiwa kuingia TZ ipo...
3 Reactions
5 Replies
320 Views
Kutekwa kwa aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kumeendelea kuzua mjadala mpana, baada ya wabunge wa Umoja wa Ulaya (EU) kulaani tukio hilo na kulitaja kuwa la kutisha...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Baada ya kufunguliwa kwa Makanisa ya Ufufuo na Uzima ya Askofu Gwajima, imeripotiwa kuwa vitu vingi vimepotea, ikiwemo mali kadhaa na fedha zilizokuwa zimehifadhiwa kwenye sanduku, hasa katika...
10 Reactions
49 Replies
2K Views
Kabla hata ya uchaguzi CCM walishaambiwa na madai ya watanzania yalikuwa wazi na wimbo ulikuwa mmoja, HAKI HAKI HAKI HAKI Pamoja na kelele hizo CCM kwa uchu na tamaa ya madaraka wakalazimisha...
18 Reactions
33 Replies
764 Views
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa ruhusa kwa magari ya abiria kuanza kutumia barabara ya Mabasi Yaendayo Haraka Awamu ya tatu inayoanzia katikati ya jiji la Dar es Salaam kupitia Uwanja wa...
1 Reactions
5 Replies
341 Views
Ninyi mnajua kuwaua watoto wa watu halafu mnajisifu. Mliua ndugu zetu kama mbwa. Mlitisha sana, mkajiona hamfi, hamuguswi, na kwamba nyinyi ndiyo mna bunduki. Lakini mtajua tu. Tukitoka mkatuue...
17 Reactions
32 Replies
1K Views
Wanaukombozi Aluta..... Kumekaribia kukucha. Tayari tumeseti mitambo sawa. Hii ni rasharasha kuelekea kulikomboa taifa. Tunauungwaji mkono kutoka watu wote muhimu wa kimkakati. Tutawashangaza...
21 Reactions
38 Replies
2K Views
Hii ndio serikali pekee tangu uhuru baada ya uchaguzi badala serikali ianze kutekeleza majikumu ipo kwenye vita na wananchi na dunia Tulisema kujitangaza na kujiapisha haitobadilisha kitu, bali...
10 Reactions
10 Replies
421 Views
1. Ukiweza kukwepa kodi kwepa hakuna uzaledo katika nchi hii 2.Bidhaa yoyote za wahuni usinunue kabisa kwao 3.Usifanye biashara yoyote na wao, magari yao,sheli zao ,vinywaji vyao,vyakula vyao ...
5 Reactions
3 Replies
303 Views
Walicho nifurahisha Ulaya ni kusimamisha misaada kupitia mikononi mwa serikali haramu lakini mashirika yataendelea kupata misaada kama kawaida. Hakuna misaada itaingia kwa serikali pesa zote...
8 Reactions
22 Replies
894 Views
Nakumbuka katika Moja ya Press ya Gwajima alisema itakuwa ngumu sana kuliongoza Taifa lenye mpasuko na mgawanyiko utakoletwa na Uchaguzi ambao mnalazimisha kuufanya. Leo hii wanahaha kinoma. Mara...
18 Reactions
19 Replies
864 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hotuba ya Askofu Gwajima,Kwangu Mimi naiita Ilikuwa ni Hotuba Ya Shambulio Kwa Taasisi ya Urais na Rais Mwenyewe,Ni hotuba ambayo ukiisikiliza neno kwa neno unaona na...
-28 Reactions
315 Replies
14K Views
Wakati tunawashukuru wote waliosimama na kupaza sauti zao juu kuhusu mauaji ya waTanzania waliouliwa kikatili sana wakitafuta HAKI mbalimbali za msingi mwezi Oktoba 2025; ni wakati sasa...
3 Reactions
1 Replies
189 Views
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Khamis Mussa Omar amejitosa kwenye mbio za Urais Zanzibar 2020 na kuchukua fomu kuomba ridhaa ya CCM. Khamis Mussa ndiye mshika funguo...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…