Watu waliopigwa risasi kule arusha leo na polisi wakiwa wamekaa tu, wapeleke taarifa kwa madowo wa CNN ili dunia ione Tanzania ilipofikia kwa sasa.
Viongozi wajinga ndio wametufikisha nchi kwenye...
Matatizo ya Tanzania yanayo pigiwa kelele kwa muda mrefu na wananchi hayato ondoshwa au kupunguzwa kwa Samia pekee kujiuzulu na kuundwa katiba mpya.
Kama CCM itaendelea kusalia madarakani basi...
Ni kweli jeshi limekubali hali hii? Lockdown siku 1.5 plus kwa ajili ya kumlinda Samuya na Kiwete?
Mahitaji ya vijana yajulikana ni matatizo ya nchi pia.
1. Wanahitaji katiba mpya ili waweze...
Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe.
Kumekuwa na memo maarufu kuwa vijana
"wameshawishiwa" na watu waishio nje ya nchi. Yani watawala wanakiri...
Tarehe kama ya leo, Oktoba 29, 2025, inakumbukwa na Watanzania wengi kama siku ya maandamano makubwa yaliyotikisa taifa. Ni siku iliyobeba kumbukizi nzito kutokana na taarifa na madai kuhusu vifo...
Hayo mambo mawili ndio kiini na chanzo cha watanzania kutangaza maandamano mengine December 9, 2025
Mbali na kupora uchaguzi na kujisimika madarakani, umma wa watanzania unajihisi kupuuzwa na...
Tulitarajia kuona Serikali ikitoa ushahidi wa kina hasa picha za satelaiti 🛰️, vielelezo vya kitaalamu, na maelezo ya kiuchunguzi ili kuonesha kwamba madai ya mauaji yaliyotolewa na CNN, BBC, Al...
Katika mkutano wao leo, wameeleza kuwa wakati aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Magufuli, alipodaiwa kupora fedha za watu kwenye mabenki mbalimbali, TEC ilikuwa wapi? Wameuliza pia kwa nini...
Kufuatia mualiko wa kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani na nchi ya Vatican Papa Francis, Rais Samia Hassan atafanya ziara ya kitaifa tarehe 11 hadi 12 Februari, 2024.
Akizungumza na...
GTs,
Katika siku za karibuni tumeshuhudia kuzimwa kwa huduma za mtandao na vizuizi katika majukwaa ya kijamii nchini. Hatua kama hizi, ambazo mara nyingi hutolewa kama “za kiusalama,” zimeleta...
Wananchi wenzangu, poleni sana kwa unyama tunaoupitia kabla na baada ya uchafunzi mkui.
Bila kupoteza muda nawaomba tuwataje wale wote wanaohusika na uvunjwaji wa haki za Binadamu. Lengo ni...
Wanakupa 1 M, unakubali kutimika, unatoka Ushahidi wa Uongozi unatoka Tuhuma za uongo 😃
Pole sana kijana mjinga na mpumbavu, Wenzio CCM wanajuaz huko mbele unaweza kuwageuka ukatoa ukweli !!.
Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima, leo jumapili ya Novemba 30, 2025, wameendelea na ibada za kila jumapili, ikiwa ni jumapili ya kwanza tangu Kanisa...
Baada ya kutoa hotuba ambayo ilionekana kumuudhi aliyekuwa Mfalme wa Belgium, aliyekuwa Waziri Mkuu wa iliyokuwa Zaire (sasa DRC) Patrice Lumumba alikamatwa na wanajeshi wa kibelgiji...
Wakuu, kuanzia leo sichukulii Xmas, Eid, Pasaka kama siku kuu zangu za kujivinjari.
Nimeona ni bora nijivinjari Kila anapofariki kiongozi wa hawa waliotuulia ndugu zetu.
Yaani wakati watu...
Ndugu zangu,
Kila taifa lenye nguvu hulinda misingi yake ya maadili na falsafa. Kila taifa linalodumu huandaa vijana wake sio tu kwa kazi ya mikono, bali kwa uongozi wa roho na fikra. Hii ndiyo...
TAARIFA KWA UMMA
Jeshi la Polisi limeona na linafanya uchunguzi wa taarifa inayosambaa kwenye mitandao va kijamii ikionyesha imetolewa na Mkuu wa Polisi Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya kwa...